KISHINDO CHA NAPE ZANZIBAR "WASIOWEZA WATUPISHE / TUPUNGUZE URASIMU USIO NA MAANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar zimesema zitaendelea kushirikiana kwa ukaribu na kampuni ya mawasiliano ya simu za mkonono Zantel ambayo kwa sasa imeunga na mtandao wa tigo, katika kuimarisha upatikanai wa huduma bora za mawasiliano kwa wananchi wake.
    Yamebainishwa Hayo kwa nyakati tofauti Huko visiwani Zanzibar, na Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Nape Nnauye Mara baada ya kufanya ugazi wa shughuli ya ujenzi wa Minara ya mawasiliano inayoendelea kujengwa katika maneneo mbali mbali ya visiwa vya unguja na Pemba.
    Nape amesema kuwa Hatua hiyo ya ujengwaji wa minara ya mawasiliano inayofanywa na kampuni zanztel ambayo kwasasa imeungana na mtandao wa tigo imekuja kufuatia maelekezo ya Raisi wa Zanzibar na mwentekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ya kutaka kuhakikisha wananchi wote wa visiwa hivyo wanapata huduma bora za mawasiliano popote walipo.
    ..............................................................................
    Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 11

  • @mohdwapiki9804
    @mohdwapiki9804 2 ปีที่แล้ว +2

    Waziri wa Zanzibar wa habari Yuki wapi ukoloni mambo Leo unaendelea

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mkuu wa mkoa ni jembe mungu akulinde uwe president in future ishalla

    • @Bam268
      @Bam268 2 ปีที่แล้ว +1

      Vutulo

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu hatimae jembe umerudi kiutendaji wameona umuhimu wako piga kz najivunia kuzaliwa kusini mpo wengi waelewa Allah Awalinde

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 2 ปีที่แล้ว

      Acha ukanda nyerere aliondoa hiyo mipaka all are Tanzanian

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kama nani zanzibar

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว +2

    One day free Zanzibar insha Allah

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว

      Uhuru gani Kaka unaoutaka wewe mbona hatuwaelewi jamani?

  • @rafaelmarquez9396
    @rafaelmarquez9396 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukoloni mambo leo unaendelea mkuu wa mkoa wa zanzibar sio rais msiwazibe watu macho yanajulikana yote hayo

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar ina kuhusu nn s tuna wazir wetu

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar hakuna wazir wa habar,??