Nasikitika kuona mtt wa kiume akiomba like Tena kwa wanaume wenzeke" ww n mwenzetu nn unakuwa omba omba mnaacha kusapot Kaz naomba like" nyie ndo joti? Had wanawake nao naomba like naomba like mtawaomba hao hao mm bando langu nanunua kwa pesa yangu huwez niomba like kenge yyt yule povu ruksa
NAWAONA MAKARAO FROM TANZANIA achana na wa kenya
Safi joti lkn hatupati like kwasababu ss wakenya
Unatumia kigezo cha utaifa shame on you
😂😂😂
Askari feki
❤❤❤❤
@MohammedHaj 1:57 ji-fl1sv
Binafsi nimependa sana Nanga kufanya kaz na Joti maana kaongeza kitu muhimu sana.. hongeren sana
Na mimi leo nipeni likes zangu from Chuga🔥
Joti: Subiri kwanza, wewe umenidhulumu!
Mbilikimo: Shikadhulumu afande nis...afande nishai sijakuamini!! 😂😂😂😂
😂😂😂😂 sema mlewa kampiga Buti la kweli Mwanangu Fupi
😅😅
Uhalisia babuu😂😂😂😂
Namkubali mlews
Joti anachekesha lkn pia very educational video zake
From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa 😃
Nanga Kama baba mwenye nyumba😂😂Nishai Unahama🤣🤣🔥
Bwana joti , hii akili ni Yako au umeiba Toka kwa mungu " big up " , wako kassim Bakari Bindo from dar es salaam Tanzania kigamboni
Nanga nakubali kazi yako ❤❤❤
Mashabiki zetu wa joti TV tunawapenda Sana
Nakubari
Mpeni pole mtu mfupi sio kwa teke lile😂😂😂😂
😂😂😂
mimi shabiki yenu wa miaka mingi sana..
mkenya nikiwa saudia kila ijumaa nawasubiri sana
@@aishafrancis7714 sawa hhhh
Nanga kaongeza kitu sana😂😂
Kama na wewe unaangalia ukiwa kwenye daladala alfajiri hii, gonga like chap 😊
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
mekupa likes 👍
@@officialkamdudu No comment.
Joti bana unanivunja mbavu
Yaani me nikiwa naangalia jot naangalia waliopo akiwepo mlewa nafurahi nampenda sanaa mlewa
😂😂😂
😂😂Askar Feki 😂😂 saf sana imetisha
Shida moja Bando langu linaish jaman kwaiyo nawasha dat na kusima 😢😢 like 👍 sangu please
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
Mama junior sasa 😂😂😂fuata maelekezo wifi acha ubishi😂😂😂😂
Nazifurahia sana kazi za joti kikosi kinazidi kukomaa pongezi saidi kutoka Kenya hapa
Nangaa moja ya best comedian😂😂😂
Askari hao😂😂😂😂
Ila askari bongo ni faida sana ❤❤😂
Hii jot umetisha ndo Kali ya 2024 kwangu. Bandika sufuria unga unakuja😂😂😂😂 utaniua Jamaa wa 1982
Khaaa uigizaji mgumu jamani hicho kifupi kilivyoingizwa kwenye buti daah😅😅😅😅😅😅
Ukistaafu comedy unaingia road unga uhakika😂🙏🙌
Nimefurahi kumuona Nanga 😊😊😊
😂😂😂😂 joti anaisha yani kila siku niwa moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nawapeni maua yenu, kazi iko swaaaafiiiiiii
Mbebeee mtie ndani😂😂😂
😂😂😂 never disappoint jotiiii 😂
Huyu joti ni Best comedy
Napendaga vichekesho vyako mpk naumwa aiseee big up sanaaa😂😂😂
Safi sana joti
Emolo kajiongeza kukimbia😂😂
Watching from Nairobi Kenya 🇰🇪
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas
Kumbe ni nyinyi washenzi,eee ni sisi mkuu 😂😂😂 jot umepatikana na mke kashabandika sufuria wewe una enda jela 😂😂😂😂 hii kali
Joti malinyi tunakubali sana kazi yako😂😂😂😂😂
Nishaiii 😂😂😂😂 Aisee ili jina linafuraisha sana
AFANDE NISHAI MTOMBANGILE KITWANGO MIKAZO MIGUNO umepatikana leo wallahi 😂
Joti kazi zako zipo juu hongera sana kk
Wa kwanza Leo likes zangu wapi 😂😂😂😂
likes unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
Vp unateseka?
@@officialkamdudu vp unateseka?
