Ijue Siri ya kutoa vitu vibaya mwilini mwako, na hivi ndo inapaswa kufanya _ Sheikh Othman Michael

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 75

  • @ismailkenga1243
    @ismailkenga1243 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah sheikh othman nitakutembelea kwa ajili ya tiba

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 7 หลายเดือนก่อน

    Asalam alykm .Nikija bongo ntakutafuta sheikh. Asante sana😊

  • @ZuhuraAbass
    @ZuhuraAbass 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Allah awabariki

  • @Ramadhankarani-hu5hy
    @Ramadhankarani-hu5hy 5 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleykum sheikh wangu mimi naitwa Ramadhan
    Sheikh wangu naomba uniombee dua sheikh Nina matatizo kweli🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 5 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallah tabaraqallah Allah! Yasalaam wa kwanza ku comment, i vyu for the sake of allah....inshallah wallah ipo sku ntakarbia hapo kwa office na una tibu ki professional maashaallah...

  • @bazilassey1227
    @bazilassey1227 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa allah shehe dua zako na miye allah aniafu maradhi yanayonisumbua na rizki kwangu imekuwa ngumu😭

  • @fozicakes
    @fozicakes 3 ปีที่แล้ว +2

    MashAllah Allah bless you and your bigger family 🤲Amiin ya rabi

  • @ayoubnazir1493
    @ayoubnazir1493 5 ปีที่แล้ว +7

    Na sisi tunakupenda kwa ajili ya Allah swt, safi sanaa

  • @faizahamim2799
    @faizahamim2799 5 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sheikh jazakallahu kheir ALLAH akuzidishiye iilmu na atujaaliye nasi tuweze Kuja kusomewa insha ALLAH

  • @SalehAncosale
    @SalehAncosale 11 หลายเดือนก่อน

    Allah awabarik naawazidishie kheri nawalinde nashari

  • @afric01
    @afric01 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi na wanafunzi wako. Awape mapenzi ya dhati Kati yenu. Awajazi kheir na awabariki katika kazi mnazo zifanya.

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shukrain allah awajaliye kila lenye kheri .na ss tunawapenda kwa jili ya allah.

  • @MamaAbdoul-x2m
    @MamaAbdoul-x2m ปีที่แล้ว

    Shukran allah akuzidishiye elmu

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 8 หลายเดือนก่อน

    Izodawa shakh twazitaka lakini tukizitaka tutatuma message weeee mpaka basi twaumwa ivoo shekh 😢😢muwe mnatupa majibu ya haraka

  • @maisaalawy4512
    @maisaalawy4512 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah reward you for help people.

  • @aishahasan7594
    @aishahasan7594 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah shekha Allah akuzidishie ww vijan wako

  • @ayoubnazir1493
    @ayoubnazir1493 5 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah, kipindi kizuri sana sheik, BarakaAllahu feeq

  • @jolierazia2432
    @jolierazia2432 ปีที่แล้ว

    Natsmani kufika ulipo uwezo ndo shida kwangu Allah atujaliye InshaAllah

  • @mohmgonda
    @mohmgonda หลายเดือนก่อน

    Mm sheikh vyote nahis ninavyo

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nimekukubari ntakua mgeni wako insha'Allah baada ya Ramadan biidhnallah

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah sheikh Authuman leo umechambua in details kuhusu tiba/ruqiyah...tunajifunza mambo mengi mazuri..lnsha Allah mungu akupe umry mwema...Ahsantum Sheikh wetu..Ma Salam..

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukraan Allah akulipe pepo 🤲

  • @fatumakadenge3209
    @fatumakadenge3209 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah. Shukran kwa soma zuri

  • @neemahalima5440
    @neemahalima5440 10 หลายเดือนก่อน

    Mashalla

  • @adoulndizeye1379
    @adoulndizeye1379 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllahu Allahu azidi kukusimamiya

  • @mawnasomagalole784
    @mawnasomagalole784 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri,nilikuwa nataka dawa ya kuondowa sumu mwilini naya kuimarisha misuli taipata je?

  • @amirsongore6177
    @amirsongore6177 ปีที่แล้ว

    Hakika nimefarijika sana kuona clip hii imenitafautishia kujua matapeli na mashekh halisi

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 7 หลายเดือนก่อน

    Mtihani mkubwa

  • @maryamkhamfar4029
    @maryamkhamfar4029 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah

  • @mohmgonda
    @mohmgonda หลายเดือนก่อน

    Assalamu alayka sheikh jina langu zaniara h mgonda nazitaka hizo dawa nitazipata wap nipo Tanga

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @nasradada7050
    @nasradada7050 3 ปีที่แล้ว

    Ustadh Asalam Aleykum warahmatulahi wabarakatuh. Samahani ila ustadh mimi nina mamangu ni miaka mingi sana. Ako na iyo ugonjwa. Yake hua kilabmara ana kua mkali sana mara ana sema awache kusukumiwa. Maskini mara ingine hadi ana jipiga na ana sumbuka sana. Kuongea kwake hadi ina fika mahali anakia sana. Hana raha ustadh naomba mi nipo kenya sehemu za kisumu je waeza nisaidia vipi ili mamangu awache kuteseka vile

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani

  • @namirial4509
    @namirial4509 4 ปีที่แล้ว

    Munguawabariki inshagllah mwananguakipona majini aolewena mmojawao nitampazawadi Nagari bureee

