THE MAFIK waonesha balaa kwa kuimba LIVE, Hamadai asimulia Kifo cha Mbalamwezi 'Hakuna kama sisi'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa nyingi zaidi

ความคิดเห็น • 42

  • @mbarakali9405
    @mbarakali9405 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa jamaa ni real talents, the best live music performers

  • @mbarakali9405
    @mbarakali9405 หลายเดือนก่อน +1

    The mafik is my favorite muaic group

  • @godfreychaula3969
    @godfreychaula3969 5 หลายเดือนก่อน +7

    kaka sky leo umeweza sana kucontrol dialogue kwa watu wote apo kuwahoji kwa awamu bila kuboa,kimsingi umemdonoa kila mmoja with strong ideas na umekuwa precise,hongera sana interview ina utofaut mkubwa sana na nyingine...ntakuchek

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  5 หลายเดือนก่อน +4

      Asante sana Godfrey

    • @RichWise671
      @RichWise671 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@SimuliziNaSautiY'all SnS never disappoint Since nothing to Something and from else to much now 💝💝

    • @Mcsceo
      @Mcsceo 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa sky hii ni kawaida sana na ni kila siku nafikiri we ni mgeni na Sky hakuna siku amewahi kubore since yuko RFA,DIZZIM ONLINE mpaka akiwa anafanya project za clouds na za Radios nyingine na sasa tuko Home kabisa SNS sky ni no 1 best kwenye interview,he is always humble kashauliza maswali kwa viongozi wakubwa kama juzi kwenye uzunduzi wa CROWN Fm anamuuliza mawaswali mstaafu Rais kikwete mpaka unaridhika yani to me sijapata ona kama Sky TANZANIA wapo ambao wanajaribu kupita kama yeye na hawafanyi kwa kiwango hiki but all in all sky is the best one..

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 5 หลายเดือนก่อน +6

    Fredrick bundala ni presenter mzuri sana level zake hakuna bongo ni wa kimataifa naiona Sns mbali zaidi ya hapa... imecover a wide range of entertainment... educating the public and many more ....keep up the good work sns crew..we are behind everything you do we support yoh in anything and everything you do💥

  • @remmywamanyamba4676
    @remmywamanyamba4676 2 หลายเดือนก่อน +1

    And now I see the group to compete na ndugu zangu wa Kenya / Sauti Soul
    Big up sana The Mafiki ~ I real like the chemistry
    Kaka aisee Sns upo vizuri sana Nina ndugu angu anakukubali Sana Ndio alio ni onesha Hii acc yako
    Pig up

  • @12322879
    @12322879 5 หลายเดือนก่อน +3

    Fine interview with a great interviewer 👏

  • @JeanclaudeIRANKUNDA-s8v
    @JeanclaudeIRANKUNDA-s8v 8 วันที่ผ่านมา

    Nawakubali xan vijana ,from Burundi muyinga

  • @jasonomary736
    @jasonomary736 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mimi mbalamwezi RIP alikua ndo header wa hili group na ata hamadai Kim nyimbo alikua ayupo una ona funk na mbala wana tembea so this guys thier need to work harder than work harder than before ila kwa bosco I think anatakiwa anatakiwa atulize kichwa sana ana sound ya mbali sanaa na akitulia apaah ata pata wat he deserves amen the mafik itakua better keep pushing jus put Ya God first 😊

  • @user-th2et5yo4c
    @user-th2et5yo4c 5 หลายเดือนก่อน +2

    Awa wakaka wako so amazing 🎉❤❤❤

  • @vincentgeorge178
    @vincentgeorge178 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hili kundi balaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wanajua sana mpaka kero

  • @KabulaElick
    @KabulaElick 5 หลายเดือนก่อน +3

    Napenda sana hii Tim na napenda mnavyo jitangaza

  • @edwarddastani3691
    @edwarddastani3691 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤Unyama sanaaaaaaa

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 2 หลายเดือนก่อน

  • @ismailahmed8728
    @ismailahmed8728 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sky nilfikiri boyz 2 men jamaa wanajuwa keep ra up boyz

  • @shadowbrown1740
    @shadowbrown1740 วันที่ผ่านมา

    Hamadai we ni balaa AA 🎉🎉 25:46

  • @trillionthamani
    @trillionthamani 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bosco atafika mbali sana

  • @HancyKabisama
    @HancyKabisama 5 หลายเดือนก่อน +1

    Fred nakukubali sana tangu upo rfa bonge la mtangazaji yaani huwa aukurupuki unafanya vitu vya uhakika sns kiujumla mko pow sana

  • @VannlyTembo
    @VannlyTembo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mac ni noma naye❤❤

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 5 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥

  • @OnaTimestv
    @OnaTimestv 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mnajua sana

  • @m___ck799
    @m___ck799 5 หลายเดือนก่อน +2

    These guys are extremently talented. Especially Bosco.... 🔥

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shout out sana Hamadai na The mafiki 🎉🎉🎉🎉

  • @Mbaley
    @Mbaley 5 หลายเดือนก่อน +2

    Niuwe ni bonge la ngoma na nusu

  • @Mbaley
    @Mbaley 5 หลายเดือนก่อน

    Tuna enjoy show big up

  • @samomnanka2779
    @samomnanka2779 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli kwa kazi 2 walizofanya inaonesha wana kitu. Mungu awaepushe na hila za mjini ili wafikie malengo

  • @vipackyummy6916
    @vipackyummy6916 5 หลายเดือนก่อน +3

    Rino yuko wap

    • @sirizamwili
      @sirizamwili 4 หลายเดือนก่อน

      Alishaokoka na hataki kabisa sikuhizi. Anajulikana kama Uelewa wa Sauti.

  • @user-sc5ux1qp2u
    @user-sc5ux1qp2u 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @user-de2ee5de1y
    @user-de2ee5de1y 5 หลายเดือนก่อน +1

    hatar sanaaa

  • @jomiAfrica
    @jomiAfrica 5 หลายเดือนก่อน +2

    Welle unajua

  • @CastrolFrancis-nz5nu
    @CastrolFrancis-nz5nu 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nawakubal xana

  • @theatlastz67
    @theatlastz67 5 หลายเดือนก่อน

    The mafik ni nouma sana

  • @ajunotzm3116
    @ajunotzm3116 หลายเดือนก่อน

    Mapano yaendelee nahami ata juma alikolala anafulai

  • @WamunguLado-ph3tr
    @WamunguLado-ph3tr 3 หลายเดือนก่อน

    Xana ma kaka

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 5 หลายเดือนก่อน

    WATAACHANA KWENYE MAFANIKIO,,,KAMA MNAWSAPOT WASAPOTINI

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 5 วันที่ผ่านมา

      Kikubwa dua tu mziki si rahis km unavyowaza

  • @user-gx6nk6wg4j
    @user-gx6nk6wg4j 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiweneni nyoteeee @boscotones hongera kwa hatuwa kaka

  • @Tonemils
    @Tonemils 5 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