UMBAMBAMBA EP 02 | HARUSI YAHARIBIKA - KIFO CHA MAMA SAMOFI NDIO CHANZO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- UMBAMBAMBA EP 02 | HARUSI YAHARIBIKA - KIFO CHA MAMA SAMOFI NDIO CHANZO
#Mkojani #Umbambamba
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Watu wa ZANZIBAR tujuane like za kutosha hapa
Izo 🖕🖕🖕🖕🖕🖕 from zanzbar izo vp unajengne
Ambao hatujaiona wakati ule sasa tunajilia matunda ya Wasafi😂😂😂😂😂 sasa tupo pamoja mwanzo mwisho ""UMBAMBAMBA""
Jamani story nimeandika mimi pls kama nimeua nipe like zako
That why I like WCB..wanajuwa gutengeneza kitu
Ebaha mpka sauti nayo ni umbamba😂😂😂
Aaahh walii ingiza sauti wamezingua
Wasafi ni tv kubwa lakini baada ya kununuwa hii filam mme amua kuweka bila kutizama na mkarekebisha makosa ya sauti.
❤❤❤
Kwenye sauti walizingua sana
Hebu tuwekeeni ile ile nyimbo yke jaman ili umbamba uzid kuchangamka huu mziki wake cjaupenda kabisa
Daaa wazee mnajua sana mazee
Sauti inakwama kwama sana au simu yangu tu jamani
N kweli
Sauti inakwama
Kwel
Saut inakera🙌
Jamani mwenyekiti kiuno hakitakatika 😂😂😂😂
Daah ikifika hii nilipoishia itakuwa safi sana
Mkojani achaukorofi
Jafari sanaaa
Mkojani umezingua kwenye saut
oyaaa mnaznguaa bona sauti haitoki baadhi ya vipande
Mziki msiba
Umbambamba mpaka kwenye sauti
Mwanne ulikubali vipi kuekwa uchi hadharani kiasi hicho maziwa nje kabisa
Ilikua kunaulazima ngan sijui maziwa kuekwa nje😢
Wasafi media. Endeleeni walipowachia mkojani gang.
Mkojani eti kuwa tajiri raha mpaka uadui unapitiliza
Et" mi nimelikanda tena nimelikanda kama jibwa" 😂😂😂
Jamani tuwekeeni sauti za umbambamba ile ya kwanza pls
Mbona saut inazingua director vp
Jaman wasafi
🔥🔥🔥🔥🔥
Hivi move mno tamu
Apo sawa
Umbambamba kweli 😂😂😂
Asa mnatuwekea movie halina ata sauti si uboya uuu
Inaonyeshwa lin wasafi tv na muda gan
Mziki msiba 😂😂😂
Mtanyonywaa mkojani samofi
Acha wivu utakufa kabla ya siku
Cjachelewa 😊
Hii kali
Mnaweka vipi video Haina sauti
Kweli umbamba
😅😅😅😅kingwendu bwana
Kali sana
Mkaza mjomba #Mziki umeishaaa😂😂😂😂
Sauti vipi wasafi umbamba
Tatizo ya sauti ao phone yangu mbovu!
😂😂😂😂kingwendu
Ila wanatuzingua mnapokua mnabana saut jitahidin kuzingatia saut
Mapungufu ya kizamani haya!! Sauti kwambachamkuhaki!?
Sauti inapotea sana tunaomba ufundi uongezeke
Hasa
Jamani kingwendu..🤣🤣🤣🤣
Bibiharusi anaziwa dodo 😅
Mmmmh
Jmn huu Kar,🤣🤣
Hawa nao siwazike tu kwani mziki unazuia nini 😂
Huu wimbo nataka nilewe niwanani jmn
Sasa mbna saut amna jaman
Cjui ni make up ila rangi zenu c nzuri Au samofi na kamgisha wameanza kujichubua 😂
😢😮😮😅😅napenda
Saut jaman
Mbona saut inafel
Mbona leo sauti inakata kata sana
Saut ni kwangu ndyo sisikii au tupo weng
Sauti wazeee
Saut inakata kata
Raha kama zote ambao tukijawaliwa atujaona hii mbambamba masim uliopita saivi tunaenjoy tu 😅
Jina ya wimbo jamani wenye kingwendu anacheza plz
Umbamba
Wengine tunawasubiria mahali mliachia
Sauti sauti sauti
Saut jmn mbon unazngua
Il y’a un problème de son ( le son se coupe sur certain dialogues)
Sauti inazingua
😀😀😀
Waambieni ukweli Wasafi...hii video kuna sehemu sauti zinakata. Video zao nyingi zina shida ya sauti
😂😂😂😂jamani
Mbona haisikiki??
Mkojani 😅😂😂
Hivi tulikuwa tumefika episode ya ngapi
Sauti mnayumba san
Tupo wengi sauti wamezingua
Sauti inakata kata nini?? Kwani editor hasikilizi before kuachia?
Nc😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Imekuwa umbamba ya kijinga kwanini mutoe mziki sasa
Mziki msiba
😂🤣
❤❤❤❤