UMASIKINI, NJAA, MATATIZO VINATUFANYA TUHATARISHE MAISHA YETU?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Mada ya iliyo enda hewani leo ni kuhusu hatua za kuchukua kutiokana na janga la kuanguka kwa magari ya mafuta kuleta athari kubwa sambamba na vifo vingi lakini bado watu wanajongea kuchota mafuta kwenye lori lingine lilio anguka Mkoani Kagera hivi karibuni.

ความคิดเห็น • 17

  • @juliusdaniel3514
    @juliusdaniel3514 5 ปีที่แล้ว +3

    Dozen karibu team clouds nzima haniambii mtu kitu nawaerewa mpaka me sijierew

  • @nas153
    @nas153 5 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka sasa inasemekana hakuna ukweli wa kuongea na simu kituo cha mafuta itasababisha mlipuko hii inaitwa "MYTH"
    Sababu ya kukatazwa hii inaleta umakini hafifu wa muingiliano wa kuweka mafuta na simu yako utajikuta unafanya usicho kitarajia. Mobile phone haijatengeneza na kupitishwa kuweza kusababisha mazingira ya milipuko.
    Ikiwekwa sheria ya kunyang'anya leseni kila dereva atanyooka kwa kuogopa hili.

  • @e_j1official341
    @e_j1official341 5 ปีที่แล้ว +1

    Big issue kama watu wa kagera hawakuchomoa betry there is .......... " naogopa "

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi wasafi Mbona interview zao huwaga zamakelele sana Mbona wenzao wanaongea kwapoint siosili clouse nawapenda

  • @oskavenansi3403
    @oskavenansi3403 5 ปีที่แล้ว

    Chama lawana.

  • @robertpetro804
    @robertpetro804 5 ปีที่แล้ว

    Perfect yupo wap siku hizi

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว

    kenedy sauti yake kma ana mafua

  • @tutilomtoro6770
    @tutilomtoro6770 5 ปีที่แล้ว +1

    Yan umaskin ndo kama hiv

  • @oskavenansi3403
    @oskavenansi3403 5 ปีที่แล้ว

    Mchomvu Bwana

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 5 ปีที่แล้ว +1

    Anaekimbilia kuchota mafuta nimwizi kama wez wengine, nawafananisha na wanaosachi watu wakipata ajali, you can't visit kama huna kaasili kamoyo kawizi

  • @mwigakatumpula2175
    @mwigakatumpula2175 5 ปีที่แล้ว

    Hapo muangalie nasehemu yenyewe nikama kijijini kwaiyo watu wengi design kama sio waelewa inatakiwa elimu itolewe kila kijiji

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 5 ปีที่แล้ว

    Kuna baadhi ya madereva wengine wanakuaga wajanja wajanja wanaiba mafuta njiani yan (WANAUA NYOKA)
    alafu wanaangusha gar maksud

  • @luhanyamipawantobi6888
    @luhanyamipawantobi6888 5 ปีที่แล้ว

    Jini mnywa mafuta anatoka lini nchini jamani ,,!!!?

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 5 ปีที่แล้ว

    Kwani tatizo nn mbona Kama haya magari yanadondoka sana

  • @kharounngavason7930
    @kharounngavason7930 5 ปีที่แล้ว

    Kupewa elimu tu kiukwel

  • @bonykimario8649
    @bonykimario8649 5 ปีที่แล้ว

    tatizo la malor ya mafuta kuanguka limekuwa la mara kw mara cjui shda nn