Maaaashallaaah.... Angalia maajabu hayooo.... Wakati manazungumzia Magufuli adhana inaaadhiniwaaaa. Eee mola wang ninakuomba.. mpumzishe kwa amani.. john Magufuli
Lakini nyie viongozi bado mkiumwa nyie na watoto zenu mnaenda kutibiwa ulaya na india mnapishana kufa kila siku kila mkiendelea kuwadhulumu wananchi mkienda mnarudi mfuu
Ni kweli Miradi inasuasua mfano Dodoma barabara ya Lingi road inasuasua ujenzi wa airport msalato na Daraja la SGA ukitoka Bahi kabla ya kufika Kintiku Kuna daraja hapo limetelekezwa Ebu viongozi kuweni na uchungu na nchi yenu
Ni kwasababu mwenyezi mungu alitupa mwananchi John pombe magufuli
Maaaashallaaah....
Angalia maajabu hayooo....
Wakati manazungumzia Magufuli adhana inaaadhiniwaaaa.
Eee mola wang ninakuomba.. mpumzishe kwa amani.. john Magufuli
Mgao wa umeme haujaanza wakati wa magufuli acha siasa mzee.
Hapo sawa mmebadilisha na imesomeka vizuri
Mim nilikuepo mnazi mmoja alisimamishwa kwa sababu azana ya wisilamu
Mama vijana wameisha huko ccm
Adhana Masha Allah allahu akbar
Hili jamaa boga
Huitaji kutuambia kafanya nani huo ni ushamba kilichofanya hayo ni chama cha mapipi yanayojua kujlimbikizia mali za wananchi kwa faida za matumbo yao
Vyombo vya habari mnapotosha watu alisimama kwa sababu azana ya waisilamu ilipigwa
Huyo mzee anvuta bangi
Wewe unatamaa umri ushaa enda na uwache uwongo wewe ni mtuu mzima
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Magufuli aliitwa na Mungu au alitangulizwa na mashetani wanaojiona miungu watu sasa hivi!?
Mzee wasira siyo mbagala tuu mjini una wa mahali ni foleni toa suluhuu usisemq tuu mbagala shida ni nyingi
Pumbavuu wewererrr!
Lakini nyie viongozi bado mkiumwa nyie na watoto zenu mnaenda kutibiwa ulaya na india mnapishana kufa kila siku kila mkiendelea kuwadhulumu wananchi mkienda mnarudi mfuu
Angekuepo jpm mlad yote ingekamilika achen siasa
Ni kweli Miradi inasuasua mfano Dodoma barabara ya Lingi road inasuasua ujenzi wa airport msalato na Daraja la SGA ukitoka Bahi kabla ya kufika Kintiku Kuna daraja hapo limetelekezwa Ebu viongozi kuweni na uchungu na nchi yenu
Inamaana uyo Mzee akili ana adi wamlimoti wasaidizi wake