  • @yusrahkeissy9202
    @yusrahkeissy9202 4 ปีที่แล้ว

    Allah atustir me nmetibiwa sn lkn bado majin yananisumbua InshaAllah ipo cku nitakuja kwako nipate kisomo

  • @webnyyt2507
    @webnyyt2507 4 ปีที่แล้ว +1

    Mansha allah

  • @waldaally4178
    @waldaally4178 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 4 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh naomba number zako please

  • @al-islammuongozo5635
    @al-islammuongozo5635 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali sana kazi yako ustadh lakini naomba wakati mwingine ujaribu kuelekeza dawa kwani sio kila mtu ana uwezo wa kumudu gharama zkoo

    • @hamidaissa4769
      @hamidaissa4769 3 ปีที่แล้ว

      Anagarama kubwa mimi mwenyewe nimeshindwa

    • @AssOii
      @AssOii 9 หลายเดือนก่อน

      Kana gharama kwer co mchezo

  • @namirial4509
    @namirial4509 4 ปีที่แล้ว

    Mashagllah

  • @sabrinasaid5521
    @sabrinasaid5521 5 ปีที่แล้ว

    tufahamishe vipi unananawa hayo maji kabla ya kwenda kuoga nyuma ya utosi
    shukran

  • @MajuvaMajuva
    @MajuvaMajuva 8 หลายเดือนก่อน

    Shekhe ss mm niko mbali ntapataje hivyo vipimo ?

  • @agathabugomola6143
    @agathabugomola6143 3 ปีที่แล้ว

    Shek alla akulipe mema nimejifuza megi san kutoka kwako

  • @catherinewakesho1739
    @catherinewakesho1739 4 ปีที่แล้ว

    Kusikiza Video hii nimeanza kutoa machozi hadi mwisho...Niko kenya mnapatikana Tanzania nimehangaika ssna

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 5 ปีที่แล้ว +2

    Shekh wangu hujanijibu adi leo wasap

    • @othmanmichaelonline2866
      @othmanmichaelonline2866  5 ปีที่แล้ว +2

      Kitugani habibi

    • @zanmedia5225
      @zanmedia5225 5 ปีที่แล้ว

      @@othmanmichaelonline2866 ile voice yangu kule wasap ulinambia utaisikiliza then utanijibu

    • @sharifasaid906
      @sharifasaid906 4 ปีที่แล้ว

      Mimi nahisi nagopa sijui kwanini

    • @munasumai6669
      @munasumai6669 4 ปีที่แล้ว

      Wallah umenifungua macho,ila naitaji number yako akhuy Othman

    • @mariamsfamily482
      @mariamsfamily482 4 ปีที่แล้ว

      nitumie number yako whatsup

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr 4 ปีที่แล้ว

    Yani mm hivi vituko vyote navyo.. Hata sijui ntaanza wapi 🤦‍♀️ ya Allah.

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 5 ปีที่แล้ว

    Insha Allah mungu awabareek vijana wako Ameen yarab

  • @zuhuramwavyoni1988
    @zuhuramwavyoni1988 4 ปีที่แล้ว

    Asalaam alaikum,dawa ya pumu sheik Niko keeya vp nitapata

  • @qatarshamal9808
    @qatarshamal9808 4 ปีที่แล้ว

    Assalam alaikum sheikh nitakupata vp mm nimetawaliwa n hasda sababu nyumba tu niko n wapangaji lkn wamejazwa fitin tu

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 3 ปีที่แล้ว

    Yani hivyo vibwengo,nahuo uchawi nilionao ndani ya mwili wangu nadhiki ninayopata najua mimi na Mola wangu tu

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nateseka nahao majini mwaka 14 sasa nishahangaika vya kutosha nishamaliza hela mno juu ya huu mtihani nilionao ila ninachomshukuru Mungu sijakata tamaa na rehma zake najua alinikadaria kabla hata ya kuniumba nipitie huu mtihani nakajua nauweza nanitaushinda Inshallah nakuja ofisn kwako nikiwa nania ya kupona tatizo langu Na Allah ajalie kuja kwako wewe nakupata tiba iwe ndio sababu ya kumaliza tatizo langu Asalaam aleykum warhamatullay wabarakatu

    • @bahatimbande5581
      @bahatimbande5581 3 ปีที่แล้ว

      SubhanaAllah pole Sana mpenzi in shaa Allah utapona

  • @qatarshamal9808
    @qatarshamal9808 4 ปีที่แล้ว

    Watu wanakijicho n familia yang mm nko Qatar lkn familia iko mtwapa

  • @jolierazia2432
    @jolierazia2432 ปีที่แล้ว

    Natsmani kufika ulipo uwezo ndo shida kwangu Allah atujaliye InshaAllah

  • @solinas1643
    @solinas1643 4 ปีที่แล้ว +1

    Manshaallah

    • @salumsleyyumrashid146
      @salumsleyyumrashid146 3 ปีที่แล้ว

      Mashallaa mngu akulipe kwa kutufundisha .sabrina bilali aliy kutoka .omani

  • @husseinally949
    @husseinally949 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @jolierazia2432
    @jolierazia2432 ปีที่แล้ว

    Natsmani kufika ulipo uwezo ndo shida kwangu Allah atujaliye InshaAllah

  • @eaglerockconsortiumholding7272
    @eaglerockconsortiumholding7272 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah