Much blessed by this nice song and the way you present yourself to God and then I imagine there people that God has blessed them with each an every part of their body and they can’t use them to glorify the Lord may God bless you MOG together with your ministry in Jesus name Amen
Amen mungu ni mwema kweli waja mapenzi yake yatimize hapa duniani na kama huko mbinguni barikiwa sana mtumishi kwa Jina la yesu kristo maana yeye ndiye njia pekee ya uzima wa milele
Very nice song barikiwa sana bro wimbo safi sana amen amen 🙏🙌👏
Mwenyezi mungu akuzidishie nguvu Kaka uendelee kuspread gospel through singing & praising his name.
Yesu asubuyi mitasema na usiku Yesu minakutshoka Yesu, yakweli ye ni Mungu sana.💪🏽🙏🏼
Naikumbuka eo Song , wakati nilipatwa na kumupoteza wazazi wangu na mama baba na dada zangu tena mutoto yangu musichana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇩🇪🇪🇺
he uses his legs and feet to glorify and praise Jesus in ways that most people who can walk would I love it. very uplifting.
I'm from Israel
God blesss u my brother
@@phillipkamau8626 000p00000 p⁰
Amen Amen ubarikiwe dungu asante kwa nyimbu zuri,God bless ❤❤❤❤
Ahsante sana ndugu emmanuel kwa wimbo huo mzuri sana kwa kweli mungu hanas mapendeleo.
May god bless you so so much
Merci vraiment frère, Jésus Christ notre seigneur est Dieu de dieu,de l'éternité à l'éternité, ... depuis RD.CONGO
Kwel Mungu hana upendeleo,ubarikiwe sana❤
Yesu ni mungu upendo wa hakii. Barikiwa ndugu kwa ujumbe wa wokofu.🙏🏻🙏🏻🙏🏻
utukufu na heshima ni kwa Mungu. Hakika thawabu yako ipo mbinguni mtumishi Emanuel Mpesa.
Mungu akubariki na akufungulie njia mtumishi,🙏🙏
Wimbo mzuri, mungu akutie nguvu ktk safari yako
Amina nice song my brother God bless you
Kweli Mungu hana upendeleo,nami nimemuona akinutendea makuu ktk jina la Yesu wetu,ubarikiwe kaka Emmanuel
Ongera na kazi ya Mungu ikutangulie katika mwaka huu wa 2020
Much blessed by this nice song and the way you present yourself to God and then I imagine there people that God has blessed them with each an every part of their body and they can’t use them to glorify the Lord may God bless you MOG together with your ministry in Jesus name Amen
Well done my brother. God bless u..
Mungu aendelee kukuinua kazi nzr ndg yngu
I am watching from Liberia don't understand the language but I am touched by the rhythms
Be blesse mpesa ...a very nice songs
Amazing. Song Thankfully God Bless You'll Thanks for the work of God
Mungu ni mwema mtumishi ubarikiwe sana
Ameeeeeeeeen. Hakika YESU NI MUNGU
Amina kaka tena ana upendeleo kapisa , ukisimama kwa miguu yako na yeye anabari kwa kabila lolote na taifa lolote 🙏🙏🙏
Thank you bro be blessed I like to watch your songs
Anabakiya mungu. Ubarikiwe kaka nauzidi kumuimbiya kwa jili yesu ni mungu
I love this guy. even if I don't know the language
Mungu akuzudishie miaka mingi uzidi kumtumikia
kweli kabisa MUNGU hana upendeleo, barikiwa sana mtumishi Emmanuel
Ubarikiwe mtumishi wa mungu Emmanuel
Hakika Mungu hana upendeleo. Mungu akubariki kwa kazi njema ya injili.
Ameeen kweli Mungu hanaupendeleo anatoa hewa safi kwa wema na wabaya
Utamuwake kwanza mtambue yesu utatinngika mwenyewe bila piano nakwambia wee🌍
Demeure beni abondamment pour la gloire du SEIGNEUR JESUS CHRIST de nazareth notre DIEU, mon frère emmanuel
Que Dieu soit béni pour ses merveilles en Emmuel
Kweli kabisa yesu anaeza yote be blessed our brother nice song
Blessing blessing my friend may God bless you and keep you.
May God be with you and us I like this mesic play
amen!jina la bwana yesu lipewe sifa,mungu awabariki xana waimbaji!!!!
God bless you thanks very much my dear friend
Wewe una miguu lakini uwexi sifu mungu akubariki sana ndugu.
Great song Bro. Emmanuel
Wacha mungu aitwe mungu barikiwa Sana man of God
AMEN AMEN i receive deeply in my heart May ALMAGTHY GOD bless you more than before BRO in JESUS CHRIST malgthy NAME. . Strengthing you.
LORD continue suporting this brother
Amakweli Mungu hana upendeleo keep it up my brother
Oooh hallelujah, I'm so blessed with this Lovely song, God uplift you forever Mtumishi
Kweli tusipomchezea mungu atainua mawe..stay blessed
Amen amen ameeeen I believe disability is not inability may our loving daddy who is in heaven grant u more songs for u praise him
nyimbop
yarosemuhando
God bless brother thank you so much
Be blessed Brother.... Nice song.
Hallelujah 🙏🙏🙏💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼Yesu nimugu amen 💃🏼💃🏼💃🏼🙋🙋🙋🙋
May God bless the man of God .The song has anointing.
Alléluia merci pour cette belle mélodie divine
Ubarikiwe mtumishi mungu azidi kukuinua baraka zako ziwe kama nyota za angani ukang'are kam a mwezi
Thank you brother for nice song God bless you
Amen mungu ni mwema kweli waja mapenzi yake yatimize hapa duniani na kama huko mbinguni barikiwa sana mtumishi kwa Jina la yesu kristo maana yeye ndiye njia pekee ya uzima wa milele
Gd
Mungu akuzidishie neema kaka
Amen Amen Amen Amen ;mbarikiwe sana sana kwa wimbo wa Amani .Eeeeehh ! yesu hana upendeleo.Hallelujah
I love you song from Camerounia
glory be to God Am blessed bro Emanuel through your song Thankz alot
You have blessed me so much. Be blessed and be raised in Jesus name. You ll know longer remain the same.
Nitaimba yesu, yesu, yesu, yesu ni Mungu Amen Amen Amen man of God be blessed
Nitasema yesu all the time
Thanks so much brother it's a blessing song 🙏
oK
This song gives hope 2 me ,mtumishi be blessed abandantly.
Haki mgu ni mwema wimbo mzuri kabisa barikiwa dugu
Amen dear mungu hakubariki sana 🙏🏼🙏🏼
Mungu ako na sababu ya kumwomba kila mtu jinsi ili kazi yake ifanyike. Barikiwa bro
Amen. .Be blessed man of God
duuu mungu akuinue sana HIV ndiyo we uliyeimba na rose mhando
Amen Amen man of God be blessed
Amen ,tutaimba kila wakati na jina la yesu liendelee mbele.
Ulicheza vizuri sana na Rose Muhando kwa wimbo wa "Nibebe "barikiwa sana bro.
Be blessed brother
🙏
This is inspirational and motivating. God bless you my brother
Sunny Chukwuma vp
5
Gods grace be deep upon you brotthers
Merci mon frère je sais que tu loues et continueras à louer le seigneur Dieu
Cool
Mungu ambariki huduma yako mtumishi.
Mungu akubaliki sana hakika Mungu hana upendereo
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu
Barikiw mtumish
Barikiwa sana mtumishi
Ni kweli mpango wa mungu balikiwa sana
Yes Jesus is the Lord,what a wonderful song your smile is strong thanks brother
Amina mtumishi wa Mungu
Mungu akuzidishie zaid
j'ai rien compris mais cette chanson me réconforte dans l'adoration et la confiance en DIEU
Ntasema Yesu asubuhi,jioni na usiku bila kuchoka.Be blessed bro
Ameeen...ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
sifa ni kwake Yesu kila siku hakuna kuchoka,,, Amen
Emmanuel
...Blessings 😍😍😍😍🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏 mungu azidi kuinua akiii
amen namimi nitaimba bia kuvhoka
Nita imba bila ku tshoka YESU
Amen Seigneur
mungu azidi kukumbuka kazi yako ni njema kwakwel mungu akubariki xana xana
Amen.Much blessing to you..
Hongera sana mtaalam wangu
Asante emanweri kwa wimbo mzuri sana
barikiwa mtumish
YESU NI MUNGU KBS Amen
Be blessed nice song mungu akubariki
upendo mkone
Sauti poa kaka.Umebarikiwa.
Amen..wimbo mzur nmebarikiwa mtumishi?
Amen ubarikiwe Emmanuel mungu akubariki sana ktk kazi yako
Wonderful voice Emanuel thats your strong
amina mwenyez mung awe nawe katika kazi yako ya utumishi
Hallelujah who's with me January 2019
Thank you so much for this video! To God be the Glory !
Icry,alot,tosee,animals,suffer,lam,an,animal,lover.
Lindo demais 😍😍😍😍😘