SOMA DUA HII KUUFUNGUA MDOMO KUMBE HATA MIDOMO INAROGWA!(IMAMU MOHAMED MALINA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 74

  • @Rukiamohammed-ff6ch
    @Rukiamohammed-ff6ch 4 วันที่ผ่านมา

    Asalamu alykum warahmatullah wabarakatuh shukran jazakallah kher

  • @JounhafidIssa
    @JounhafidIssa หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar

  • @MwanaidiTwaha-my6mz
    @MwanaidiTwaha-my6mz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe kiti Cha pekee kesho Akhera unatusaidia sn sn ktk mfumo mzm wa maisha yetu Kwa elimu unayotupa shekh

  • @AminaShabani-ob2fn
    @AminaShabani-ob2fn 9 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum warahmatulah wabarakat shukran sheh wetu Allah akuzidishie elimu uzidi kutujuza inshallah

  • @JoharyMhagama
    @JoharyMhagama 3 หลายเดือนก่อน

    Namshuru sheikh kwa kutuzindua allah allah atakupa

  • @AbrahamManzi-db4gx
    @AbrahamManzi-db4gx 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allahuma amin hizo Dua nizo tunazihitaji kuzihifadhi kwakuws Dunia hii mazingira ya ki cawe yameyiandama sana kbx

  • @mohamedhussein3817
    @mohamedhussein3817 10 หลายเดือนก่อน +7

    😢Sheikh Allah akupe kheiri nyingi na akupe elimu nyingi nilifanya na niilipata matokeo Hakika Dua ni ukweli mtupu.fanyeni sio kujaribu.

  • @ZenaMoshi
    @ZenaMoshi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallau gheri shekh

  • @AminaMohamed-td2bi
    @AminaMohamed-td2bi 2 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah

  • @mariammohamed6762
    @mariammohamed6762 10 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamdulillah hata sisi tusiokuwa na nafasi tnaweza kusoma ni fupi mno nami nimesoma Alhamdulillah

  • @RehemaHassan-o8j
    @RehemaHassan-o8j 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishie inshaallah

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 4 หลายเดือนก่อน

    Nimesoma shekhe shukran allah atupe mwisho mwema

  • @MahuAbdallah
    @MahuAbdallah 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran jazakallaahu khair

  • @TwaibLigingo
    @TwaibLigingo 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mungu akulipe🙏

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 10 หลายเดือนก่อน +5

    Salam aleykum kwali ndio sheikh wakwanza anatufundisha tiba bila kutanguliza namba yake ya simu Allah akulipe mema hapa duniani na akhera

  • @broumaiyyah8018
    @broumaiyyah8018 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran jazeerah

  • @amsamaghenah7090
    @amsamaghenah7090 8 หลายเดือนก่อน

    Allah Aqbar, Allah akuhifadhi shekhe

  • @BalkissMuhammad-lg5hp
    @BalkissMuhammad-lg5hp 8 หลายเดือนก่อน

    Bismllah shukran ya sheikh

  • @SharifaJuma-b1g
    @SharifaJuma-b1g 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana shekhe

  • @BilaliBarekayo
    @BilaliBarekayo 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekhe jazakallah khayran

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran shehe

  • @AminaIbrahim-mn9wg
    @AminaIbrahim-mn9wg 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadh shekh wetu❤

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh tunakuombea mema muda wote inshallah

  • @lolubokhalifa3836
    @lolubokhalifa3836 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah hongera sana

  • @rizikilukali1558
    @rizikilukali1558 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekh kwa mawaidha

  • @meekman1805
    @meekman1805 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran Sheikh.

  • @zayanabakari7948
    @zayanabakari7948 5 หลายเดือนก่อน

    Barakallah fi kum

  • @biashaqtr-xd2mf
    @biashaqtr-xd2mf 10 หลายเดือนก่อน +7

    Asalmu aleikum warkmatullahi taala wabarakatuh kwanza nasema Alhadulilahi sana namshukuru Allahu kwakijalia darasa hizi.shekhe Alhadulilahi nimesoma nimeona miujiza makubwa.niliposoma niliona jima katika usingizi akikimbia kama mwandazimu . Hii dua inatowa vitu vibaya.pia koo yangu nautosi ulikuwa ukiuma Alhadulilahi namshukuru Allahu nimepona Alhadulilahi namshukuru Allahu.A kubariki Amin.Dua hii Ayakursui Niponyo.

    • @imamumohamedmalina6995
      @imamumohamedmalina6995  10 หลายเดือนก่อน +1

      Allahuma amiin wa jazaak LLAHU khairan na Allah akuhifadhi na kila shari ya shetani 🙏

    • @rigeiyenyika570
      @rigeiyenyika570 6 หลายเดือนก่อน

      Umesoma mara ngap nami nnahilo tatizo

  • @hassanomary7353
    @hassanomary7353 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah asante

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sheke nmesoma nkawa naisi kutapka lkini sjapka wallahi

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt 5 หลายเดือนก่อน

    Amini

  • @mankaidris3294
    @mankaidris3294 8 หลายเดือนก่อน

    Allah atakulipa shehe

  • @AminaMustapha-d7h
    @AminaMustapha-d7h 3 หลายเดือนก่อน

    Shegh mg akuzidishie elim naakup mwisho mwema

  • @Asia-m7n
    @Asia-m7n 9 หลายเดือนก่อน

    Thanks ❤❤❤

  • @ZawadiBenjamin
    @ZawadiBenjamin 6 หลายเดือนก่อน

    Manshallah

  • @TatuMohammed-jz3qp
    @TatuMohammed-jz3qp 10 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum,yaani wewe,maalimu M/Mungu akubariki sana,maneno yako ni yenye ukweli na,busara,

