TAFSIR ZA NDOTO NA MAANA YA KUOTA NYOKA // MAJALIS YA KWANZA // SHEIKH ABUU JADAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • TAFSIR ZA NDOTO NA MAANA YA KUOTA NYOKA // MAJALIS YA KWANZA // SHEIKH ABUU JADAWI

ความคิดเห็น • 24

  • @VailetDickson
    @VailetDickson หลายเดือนก่อน

    Mm Jana nimeota nyoka ana miba anashambulia watu na mm nawaambia watu amkeni mfanye maombi Dunia imeingia kwenye shd , maana yake nn jaman maana sina amani

  • @somoeGodhana
    @somoeGodhana 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleikum mimi niliota niliona nyoka kaja nyumba kwababangu akaingia ndan tulipomuona nakuanza kumtafuta akapotea aliingia kwenye shimo akapotea je hii inamaana gan

  • @marymkumbimarymkumbi5153
    @marymkumbimarymkumbi5153 2 ปีที่แล้ว

    Mim nimeota joka lipo juu ya mbuyu na mim nipo chin na badae akageuka na kuanza kuruka akinifata na nikaingia kwenye bwawa la maji akaenda kutua Ng,ambo ya pili na mim nikaibuka kwenye maji na kurudi nilipo ingilia kuzama keenye bwawa kwaiyo tukapishana yeye Ng,ambo hii na mim kule tukiangaliana kwa hasira naomba tafsir yako shehe 🙏🙏

  • @RamadhaniLeila-px4kz
    @RamadhaniLeila-px4kz ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota majoka mawili moja wanjano na mwekundu nilikua kati yao alafu yule mwekundu ndokaniuma nikafunga kitamba sumu ikazidi kua nikapelekwa hospitali ndonikasituka naombeni dua zenu jamani

  • @abdullahmassoud9183
    @abdullahmassoud9183 3 ปีที่แล้ว +5

    asalam aleykum naomba na mm ubitafsirie ndoto yangu jana nimelala mchana nikaota nipo sehem ila nikaona majeshi mengi wana pambana na watu 2 wana piki piki wale majeshi wana vifaa vingi ila hawawauwi wale watu zaid ya wao ndioo wanao kufa apo apo nikaota kua nipo ndani wameputa wanawake 4 warefu sana kuliko atahii nyumba yetu wakafika sehem pana mpera ila usiku wake nilota nimeenda sehem kumfata mt ila iyo sehem kuna makaburi tele na pana msikiti wazaman ule msikiti ndani ni msafi ila hauswaliwi nikakutana na watoto wanacheza na kumwagiana maji na mm nikacheza naoo akatokea kijana wa makamo akanambia kua shekhe anakazi ndani jee unaweza ukamsubiri mm nikamwambia bas nitakuja siku nyengine akanambia bas tushirikiane kucheza na watoto apa mpaka atakapo toka mm nikamwabia nacherea nitakuja siku nyengine wakat naondoka ktk yale makaburi nikakutana na bibi 1 avi akawa anaifahamisha binti fulani ivi ukoo wake apo nikashtuka ilikua ni usiku saa 9

  • @mwachamwacha-ko6jq
    @mwachamwacha-ko6jq ปีที่แล้ว

    Shekh mm nimeota kuwa nilikuwa na mbwa ambay nilikuwa nampenda kisha akamezwa na nyoka mkubwa chatu mwnye rangi kama kombati ya jesh nilijalibu kumsaidia yulembwa kisha niliamka usingizn

  • @swaumumakunga2469
    @swaumumakunga2469 2 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @TheresiaJaffu
    @TheresiaJaffu ปีที่แล้ว

    Shekh mm nimeota nyoka mwenye vichwa vitatu ameniuma lkn nilimuuwa 🥺

  • @annmukiri8686
    @annmukiri8686 ปีที่แล้ว

    Niliota nyoka ameingia kwa nyumba ya my grandfather na akarudi akatoka akaenda 😮

  • @shekhefaraji5400
    @shekhefaraji5400 3 ปีที่แล้ว +2

    naam

  • @Ruthmpoa-sv9ul
    @Ruthmpoa-sv9ul 8 หลายเดือนก่อน

    Niliota nimeshika nyoka nikaikata na nikaipika na nikaikula 😢😢😢 sijui maana yake

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 2 ปีที่แล้ว

    Asalam alykum warahmatullah wa barakatuh nieota nyoka anakikomoa katika mgu wa kulia ila mwenye nilikuwa nae akamuua kisha ile sum iliingiya mwili wangu lakini haikunizuru kbs

  • @HubaidaKimolo-it1do
    @HubaidaKimolo-it1do 8 หลายเดือนก่อน

    Shekh mimi nimeota naswali kisha nyoka akatokea mbeleyangu

  • @abdulhakimnassor4350
    @abdulhakimnassor4350 2 ปีที่แล้ว

    ASALAM ALAIYKUM NIMEOTA NAKULA NYOKA NAOMBA TAFSIRI YAKE

  • @mwavitaiteriteka5065
    @mwavitaiteriteka5065 ปีที่แล้ว

    Sas sheh unatusaidiaj

  • @nurukimea3804
    @nurukimea3804 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nimeona nyoka mkubwa ila ananikimbia nin maana yak

  • @mwavitaiteriteka5065
    @mwavitaiteriteka5065 ปีที่แล้ว

    Me nimeot na pigan na nyok alinium ila nilimzibit nikamfung sehem

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 6 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wangu aliota amelala nae lkn haha mdhuru

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeota kuna mtu ameniletea nyoka lkn kila nikitaka kumshika ananikimbia

  • @SamsonOmondi-po2nf
    @SamsonOmondi-po2nf 7 หลายเดือนก่อน

    P
    L😊o

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 6 หลายเดือนก่อน

    Mmi nimepata ndoto nyoka ameni fungal ssa Yuko tayari kuni meza Nika amka tafsiri yake ni nn

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 ปีที่แล้ว

    Elimu hii Asili yake Si Uislamu ni Falsafa Za Kichawi Za Kiyunani

  • @zainabonlinetv2210
    @zainabonlinetv2210  2 ปีที่แล้ว

    We unaesema falsafa rejea kisa cha nabii yusuf alipo fasiri ndoto au mtume alipozigawanya ndoto ktk mafungu matatu we uko mbali mno na ulimwengu wa kiisilamu

  • @umuhozashakira6837
    @umuhozashakira6837 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba number yako sheikh