Nasikitika kuona mtt wa kiume akiomba like Tena kwa wanaume wenzeke" ww n mwenzetu nn unakuwa omba omba mnaacha kusapot Kaz naomba like" nyie ndo joti? Had wanawake nao naomba like naomba like mtawaomba hao hao mm bando langu nanunua kwa pesa yangu huwez niomba like kenge yyt yule povu ruksa
@@PaulinaSemindu-ob3de vp unateseka??
Wazee wa Kama unampenda jot/nishai gonga like hapa mpo wapi😂😂😂😂😂
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
@@officialkamdudu WE MSENGE SITAFUTI MKE HAPA!!!😂😂Acha shobo nyang'au wewe Kila comment unajibu KAMA PUNGA VIPE😂😂😂😂🖕🖕🖕
Ahahahaa eti nimepangiwa nje ya kituo😂 anapewa hela anasema sio hii sasa laah😅
Joti anajua sana kuigiza💯💯💯💯💯
😂😂😂Dahh comedy bora 🎉
Wameyatimba alisikika whozu akiimba😂😂😂😂😂
Nangaaa😂😂awashee radio kol🤣🤣
Thank you guys!
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
First one to comment, naomba like zenu hapa darlings ❤❤❤
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
Jotu is on fire 🔥
Nimewahi na miee nimekuwa wa 62😂😂😂😂 yaani daah hawa ASKALI WA MCHONGO😂😂😂
😂😂😂😂 nnje ya kituo ila nishai daah 🙌🏾
😂😂😂😂 naam kazi nzuri
I Am the first one like zangu tafazali
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
Tuhumiwa tenaaa😅😅😅😅😂😂😂😂
Walah nimecheka sana😂😂
Ule mtama umekubali aisee
Anatafta riziki jamani😂😂😂
😂😂😂😂nishai ana kutana nayo kabisa 😂😂😂😂😂
Mwana Ana nyota moja😅😅
Afande nishai leo mmh wllh bado ungali number one 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂joti kayakanyaga na mwanawe leo
Huo mtama nimeupenda haswaa 😂😂😂
Nimependa! umefanya kitu Cha tofauti just like that.
Nanga + joti ni💥
Wakwanza toka Nrb Kenya 🇰🇪 🫡🫡🫡🫡🫡
Ebu jiongeze😂😂😂😂😂
Wa kwanza leo naomba like ❤
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
Kapewa ela ya moto😅😅
HII IKO POA SANA.
KAMA WEWE NI KAMANDA MWEZANGU AU MZALENDO MWEZANGU TUNAYEPINGA VITA VYA ASKARI FEKI WA DIZAINI HII GONGA LIKE HAPO
Sema hili Nanga liko na Talent xana 😂😂😂
Mmh kwa yanga hii😀😀😀
Hahahaha Naaaaaaaaam Sio Hiii Mkubwaaaaaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀
nanga yupo serious sana 😅😂😂
joti huyo jamaa bonge anajua sana 😅😅😅
Nanga 😂😂😂 yan ananichekesha kabla hata hajaongea yan matendo tu
He! Mama Junior!! Ooooh ok kumbe!
Joti daaah mbavu zangu jamani😂😂😂😂😂❤❤❤
😅😅😅😅😅😅😅 daaaaah mbona fupi
Leo umepatikana😂😂😂
Watu wanapambana kutafuta Ridhiki 😂😂😂
Nishai mkali wao
Leo wa kwanza kukomenti
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Joti my legend🔥🔥🔥
😂😂😂😂 joti si mzima 😭😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂😂😂joti anajua sana
Mwana Wa mtombangile kitwango
Blaza blaza...kiingeleza kidhuliiii
😂😂😂😂 mm nimepangiwa nje ya kituo
😂😂😂😂joti jmn🙌🙌🙌🙌🙌
Kutoka KSA Kingdom of Saudi Arabia kz nzuri 😂😂
Et sitaki Shari ila bongo Rahaa Sana😂😂 burudan iendelee😊
😂😂😂 kamanda nishai😂
Uwiiii haha😅😅😅😅😅😅 so poa
Nimecheka saana aliposema ye Yuko kwa nje pale😂😂
Kama na wewe unafikiria wale waliotiwa katika Buti watapataje kupumuwa weka like
Nishai mtomba ngwile kitwango mikazo miguno 😂😂😂😂😂😂😂
Jiongezeee
Kwa mara ya kwanza nimuone Trafiki ofisa hapo Joti umetoa boko 😂😂😂😂😂
Huu nimfano wa nyota😂😂😂