Madame Martha Asante sana wimbo mzuri sana umenibariki sana, wewe kaka chidumule mmefanya kazi moja yanguvu sana nimebarikiwa sana nimerudia mara kumi kumi sijachoka, nimewatumia wengine nao wabarikiwe kama Mimi
Mungu akubariki Mama kwa hudumu nzuri unayo. Pia nina omba Mungu kwa ajili ya maisha yako ya ndoa. Ninaishi Marekani nikitokea Congo kupitia Tanzania kama mkimbizi/Nyarugusu-Kigoma.
Huu wimbo ni wangu, umeimbwa kwa wakati nina hitaji kubwa sana. Mungu akubariki sana Martha
This song is fire thanks so much for this song I can't stop listening
Waiting for the video, 🙏🙏🙏🤔
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu aliye hai
Chidumule na Martha mbarikiwe
Duh Mungu anfanya njia waaaacha weeee walio kushangaa watashangazwa na yeye MUNGU HANA UPENDELEO
Pesa huna ila Mungu unae huna Elim hahaaaaa👌👌👌
Nafurahi kwani kila wimbo ukiachia unabariki.. Ashukuriwe Mungu..
Madame Martha Asante sana wimbo mzuri sana umenibariki sana, wewe kaka chidumule mmefanya kazi moja yanguvu sana nimebarikiwa sana nimerudia mara kumi kumi sijachoka, nimewatumia wengine nao wabarikiwe kama Mimi
Mungu akubariki Mama kwa hudumu nzuri unayo.
Pia nina omba Mungu kwa ajili ya maisha yako ya ndoa.
Ninaishi Marekani nikitokea Congo kupitia Tanzania kama mkimbizi/Nyarugusu-Kigoma.
Ubarikiwe na sana nyalugusu huwa naenda kila mara nawapenda mawaombea
Wimbo mzur sana
Kiukweli message zenu watumishi zimefanyika kuwainua Tena hasa kwa wale waliokata tamaa
Mzee chidumule I salute you
Amen #mungu Hana upendeleo kazi nzuri iko viwango vingne
Asante Martha jaman nilikua nagoj kwaham wimb mpya hongera sanaaaaaaaaaaa na mungu akujalie hitaj LA moyo wako likatimie
WASAFI FM NIMESIKIA TUKIO HILI
Ooh asante
Hongeren Nyimbo ni nzuri Madam Matha
Balikiwa sanaaa ccta etu kwa ku2baliki kwa wimbo mzur
Ongera Sana dada kazinzuri Sana Mungu azidi kukuinua
Dada Martha i love you😘 i love your songs. Nyimbo hii ni 🌋ubarikiwe
Mungu akubarki kwa ujumbe mzuri
Safi sana
Amen amen, dadayangu,umenibariki kabisa...kwakweli Mungu anatupenda sisi wote sawa sawa..
Emeen ubarikiwe sana
Rafiki yanguuuu
Goood🙏😢😢😢
Nyimbo nzuri Sana @madam Martha ubarikiwe sana
Amina kweli hana upendeleo soon atanitendea namm🙏
Wimbo Boraa saana Matha hongera
2metokea wasafi mpaka kuja kuona Kaz ya Madam Martha
barikiwa martha baraka
Good song
Barikiwa Sana dear ❤️❤️
Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri sana
nice md Martha, I love you, Mungu azidi kukuinua rafiki
Amen
Hakika nakupenda kupindukia #Martha. Ubarikiwe..
A beautiful song.
May God bless all of you!
Wimbo mzur madam Mungu akubariki sanaaa
Naskiliza nyimbo mpya hio
Wimbo mzuri sana,Ubarikiwe
Hongera sana mtumishi wamungu
Mzeeee chidumuleeee sauti ya dhahabu ya kumtoa nyoka pangoni,
Nyimbo Kali sanaaa
Umo 🙌🙌🙌
Good song,Mungu akubarikiwe
Mtumishi nakupenda sana mungu aendelee kukuweka
Nimekua wa1
Nampendo bure ningetaman niwe study show wake
Nice. #koxmusic
Power
Woww...what a nice song...Be blessed Martha.
Mungu akubariki sn
🙏🙏🙏🙏🙏
Asante Sana please when are the videos out
Nyimbo vizuri mno mnooooo
Niwakwanza kuona
Mungu awabariki
Big up sister
Barikiwa
hongela sana Dada
Zawadi yangu
Amina🌹💯👌
Nice song
Powerful song
Blessings 🙏 💞 madam
🔥🔥🔥🔥
😍😍😍😍😍😍😍
Wimbo mtamu kweli
Barikiwa