Asante baba namimi naona mwanangu anashuka usiku wa saa7 tu akapiga kelele kama katishwa na kitu mara naota kadondoka kutoka juu ya mtu akapasuka kichwa huu inanitiisha sana shekh.
Asalam aleykum shekhe mm mbona naota mume wangu ananipigia magoti ananihagi na kiuhalisia hatuko pamoja yy yuko inchi jirani naota hivo kama mara tatu nini maana yake
Masha.allah Allah akuhifadhi Imani wetu
Allah akupe umri wenye heri
Asante baba namimi naona mwanangu anashuka usiku wa saa7 tu akapiga kelele kama katishwa na kitu mara naota kadondoka kutoka juu ya mtu akapasuka kichwa huu inanitiisha sana shekh.
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh shukran
mashaallah
Shukran
Shukrn sn
Shukran Allah akulipe kheri
9:51
Shekh hapati muda wa kujibu arafa.subiri akisoma ataleta kitu kizito inshaallah
Asalaam alaykum kwa mtoto anaetafuna umesema andalusia ya majini huyu tunamsaidiaje sheikh nahisi mimi ni muhanga wa hili tatizo
Dua tu itamtosha
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh.......hivi kama mtoto amechukuliwa msukule unaweza kujua na je unaweza kufanya lolote kama umeshamzika??
Mtu mzima kushtuka dua yake ni ipi
Asalam aleykum shekhe mm leo nimeota mtoto wangu wa miezi minne ameng,oka meno ya mbele na kiuhalisia hana meno ni wakiume nn maana yake
Ustadh msichana wwngu anatafuna meno usingizini
Samahani nakujibu kwa ninavyojua mimi kamnunulie dawa za wadudu wa tumbo umpe yatamalizika matatizo hayo
Mm na uliza.imamu.mtoto.kutafuna meno usingizi.nitatizo.la nn
Asalam aleykum shekhe mm mbona naota mume wangu ananipigia magoti ananihagi na kiuhalisia hatuko pamoja yy yuko inchi jirani naota hivo kama mara tatu nini maana yake
Uwe makini anaweza kuwa jinn tu anataka kukuchonganisha na ndoa yako na kama unaota unaingiliwa basi huyo ni jini mzinifu
9:51
9:51
9:51