Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka (Mbeya Sehemu Ya Kwanza)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 67

  • @joemouly7877
    @joemouly7877 5 ปีที่แล้ว +5

    Usante saana kaka Joël nanauka. Yaani wewe ni mtu ambae kila siku nikiona videos zako najihisi niko juu kabisa. Mungu azidi kukubariki na akupe maisha marefu ili ufundishe watu zaidi na zaidi. Wapate Maarifa yakufundisha generations zitakuja.
    Mafu'disho yako imebadili mambo mengi katika maisha yangu. DAILY ROUTINE.
    Asante kaka.

    • @amandusabren4149
      @amandusabren4149 5 ปีที่แล้ว

      I mean sio jambo baya kureffer articles nyingine, ila talk inapojaa content za watu wengine inapoteza proof ya kuwa mjuzi na mbunifu.
      Nilijifunza kua nikitaka kufanya kitu bora niache kujifunza, nianze kufikiri. (Elewa, simaanishi tusijifunze) ila at the moment unataka kufanya wewe kama wewe inatakiwa ufikiri kwa kina kutoka ndani mwako ili uepuke kutumia ya wengine uliyoyaingiza kwenye subconscious mind yako.

    • @namsifuwadeya2774
      @namsifuwadeya2774 4 ปีที่แล้ว

      Your too much,nakuelewa sana,barikiwa mno nanauka

  • @antonadam4231
    @antonadam4231 5 ปีที่แล้ว +2

    unanifanya nikuone kama #Ruge Mutahaba, nice work na Mungu akufikishe mbaaaaaaali

  • @SandrineNduwimeNduwim
    @SandrineNduwimeNduwim 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa upande wangu shida matumizi mpaka nafanya shooping wakati nakosewa nazijutia.

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana brother ubarikiwe sana 🙏 🙏

  • @matabikasuccessline2068
    @matabikasuccessline2068 5 ปีที่แล้ว +1

    asnte kaka nanauka kwa kutushilikisha kwa sisi tulioko mbali.kalibu sana kasuru kigoma

  • @msleny6767
    @msleny6767 4 ปีที่แล้ว

    Wow.. Somo hili limekuwa key la kufungua mawazo na ubunifu uliopo ndani yetu
    Asante sana Mwalimu Joel kwa video hili na somo safi👏👏

  • @emmanueltwaha1489
    @emmanueltwaha1489 4 ปีที่แล้ว

    Asante Bro Joel Nanauye, upo vizuri, unatupa mwanga.Barikiwa

  • @LatifaAbdala-mz3zw
    @LatifaAbdala-mz3zw ปีที่แล้ว

    Kaka haya matangazo yutubu yanakera kweli, mtu unajifunza jambo mara tangazo linajitokeza, ndani ya dakika tano yanaweza kutokea zaidi ya mara tatu, daa inaudhi sana.

  • @Edsonnyampundu-v4l
    @Edsonnyampundu-v4l 10 หลายเดือนก่อน

    Nataka kitabu cha timiza malengoo

  • @rajabumrama3161
    @rajabumrama3161 4 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa sana

  • @medameda3920
    @medameda3920 5 ปีที่แล้ว

    Bro asante sana nikua sijui n nini cha kufanya kwa kile nikipendacho sasa ntarifanyia kazi m hupenda sana wototo na ndo hao marafiki zangu asante sana bro

  • @nelsonmpolochacha5035
    @nelsonmpolochacha5035 4 ปีที่แล้ว +1

    To have you is a blessing

  • @lucksometechnology2035
    @lucksometechnology2035 5 ปีที่แล้ว +2

    Kaka umekuja kama nabii kutukomboa kwa kweli

  • @Fahar-c3p
    @Fahar-c3p 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana

  • @herytheryt7321
    @herytheryt7321 5 ปีที่แล้ว

    Safi sn kaka yaani nimejifunza kitu ,,,mungu akubariki mno

  • @kassianmwenyasi3718
    @kassianmwenyasi3718 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Pastor , nimepata kitu kikubwa

  • @LuiTvshow
    @LuiTvshow 5 ปีที่แล้ว +3

    Nafuatilia kutoka @Kenya @Mombasa afisi za Radio @SautiYaPwani

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Captain lui1 nipe namba yako nakuja mombasa mwaka huu 🔥🔥🔥

    • @LuiTvshow
      @LuiTvshow 5 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka +254711526919

    • @LuiTvshow
      @LuiTvshow 5 ปีที่แล้ว

      Nimekua nikikufuatilia kwa mda sasa toka mwaka jana na umenibadilisha kiasi fulani hususan kuifaulisha ndoto ya ukuaji wa kampuni yangu itwayo Image 36 Production nilioifungua mwaka wa 2016.

    • @bakarimbonjo7182
      @bakarimbonjo7182 5 ปีที่แล้ว +1

      dodoma lini?

