Fahamu namna "Conscious" na "Unconscious/Subconscious" minds zinafanya kazi, hasara na faida zake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @mahirfauz1993
    @mahirfauz1993 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana kaka Broo akuongoze ww pamoja na sisi kwenye Kheri

  • @cryptokona
    @cryptokona 2 ปีที่แล้ว +2

    Some zuri kaka. Ubarikiwe.

  • @mwanaidhozzer1575
    @mwanaidhozzer1575 ปีที่แล้ว +1

    So am very accurate😮

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  ปีที่แล้ว

      Yes, you are.. very certainly. What is needed is a right way to train to reach that accuracy using subconscious mind

  • @mosesmaganga8389
    @mosesmaganga8389 2 ปีที่แล้ว +1

    Very well explained Brother, keep it up

  • @barnabazawadi9433
    @barnabazawadi9433 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana…

  • @kasparyngonyani7733
    @kasparyngonyani7733 2 ปีที่แล้ว +1

    Bigup!

  • @filberthendry2651
    @filberthendry2651 ปีที่แล้ว +3

    Mwalimu Ezekiel ni kama nimechelewa kuangalia video zako nimeziangalia chache lkn nimeelewa city vingi sana

  • @__thereal_unclechibo_7953
    @__thereal_unclechibo_7953 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomb knowledge kuusu power of thought ✊🏿

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  2 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana kwa comment na pendekezo. Nitalifanyia kazi.

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  ปีที่แล้ว

      @_the real_unclechibo_7953, imeshapita muda sana toka utoe request kwangu (Ezekiel) kuongelea 'power of thought'.
      Pendekezo lako limekuwa muhimu sana na nimelifanyia kazi.
      Ninaweka maelezo na link hapa chini

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  ปีที่แล้ว

      NGUVU YA FIKRA | HATARI ZA VITU VYA BURE
      Imethibitishwa kisayansi kuwa zaidi ya 90% ya mambo yanayofanyika ndani ya mwili wako, lakini oia namna mwili unavyowasiliana na ulimwengu; vinatawaliwa na kile unachokiwaza na namna ya unayowaza.
      "Mtu Awazavyo/Aonavyo Nafsini Mwake, Ndivyo Alivyo.." Mithali 23:7
      *********************************************
      Zipo hatari kubwa tano za kupata vitu bure bila kulipia ama kufanyia kazi:
      • Hatari za mguso (physical danger)
      • Hatari za mfumo wa maisha (danger of life philosophy)
      • Hatari za kiakili (Mental/Psychological danger)
      • Hatari za kiroho (Spiritual danger), na
      • Hatari za kupoteza haki (Danger of Loss of Rights).
      **********************************************
      Ili kujifunza zaidi, tafadhali karibu usikilize video.
      th-cam.com/video/-tm2HoLO2lY/w-d-xo.html
      Regards,
      Ezekiel Kuhoga
      Consulting Desk
      OQP Community Network

  • @ibmahenge
    @ibmahenge 2 ปีที่แล้ว

    Sawa bro

  • @leoncealex7343
    @leoncealex7343 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hii video kidogo niache kuingalia lakini umenifundisha vizuri nimekuelewa vizuri

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  5 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana @leoncealex kwa kusikiliza na zaidi zaidi kwa kutupatia mrejesho. Bless you greatly!!

  • @filberthendry2651
    @filberthendry2651 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kwel niseme wewe ni hazina kwa Taifa letu

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  ปีที่แล้ว

      Shukrani sana Filbert. Kama OQP Community Network tunaamini karibu kila Mtanzania (yawezekana sio wote) ni hazina kubwa sana kwa Taifa. Ila sehemu kubwa wameshapoteza tumaini, na wanaishi katika falsafa ambazo hazina msaada kwao binafsi lakini kwa taifa zima.
      Mission yetu kubwa ni kuwafanya Watanzania kujitambua na kuanza kuwa na mchango chanya kwao, kwenye familia na hatimaye katika Taifa zima.