MARTHA MWAIPAJA AKIKUJIBU MIMI NAJINYONGA, JOAN AMJIBU CATHERINE JUU YA TUHUMA ANAZOWAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 51

  • @allenndimbo520
    @allenndimbo520 2 วันที่ผ่านมา +15

    Martha ni jitu moja jinga sana
    Najuta kuzipenda nyimbo zake
    Halafu eti amejaa uso wa tabasamu
    Nyambaf

    • @MtambalaTv
      @MtambalaTv วันที่ผ่านมา

      Duh hatariiiii

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz วันที่ผ่านมา

      Niwewe siuwache mardha likangi lijinga Sana 😂😂😂joani mardha sikutegemea

    • @MarryJohn-lf9qx
      @MarryJohn-lf9qx 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wala hata usijute chukua ujumbe uliopo mengine mwachie mungu tu

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 2 วันที่ผ่านมา +24

    Catherine ni mziki mwingine lazima Martha aogope kujibu usicheze kabisa na Catherine huyo ni jasusi la mbinguni litakuchambua na kukuvua nguo zoteeee.

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r วันที่ผ่านมา

      Kabisa na akitaka kumfuatilia atampata....watawarecord passport kujua.

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 วันที่ผ่านมา +12

    Tom boy anajitahidi kujibu kila anaemuattack, ataweza kweli na kumbe martha hajakaa kimya anajibu kupitia mumewe Joan 2025

  • @MarryJohn-lf9qx
    @MarryJohn-lf9qx 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu ndie muhukumu wa haki mwachieni mungu mwenyewe

  • @hosianaswai8379
    @hosianaswai8379 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ndiye anajua ukweli wa yote sisi tusihukumu

  • @lydiasam5861
    @lydiasam5861 วันที่ผ่านมา +1

    Catherine is the best 😊

  • @michaelmhina3613
    @michaelmhina3613 2 วันที่ผ่านมา +4

    Maji ya Martha yameruka hadi kwetu huku. Joan anajua kazi!!

  • @EmilyZainab
    @EmilyZainab 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo Catherine n nani adi a judge ako na ushahidi gani na anachokiongea 😏

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Catherine na joan kikaangoni haya tusikie Catherine sasa mmmmmh

  • @AdveterKawenga
    @AdveterKawenga วันที่ผ่านมา +1

    huna lolote we sema tu ila Mungu ni kila kitu

  • @PenuellyMundeme
    @PenuellyMundeme วันที่ผ่านมา +1

    Hatakama umzuri acha kusema nahuyo bint wa Martha iko siku utaaibika

  • @Cecyscola
    @Cecyscola 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Martha mwaipaja wachana na u lesbian,kama hujalaaniwa huwezi acha mwanaume ukaendea mwanamke,mtu asiguze comment yangu,andika yako

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 2 วันที่ผ่านมา +1

    mmeo tabia zake malamayaaaaa,sema ya mmeo,acha ya matha,sema ya familia yako,loh

    • @lydiasam5861
      @lydiasam5861 วันที่ผ่านมา +1

      Aacha Cathy aseme ukweli na Mtumishi wa Longani

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r วันที่ผ่านมา +1

      Umesema mume wake sio yeye....na hata kama anafanya hafanyi na watu wa jinsia moja

    • @FloraKenyunko
      @FloraKenyunko 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@joycefrances4516 kumbe cathe kelele nyingi ,ndoa yake inateketea

  • @PenuellyMundeme
    @PenuellyMundeme วันที่ผ่านมา

    Mungu ni Nuru yakweli ogopa binti

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yani una kooooleeezaaa😂

  • @suzanejacobo6910
    @suzanejacobo6910 2 วันที่ผ่านมา +2

    Wivu tuu unawasumbuaaa😮😮😮

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 วันที่ผ่านมา +3

      hv kuna mtu anawivu na watoto wapumbavu...kama yupo bc ujue huyo.hamnazo

    • @naomikatharinaandrewmnkai6760
      @naomikatharinaandrewmnkai6760 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hata wewe nae msagaji

  • @JuliusMadaha
    @JuliusMadaha 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa nini ufuatilie maisha ya watu, huna kazi za kufanya? Maandiko yanasema tusihukumu