  • @marthamwaihojoofficial6434
    @marthamwaihojoofficial6434 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @noelmwikeve6255
    @noelmwikeve6255 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtaalamu ubarikiwe sanaa

  • @aishamaulidi4679
    @aishamaulidi4679 5 ปีที่แล้ว

    Nimefarijika sana sana sana
    Mungu akubariki kaka joel

  • @maboyiamurani331
    @maboyiamurani331 2 ปีที่แล้ว

    Sauti imetoka vibaya masomo yalikuwa mazuri

  • @kagembekagembe2271
    @kagembekagembe2271 5 ปีที่แล้ว

    Kaka unaakili kama za kwangu nakupenda sana aisee

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว +1

    KAKA JOEL YOUR THE BEST,

  • @ngonyanijames2432
    @ngonyanijames2432 5 ปีที่แล้ว

    hongera kaka kaz nzuri

  • @amandusabren4149
    @amandusabren4149 5 ปีที่แล้ว +3

    Honestly nilichokiona ni compilation ya ideas za waandishi mbalimbali, sio jambo baya ila nilitegemea kuona vitu vipya. Nikiwa kama msoma vitabu nimeona ni kama vile nimepata mtu wakunisimulia vipande vya vitabu nilivyosoma.
    Btw. Nimefatilia masomo yako mengi, you
    are doing good

    • @amandusabren4149
      @amandusabren4149 5 ปีที่แล้ว +1

      I mean sio jambo baya kureffer articles nyingine, ila talk inapojaa content za watu wengine inapoteza proof ya kuwa mjuzi na mbunifu.
      Nilijifunza kua nikitaka kufanya kitu bora niache kujifunza, nianze kufikiri. (Elewa, simaanishi tusijifunze) ila at the moment unataka kufanya wewe kama wewe inatakiwa ufikiri kwa kina kutoka ndani mwako ili uepuke kutumia ya wengine uliyoyaingiza kwenye subconscious mind yako.

  • @hafsahcletty5968
    @hafsahcletty5968 5 ปีที่แล้ว

    Shukran 🙏

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Asante bro

  • @rajabojunju8183
    @rajabojunju8183 5 ปีที่แล้ว

    Karibu tukuyu tunaomba usiishie mbeya tu kaka

  • @esterkapinga1336
    @esterkapinga1336 5 ปีที่แล้ว +1

    Ungeweka no zako za whatsp kaka nikutafute

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 5 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @alexmhema6566
    @alexmhema6566 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu nakipataje kitabu cha timiza malengo ?npo njombe

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    Wwaaawww

  • @kubyunvakimwe1437
    @kubyunvakimwe1437 4 ปีที่แล้ว

    Joel abari dungu please nataka unipe number zako kama unatumiya whatsapp nataka kuogeya nawewe thanks

  • @tinotairo
    @tinotairo 4 ปีที่แล้ว

    naomba namba yako Bro..email yangu in tinotairo@gmail.com

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 5 ปีที่แล้ว +6

    Jamani mimi kuna jambo linaniumiza sana..kaka Joel mbona mm huwa hata sipat taarifa kama kutakua na conference ambayo itaongozwa na ww..hata kama mkoani jaman uwezekano ukiwepo tunakujaaa..naomba utuandalie namna ambayo tunaweza kutaarifiika mapema kuhusu aya ili tuwe pamojaa..plzzzz jaman

    • @pascalkasandakasela4541
      @pascalkasandakasela4541 5 ปีที่แล้ว

      Andika neno NDOTO YANGU kwenda WhatsApp namba 0743868507

    • @faudhiatmasoud4025
      @faudhiatmasoud4025 5 ปีที่แล้ว

      @@pascalkasandakasela4541 Asantee sanaaaaaaaaa sanaaa

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo ukishaandika hivyo inakuwaje yani mikutano yote itakayofanyika inakuwa unatumiwa ujumbe au

    • @faudhiatmasoud4025
      @faudhiatmasoud4025 5 ปีที่แล้ว

      @@maryammaram2612 Utaona profile yake na about imeandikwa Timiza malengo yako..

    • @paulinedavid2524
      @paulinedavid2524 ปีที่แล้ว

      ​@@faudhiatmasoud4025 asantee

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 ปีที่แล้ว +6

    waoooooh amazing bro one day can you come to meet us in Arusha, you are welcome

  • @mwajumayunus2041
    @mwajumayunus2041 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimeshakuwa tajiri tayariiii wa maono baaada ya miezi mitatu insha'Allah nitaleta mrejesho

  • @esterkapinga1336
    @esterkapinga1336 5 ปีที่แล้ว +1

    Joel nakuelewa sana pia nataman kuanza biashara ila nilisha feli malanyingi mpaka naogopa japo na jua nguvu niliyo nayo

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 5 ปีที่แล้ว +1

    Ilikuwa semina yenye nguvu sana kama ulikosa pole

  • @salilamsigwa4323
    @salilamsigwa4323 5 ปีที่แล้ว +1

    mbona ukiwa unasemina dar huwa sijui nitajuane kama unasemina dar

  • @meshackurio2745
    @meshackurio2745 5 ปีที่แล้ว +1

    Niunganishe kwenye gurupu rako plz

  • @salomekombo6166
    @salomekombo6166 5 ปีที่แล้ว

    Tnx broo ubarikiwe sanaa nmejifunza jins ya kubajet fedha na kuweka akba na kuacha matumis yasiyokua na faida,tunasubil conference ya dar jmn broo Joel Lin nataka kujua ili plzz

  • @merryhussen2775
    @merryhussen2775 4 ปีที่แล้ว

    Asante Kaka mungu akuzidishie nguvu na maarifa zaidi

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 ปีที่แล้ว

    mzee baba,,,asante kw kunifaamisha kua mm ni muindajiii,,,japo ngumu ila naimeza,2

  • @fahadalismaily9370
    @fahadalismaily9370 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Joel Nnauka hatukuwepo ila na sisi tumejifunza kiasi kama chao

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana my mentor huwa nakuelewa vizuri sana

  • @richardj.magoma7804
    @richardj.magoma7804 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana.

  • @joseefaidabutu7294
    @joseefaidabutu7294 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kaka

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 5 ปีที่แล้ว

    Thanks my brother

  • @bakarimbonjo7182
    @bakarimbonjo7182 5 ปีที่แล้ว

    kanda ya kati lini?

  • @omaryenock8203
    @omaryenock8203 5 ปีที่แล้ว

    Brother thanks!!!!!!