  • @maryamali-wl7lh
    @maryamali-wl7lh 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran San shekh me natak duwa ya kurogwa kichwa kinanixumbua san

    • @imamumohamedmalina6995
      @imamumohamedmalina6995  5 หลายเดือนก่อน

      Soma ayat lkurusiyy nyingi shika kichwa na usome mara nyingi utopona bi idhin LLAHI

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 10 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah

  • @MonalisaMsoffe
    @MonalisaMsoffe 10 หลายเดือนก่อน

    Inshallah

  • @BintiAli-b8g
    @BintiAli-b8g 9 หลายเดือนก่อน

    Mm nimesoma kishs nikatapika vitu vya ajabu kwa usingizi alhamdhulilah

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 10 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleikum shekh

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 8 หลายเดือนก่อน +2

    SHUKRAAN SHEKH NIMEIPENDA HII DARSA
    SUALI LANGU NIHILII HILO UKIMSOMEA MTU ILI ASIPANDISHE UNAFANYAJE?
    AU UNATANGUKIZA DUA GANI?

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam alaikum nimeisoma nime tapika sana shukran 😊

    • @TpPt-do5vg
      @TpPt-do5vg 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂weee ACHA kusema duu Yani wachawi watafika mbinguni wamechoka wanavyo tutesa na uchawi wangine maisha yetu yamekuwa magumu

  • @mohammedgulam9274
    @mohammedgulam9274 9 หลายเดือนก่อน

    Mm nimetapika mate nyeupe

  • @habibarashidi-xn6mb
    @habibarashidi-xn6mb 5 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @MaimunaMohamed-b1n
    @MaimunaMohamed-b1n 10 หลายเดือนก่อน

    Shukurani

  • @HamidaRajabu-o4v
    @HamidaRajabu-o4v 4 หลายเดือนก่อน

    A,alkm afwan naomba taja namba yako ili niwasiliane na wewe shekh

  • @DungaGrinar
    @DungaGrinar 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako shekh

  • @LatifaMwandu
    @LatifaMwandu 10 หลายเดือนก่อน +5

    IlI UJUE KM UMEROGWA SHIKA UTOSINI NA TAYA ZAKO.unaweza kuachama na ukabana mďomo wako km picha inavyoonesha
    KUFUNGUA MDOMO ULIOROGWA;
    Somea kurisiyyu 7.na uwe na chombo cha kutemea ikiwa itatokea ukatema.
    Km umerogwa utaona unapuuzwa husikilizwi,ht km una shida

    • @Saumu.K.karisa
      @Saumu.K.karisa 10 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba.Dua.hii.Kiswahili

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 9 หลายเดือนก่อน

      Asalamu ghalaikumu warahmatullah wabarakatuh, msaada ,je ikiwa mzazi wangu hajui kusoma inaswihi nikijisomea mm na yy akashika na kusikiliza ili kujifungua wote tafadhali shekhe wetu kipenzi. Nijuze.

    • @rehematahir-u4n
      @rehematahir-u4n 3 หลายเดือนก่อน

      😊​@@zohoraramadan4540

  • @BigirimanaAbdulshakur
    @BigirimanaAbdulshakur 6 หลายเดือนก่อน

    Assalamwalaykum warahmatullah wabarakatuh vp na hali haya insh allah leo ntakupigia sim

  • @sebbymwajuma3853
    @sebbymwajuma3853 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakat sheikh, mbona video zako mtu hawezi kudownload

  • @HawaaLadha
    @HawaaLadha 5 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleyku
    Shekhar shukran saananimetapika baada ya kushika mdomo nakusoma ayatul qurusiyyu
    Kweli nimeamini Quran ni bora zaidi na inatusaidia Asante Sana Natoma muda wa siku ngapi?

    • @MwanahawaYahya
      @MwanahawaYahya 5 หลายเดือนก่อน

      Mashaallah xhekh allah akulipe kil la kheir

  • @Salbatrani12
    @Salbatrani12 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam aleikum duaa inasomwa mara ngapi?

    • @imamumohamedmalina6995
      @imamumohamedmalina6995  10 หลายเดือนก่อน

      Soma mpaka maumivu yaishe

    • @meekman1805
      @meekman1805 10 หลายเดือนก่อน

      7 days

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 9 หลายเดือนก่อน

      Na hitaji namba yako shekhe wangu ya watsaps litakalo tokea nije ni kupe majibu inshallaah

  • @BintiAli-b8g
    @BintiAli-b8g 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimesoma nilitapika sana usingizini vitu vya ajabu vyeusiii. Shekhe naomba utujulishe hata kutapika kwa ndoto pia inafanya kazi?

  • @aminakiure
    @aminakiure 10 หลายเดือนก่อน

    Amini inshaallaah

  • @saide-nu2qw
    @saide-nu2qw 3 หลายเดือนก่อน

    Shekh kama Kuna mtu ameparalyse je si unaweza kumsomea

  • @eunicefalex4403
    @eunicefalex4403 10 หลายเดือนก่อน

    Jaribu kwenda na muda shehe bando inakata

  • @AbuazzMafita
    @AbuazzMafita 7 หลายเดือนก่อน

    Nimesoma nimeshindwa,nimenzatu,nimeshindwa ntapka,hatar,nikwel kabisa

  • @Amina-ef3yk
    @Amina-ef3yk 5 หลายเดือนก่อน

    Cimu ya wasp tupo.nje.nchi

  • @Rukahy-f6g
    @Rukahy-f6g 2 หลายเดือนก่อน

    Inshallah