#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ktk izo mechi zenu kuna yanga na azam utatobowa gb 64 kubwa jinga

  • @SINDAWAWA
    @SINDAWAWA 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mwalimu felya

  • @aishaadam9933
    @aishaadam9933 21 วันที่ผ่านมา +2

    Ben tv amjui kumoji mtu kwaman ata we mwandishi ujui pia mpir GSM sio mmiliki wa yang ni mzamin tu

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile 19 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa kumjibu huyu

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo ni kwa kuwa kuna wadhamini wengi wanaojitokeza na sio kama huku kwetu!

  • @GETRUDEGODWIN
    @GETRUDEGODWIN 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hayopo xawa alopoka xana anaongea maneno mengine ambayosio sahii kwa soko letu la Tanzania

  • @SINDAWAWA
    @SINDAWAWA 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ni msenge unaongea ujinga hauna busara ndiyo maana vyeti vilifanya utumbuliwe

  • @GETRUDEGODWIN
    @GETRUDEGODWIN 21 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani huyo Mzee akapimwe akili

  • @peterrichard3275
    @peterrichard3275 21 วันที่ผ่านมา +2

    Sport pesa wanadhani vilabu vingapi hapa Tanzania

  • @WistoniMtewele
    @WistoniMtewele 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mwalimu wa shule gani

  • @user-ob6mn2ig4u
    @user-ob6mn2ig4u 20 วันที่ผ่านมา +1

    Arsenal, Real Madrid na PSG wanadhaminiwa na Fly Emerates, na timu hizi some times hukutana kwenye champion league. Je kuna interest za mdhamini hapa kuipambania timu moja?
    Au sijamuelewa GB64?

  • @mwalingoandrew-gb1jr
    @mwalingoandrew-gb1jr 21 วันที่ผ่านมา +3

    nilikua nakukubari kwembe ni punga tu

  • @ramabig9907
    @ramabig9907 20 วันที่ผ่านมา

    Sport pesa sio mmiliki ni mzamini tofautisheni mzamini na mmiliki

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 20 วันที่ผ่านมา +2

    Gsm sio mmiliki wa yanga bana kubwa jinga

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 20 วันที่ผ่านมา +1

    Yani hawa madunduka wameshindwa kuwaandama viongozi wao wanawadanganya kwenye usajili wanalia na gsm yani wao waache migogolo yao wanataka kuileta kwetu wamemtuma magoma wameona wameshindwa sisi hatuna mpango tunataka kuwa diamond platnumz alivyotoboa alisemwa mengi lakini leo yuko wapi ni worldwide kumamake uyu gb 64 na hii yote tff ndio wanasababisha mashibiki kama hawa dawa yao nikuwafungia tu wasiusemee mpira wetu

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 20 วันที่ผ่านมา

    Magufuli alikuwa na akili Sana huwezi ukawa na akili Kama hiyo afu ukawa mwalimu

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 20 วันที่ผ่านมา

    Hao akina Madridi na Asenal hawachezi ligi moja jitambueni rushwa yenu itabainika na ipo siku mtashushwa daraja kaeni na TFF inayojifanya eti hakuna kanuni,kanuni na Sheria hutungwa kwa uhitaji au hubadilishwa kwa uhitaji.Ni wakati sasa TFF wàjitàfakari😅

  • @SalumuChilumba
    @SalumuChilumba 18 วันที่ผ่านมา

    Mbona mashabiki wa yanga mapovu yanawatoka sana, tumepiga patamu eee?!!

  • @AloyceCharles-ru4oc
    @AloyceCharles-ru4oc 21 วันที่ผ่านมา +1

    GB hyo uwalimu wako nikama ww2 hakuna kila kitu, ndmaana unaongea pumba hata Mzee aliona unafundisha ujinga

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 20 วันที่ผ่านมา

      Tahira hawez muelewa gb"huyu anaeleweka na watu wenye akil

  • @salehemsumi615
    @salehemsumi615 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ujuaji mwingi kumbe kopp tu!

  • @mwalingoandrew-gb1jr
    @mwalingoandrew-gb1jr 21 วันที่ผ่านมา +1

    awesu je?

  • @markobukuku3841
    @markobukuku3841 20 วันที่ผ่านมา

    Kama wewe utakuja kufa masikini wewe timu na viongozi wake wanakukata lakini duu

  • @user-bx1qo9fe3q
    @user-bx1qo9fe3q 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hili lijamaa halijitambui sasahv mpira unaitaji uwekezaj sio propoganda simba bado mnakalili ngojeni muone mtalia sana na kulaumu wstu