SHINYANGA YAZIZIMA, LISSU AWAPIGA SPANA CCM SAKATA LA MKATABA WA BANDARI NA KAMPUNI YA DPW

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #TANZANIA: #Shinyanga yazizima, #Lissu awapiga spana #CCM sakata la mkataba wa #bandari na kampuni ya #DPW

ความคิดเห็น • 20

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 ปีที่แล้ว +5

    Video hii imezimwa sauti, tafazali mushuhulikiye sauti. From Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.

  • @josephatdunda1937
    @josephatdunda1937 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama ile royal toure alikuwa anatafuta watu wa kununua nchi syo kuwekeza maana syo kwa mambo haya

  • @lazarouskoromo
    @lazarouskoromo ปีที่แล้ว +3

    Duuuuu tundu lissu hanaguruma Shinyanga

  • @salimucvales7495
    @salimucvales7495 ปีที่แล้ว +1

    Uishi milile Kaka

  • @eliaorgenes676
    @eliaorgenes676 ปีที่แล้ว +1

    huuu ni msiba mkubwa sana kwa taifa letu .ni laana tu ndio inaweza kufanya uteseke ktk inchi yako .

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 ปีที่แล้ว +1

    People's power

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 ปีที่แล้ว +1

    Harafu kuna mijitu inasema, tunaunga mkono jitihada za serikali

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru ปีที่แล้ว +1

    Watanzania tumelogwa na aliyetuloga kafa

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl ปีที่แล้ว

    Hakuna Mtume, Shehe, Ustaadhi na Muislamu Yeyote Mwenye Akili Timamu Anayeweza Kukubali Mkataba Huu Kwa Sababu Eti Akiukataa itakuwa ana chuki dhidi ya Uislamu na Waarabu !!

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubwa akulinde daima ktk kipindi hiki kigumu, akujalie afya Kwa Taifa letu

  • @LuganoPondo-km8ub
    @LuganoPondo-km8ub ปีที่แล้ว +1

    Ifike wakati watanganyika tuwe na hasira na nchi yetu

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi ปีที่แล้ว

    People's power ✌️✌️✌️👏

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 ปีที่แล้ว +1

    Kuna.viongozi wa dini watahaibika

  • @DominickIfunya-tm6pi
    @DominickIfunya-tm6pi ปีที่แล้ว

    Tutashinda mungu yuko upande wetu

  • @hubman6780
    @hubman6780 ปีที่แล้ว

    Kwa kuwa pia anakopa mikopo ya IMF ni dhahiri hatuna tena tuchomiliki zaidi ya kuwepo kama tusiokuwa na P.o.Box

  • @KapesaKapesandevu
    @KapesaKapesandevu ปีที่แล้ว

    Mama ni mama yetu huyiu mh hana huruma

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz ปีที่แล้ว

    Chadema wamepata mjadala wa kuingia nao kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa ndiomana wanajitahidi sn kuupingaa huu mkataba walianza na katiba mpya wakaona haito wasaidia saivi bandari aise nyie kiboko

  • @KapesaKapesandevu
    @KapesaKapesandevu ปีที่แล้ว

    Sio magu br behind

  • @albanTz001
    @albanTz001 ปีที่แล้ว

    ✌️