UTAKUWA WAPI? by Tamar Anthony and John Emmanuel (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • #Born_To_Worship_Ministry #Gospel
    #Utakuwa_wapi? Song OUT WORLDWIDE ON TH-cam Channel
    Written & Performed by Tamar Anthony and John Emmanuel
    For Bookings: borntoworshipministry@gmail.com
    Follow Born To Worship Ministry on our facebook page:
    / born-to-worship-minist...
    Lyrics:
    Mbinguu, Mbigu za Bwana kutaingia watakatifu wake×2
    Utakuwa wapi ewe ndugu yangu utakuwa wapi siku ya mwisho×2
    Mbinguni tutashangilia milelee×2
    Eee yeye iyo inaumiza moyo wangu Mimi kuona umekaa kanisani myaka mingi lakini mbinguu za Bwana usiingie inasikitisha Sana inaumiza moyo wangu
    Kazi ninyimgi ulizozitenda kanisani lakini siku yamwisho uje ukataliwe fanya angalisho unayo yapitiaa Mambo yaulimwengu yasikubebe mdaa Mbigu za Bwana kutaingia watakatifuuu
    Maombi ya wenye dhambi ni kelele mbele zake Bwana maombi yawenye dhambi nikelele mbele zake Bwana ewe ndungu yangu kuwa Makini na unayo yatenda usije ukaumiaa jameni mbinguu eee
    Rf:/ Mbinguu.....
    Mimi sijaona rafiki wa dunia Wala hatakuwepoo siku tunazo nisiku za mwisho Mambo unayo yapitia simazuri,
    siku iyo ya mwisho utaenda wapii
    ujuwe utajiri wakooo siku moja una mwisho ukifa vyote na vyako vinakwsha ndungu tumikia Bwana ungali haiii ili siku moja tuimbe na watakatifu, utakuwa wapi ewee ndungu yangu
    uko mbinguni Kuna raha Kuna uzima wa milelee uko tutafurahi tutacheza naye Bwana eee Yesu unikumbuke nami kwenye mji wa raha unatayarishiwa watakatifu
    Tutaimba tutacheza mbinguni na Bwanaa
    Ts: mbinguni tutashangilia na bwana milelee
    S: wale watakao ingia mbinguni watacheza ukoo
    Ndungu yangu utakuwa wapi tumikia Mungu

ความคิดเห็น • 132