PATANISHO : WEWE NI WAZIMU DAVID HATA UNIPELEKE PATANISHO SIWEZI KURUDIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2022
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Patanisho wewe.... Hii ni Kali.........
Huyu mwanaume ni mtu wa maana sana aki ...si wanaume wengi wako iko
Ukikuyu in me...Amesahau kuongeza "Tiga úngui"na Úngoma"...Hatupangwingwi
This is the best patanisho of the year....
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂unapiga kwaridio kwani ww niwazim 😂😂😂 on love from 🇹🇿
😂😂😂😂 Kikuyu never disappoint... But it's your right kuwa na mtoi
Hii chakula ya GMO imeleta maradhi ya akili kuliko bhangi. David anachukua mother-in-law Maria naye anamwachia mtoto asiewake.
🤣🤣🤣🤣🤣 aky wewe, maybe hakujua ni mother in- law yawa
😂😂😂😂😂😂😂nmecheka sana hpo pahali ati amemuwachia mtoto sio wake
@@beatricetiko6804David alijua huyo ni mother-in-law yeye ni wale watu hawatosheki ukimlisha chapo then anaanza kutamani choma.
Murife Run 🏃🏃🏃
Aki wakikuyu lazima tuongee lugha etu tukijam😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hae
Exactly 😂😂😂
Okuyu tumefikiwa you never let us down 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Nalaumu wakisii hapa
After my course mates wakikuyu kunitusi juu ya kuskiza patanisho,leo ni yao 😅😅😅😅
Waaaaaa what kind of a man is this
Tafadhali mkianza kuleta wakikuyu huku hakutakalika🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️
Maria Wamboi ni bad news
M'baba asikufanye unione maskini
David utendaje kuoa mke aliekuwa wa baba mkwe wako, na huyu mwanamke pia ni kichwa maji ataachiaje mwanaume mtoto mwenye si wake
Hiyo ni dhambi
Wa first
Mimi na yesu
Hear from tiktok
Tatu Bora mnipitie na mimi mnisapoti
Wakikuyu hatupakwi maujiuji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂davvy alichukua step mum wa maria😂mayeeeeeee maisha ngumu
He is turning every stone
That's a family feud!! Weuh! Wambui ati huo ndio wanalipa nyumba.
In short yeye ni malaya
Sasaa wote walitika inje ya ndoa bt david amezidi anachua step inlow ayiiih laaana izo
huyu mwanamke n mjinga, unatoa wapi nguvu ya kuacha mtoto wako
Haki 😳
kwani yeye sio baba...nyinyi wenye ndio mnawatusi mwendee kulea..wacha wanaume they learn their lessons..they are also parents
Maria chukua mtoto/ watoto wako..anateseka/atateseka sana💔😭
Utaoaje mwanamke akiwa na mimba ya wenyewe?? Hii ulevi yenu bro
Stupidity of high levol
Saitanii
@@Pauline77203 😀 na bado mwenye mimba akaendelea na kulima samba yake...
kube patanisho imekua ya kikuyu pia😂😂😂😂
😂😂😂
@@martinkari7ki929 😆😆😆😆ungesikia vile wanasemaga ni ya luhya na luo wee
Itabidi Mariah amuite Davy baba
Ghaiiiii sasa wewe unalelea mwengine wueeeh hii ni noma kama ni mtoto boy hapo umekamatwa mateka
David si apeleke mtoto kwa hiyo plot kwa huyo mwanamke
This serious achukue mtoto wake.... Tafadhali saidieni huyu jamaaaa
Mariah ni mangaa
Weee mtoto under 18yrs tunaachia mwanaume kivipi?Naye Davi aka oa mother in law wee
Ndio nashangaa the poor child😭
🤣🤣🤣🤣🤣
Men avoid single moms ni stress tupu especially hawa okuyu vichwa ngumu
women.. avoid baby daddies..takataka tupu tu
..watu wajikalishe..hata sisi single ladies hatuwataki pia..mkae pekee yenyu
😂😂😂😂
😅😅😅😅
sida ndio taabu
hahahaaa Aki mapenzi wewe??unaoa dame ako na ball?like how??wah!!davie kaa tu na mom in law,I mean byb ya fodah inlaw chaee🙆♀️🙆♀️
Murudishie mtoi umuachie
We need to change our country name very urgently....juu weee Ile maneno iko huku Mimi ata next life after death nitataka kua mti wa mabuyu Uganda than being a human in Kenya 🤢🤢
😂😂😂😂
Wee! Ann hii ni Kali
Wueee fear women😅😅btw my fellow gender si tukuange tu remorse sometimes Maria the thunder that will strike you iko kijabe inafanya soma btw unaoaje dem amekuliwa kwingine na ako na evidence😅😅
Mutaambiwa Hadi lini muachanee na ma single mother?😂 Unaoa mtu ako na mimba ya mwanaume mwingine? Atakuacha arudie baba mtoto, wanaume jamenii 😂
Mtawaoa tu juu nyinyi tu ndo mmewafanya single mums. Hizo mimba ni zenu tu.
The cause of death in kids and incest. How can you leave your kid
Huyu Maria anakaa mukunwaji kichwa maji
YOUR A MOTHER!!!!! HOW CAN YOU DIVIDE YOUR KIDS?????? YOUR A MOTHER OF BOTH KIDS??????
Haha hahahahahaha wewe ni useless