Assalam alaikum wa Rahmatullahi wa barakatuh,sheikh Qoran ni shifa kweli,Mimi nilikuwa nawumwa mgongo nikafata Yale maelekezo Yako kama juma tatu tukuwe tunasoma surat fatha mara 70 Juma nne mara 60 Juma tano mara 50 Alkhamisi mara 40 Ijuma mara 30 Jumamosi 20 Juma pili 10 Nimesomeya majyi yakunywa,na kunywa mengine najyipaka mgongoni wallahi mgongo umeiisha alhamdulillah nashukuru sana,Allah akuongezeye.umri wa kuishi
MashaAllah
Shukran
Asalmu aleikum warkmatullahi taala wabarakatuh.Alhamdulillihi mashallah Alhadulilahi Allahu Akubariki Akulipe Kila la kheri inshallah.shikran.
Assalam alaikum wa Rahmatullahi wa barakatuh,sheikh Qoran ni shifa kweli,Mimi nilikuwa nawumwa mgongo nikafata Yale maelekezo Yako kama juma tatu tukuwe tunasoma surat fatha mara 70
Juma nne mara 60
Juma tano mara 50
Alkhamisi mara 40
Ijuma mara 30
Jumamosi 20
Juma pili 10
Nimesomeya majyi yakunywa,na kunywa mengine najyipaka mgongoni wallahi mgongo umeiisha alhamdulillah nashukuru sana,Allah akuongezeye.umri wa kuishi
UNA SOMA MUDA WOWOTE KTK MAJI AU
قل هو الله احد الله الصمد لم يلد ولم يولد ولم يكن له كفوا احد
Hakika umeniongozaa vizuri sana shehe
Shukran Sheikh
Mashallah ❤
Shukran sheikh
Maashaallah!
Mashallah
Asalamu alykm warahmatulah wabarakatu, mm nasoma 40 kila asubuhi hiyo nayo inafaa au nakosea
HII kiboko ...ilinijibu Alhamdulullah 🤲
IPI HIYO
Asalaam aleykum. Shehe Darasa lako lipo wapi?
Lipo TH-cam Kwa niaba yake