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 2 วันที่ผ่านมา +4

      Basi ht mtoto wako akifanya vtu vya ovyo usimuonye kisa hayo maandiko unayoyasimamia

    • @sifaortence
      @sifaortence วันที่ผ่านมา +1

      My point exactly...Tusiukumu tusije tukaukumiwa.Wanao ukumu Martha hapo wengi wao ndo watendaji wakwanza wa maovu

    • @sifaortence
      @sifaortence วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Yana_queen1Kama kuna uhakika maana hakuna any evidence inayosema Kama kweli ni shoga.Swala la mama yake nilakifamilia wawaachie wayamalize wenyewe

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r วันที่ผ่านมา

      ​@@sifaortencehuyo ni mtumishi wa Mungu hawezi kuwa anafanya mambo mabaya huku anafanya kazi ya Mungu....aache kuimba aone kama kuna mtu atamfuatilia.

    • @naomikatharinaandrewmnkai6760
      @naomikatharinaandrewmnkai6760 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@JuliusMadaha mmmh hata wewe sio mzima

  • @suzanejacobo6910
    @suzanejacobo6910 2 วันที่ผ่านมา +9

    Kusema uongo pia ni dhambi. Una uhakika na unachokisema? Wee mwenyewe una dhambi

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi วันที่ผ่านมา +2

      @@suzanejacobo6910 unamjua huyu vizuri,kitengo huyo dada

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 วันที่ผ่านมา +1

      Ni ukweli joanita na martha ni lesbians

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 วันที่ผ่านมา +3

    huyu catherine yeye kiharage chake kakipekechaaa weeeee mpaka alipo choka ndo akaenda kuolewa.

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 2 วันที่ผ่านมา

      Hata Aggrey..ht yy ataanza kuwa anti GAY simply bcoz amekuwa huko na anajua machungu yake

  • @SylvesterMasalu-u5w
    @SylvesterMasalu-u5w 2 วันที่ผ่านมา +2

    Yani kunawaty mnapinga nini xx nyinyi kwaiyo mnao Pinga ndo waumini wake

  • @sashaliMbonde
    @sashaliMbonde วันที่ผ่านมา

    lazima asijibu si umemkataza mke wako asijibu

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 2 วันที่ผ่านมา +2

    Napend Xana Haya Mambo Kbs Waendeleh Tu Mpak Mwak Uhisheee

  • @deborawissa1517
    @deborawissa1517 วันที่ผ่านมา

    Huyu dada NI muongo ya mume wake anayajua anachokifanya amwambie Mme wake nae aache umalaya

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r วันที่ผ่านมา +2

      We Huna akili umalaya afanye mume wake yeye yanamuhusuje.

    • @pillykinabo8722
      @pillykinabo8722 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@GraceLuvanda-g5r vizuri na ya martha yeye yanamuhusuje?? Ambae hata hawashei chochote??? Si bora hata ya mumewe yanamuhusu. Maana akimpelekea magonjwa itamcost afya yake???

    • @FloraKenyunko
      @FloraKenyunko 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Cathe anatafuta kiki kwa nguvu ila nyota ngumu,,,yaani nyota hana😊

  • @GlorydavidJeremiah
    @GlorydavidJeremiah 2 วันที่ผ่านมา

    Jmn nikweli muaceni Martha apumuzike kabisa kama Hawezi hawezi kujitowa mwenyewe muombeeni hawezi kabisa me mwenyewe mnanikela Kwa kumufuatilia

  • @annkim2690
    @annkim2690 วันที่ผ่านมา

    Toa kibanzi kwenye jicho lako kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la jirani yako mwenyewe uko na nywele za bandia hata wewe pia hio ni dhambi

  • @PenuellyMundeme
    @PenuellyMundeme วันที่ผ่านมา

    Usiendelee kumsema Martha nendakwa Yesu akufundishe kunyamaza

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂,

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 2 วันที่ผ่านมา

    Catherine jitulize ww mbona mchafu unajiuza na hatusemi

  • @ReginaManyangu-u4j
    @ReginaManyangu-u4j 2 วันที่ผ่านมา +2

    Catherine aache kumchafua watu afanye yake.

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi วันที่ผ่านมา +1

      Ndo kazi yake hiyo sasa akafanye ipi