💥 MTUNZI- Frt.Principius Gabriel 💥 WAIMBAJI - Watawa wamisionari wa Mt.Benedikto na Sholastika Tutzing-PERAMIHO. 💥 KINANDA - A.J.Myonga 💥 studio - GLS Pro
Mwimbo umejaa upako, sauti mpangilio umekaa panapostahili, utulivu wa hali ya juu. Hongereni sana Peramiho kwa kutubariki kwa kutuinjilisha. Tumwimbie Bwana...
Hongereni sana kwa uinjilishaji kwa kweli Nyimbo Nzuri tuwe tayari kumtumikia Mungu tusikiapo sauti ya wito tukaitike tukaifanye kazi ya Bwana shambani kwake ❤️❤️🙏
Hakika wimbo umeimbwa kwa utulivu na kwa sauti nzuri za watawa. Mungu awabariki katika wito wenu wa utawa. Mungu awabariki na kuwaimarisha Kimwili na kiroho muweze kuongoza na kulielekeza watu wote kw a Mungu
Amazing song, the choir gracefully delivered the song. Voices sound like heaven. I'm still learning Kiswahili but I'm glad I understand the song. Love from Zimbabwe 🇿🇼
Congratulations, Benedictine Fathers, and Missionary Benedictine Sisters of Tutzing Peramiho- This work is amazing and the message is heavy- 사부 성 베네딕도 저희를 위하여 기도를 빌어주소서. 아멘
Unaupenda sana huu wimbo jmn maana ni mzur na tune yake nzr sana na ujumbe mzr kwa watumishi wa bwana unasisimia sana kuongeza nguvu ya utumishi mbarikiwe sana ,I love it ❤❤❤❤❤❤❤ 7:12
Mwimbo umejaa upako, sauti mpangilio umekaa panapostahili, utulivu wa hali ya juu. Hongereni sana Peramiho kwa kutubariki kwa kutuinjilisha. Tumwimbie Bwana...
hongereni sana watawa kwa wimbo huu mzuri unanifarji sana mimi
Here I am God. The best life is the life of Consecrated life for God. ❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana kwa uinjilishaji kwa kweli Nyimbo Nzuri tuwe tayari kumtumikia Mungu tusikiapo sauti ya wito tukaitike tukaifanye kazi ya Bwana shambani kwake ❤️❤️🙏
Waooo. Beautiful. Hongereni sana kwa kuitikia kuijenga kazi ya Bwana shambani mwake.
Hakika wimbo umeimbwa kwa utulivu na kwa sauti nzuri za watawa. Mungu awabariki katika wito wenu wa utawa. Mungu awabariki na kuwaimarisha Kimwili na kiroho muweze kuongoza na kulielekeza watu wote kw a Mungu
Wow hongera saana kwenu kwa wimbo nzuri
Umenibariki mno kwa sauti nzuri
Here I'm lord I have come to do ur will thanks for calling me to work in ur vineyard lord thanks
Hakika huu wimbo wanifanya nizidi kupenda maisha ya wito🙏🙏🙏 Mungu atutie nguvu
Sinabud kusema Asanten, kwa wimbo huu wa utume ndan ya kuimarisha maisha ya kiroho na ya mwili ❤🎉🎉😊🙏
Congratulations
Hongereni sana ❤❤❤❤❤🎉sauti tamu
Wimbo Bora sana. Sauti safi kabisa.
Wimbo mzur na wenye ujumbe mzur na umetulia ❤❤❤❤
Waaaaw! Nawapongeza sana kwa wimbo mtamu! Hongera sana tena sana
This is very sweet music and encouraging. Keep it up.
Wow congratulations vizury
Kazi safi nyimbo tamuu❤
Wooow! What a sweet song ❤️ 💯
Nice song 🎉🎉🎉
Hongera frt Princ
Amen congratulations
Amazing song, the choir gracefully delivered the song. Voices sound like heaven. I'm still learning Kiswahili but I'm glad I understand the song. Love from Zimbabwe 🇿🇼
Proud of my homeland
Amena. 0:55
Wow mbarikiwe sana natuendelee kumtumikia siku zote za maisha yetu.
Wimbo mzuri,sauti tamu na ujumbe mzito kwa kweli Mungu awabariki sana watawa kwa utume wenu wa uimbaji.
Mungu awabariki mkaitende kazi yake kadri ya mapenzi yake
My best song,it really awakens my desires to religious life,long life to you all🙏🙏🙏
Hongerani sana, wimbo mzuri sana ❤❤❤❤
Wow beautiful
Ahsanteni sana wa benedictine wenzangu nawaona katika ubora wetu sister eliza na br joseph mitepa
Beautiful voices❤
Wimbo Mzuri sana na mpiga kinanda Safi sana kwenye kustepika sasa bado
Jamani huu wimbo umeimbwa vinzri sana
R0mani hiyo
Safi sana, Amina, Amina congratulations
Amen
woooi😮😢
Hongereni Sana
You may have aimed at the clergy...but this touches me so much as a young unmarried lady!
Thank you!
Hongereni sana watu wa kwetu peramiho
❤❤❤ kazi nzuri sana
Wimbo mzuri sana
Beautiful sweet voice's our religious sister's and brothers 👏👏👏
Wimbo mzuri Sana mbalikiw sana
Wimbo nzuri sana hongera watawa
Wimbo mzuri sana na umeimbwa kwa utulivu. Hongereni sana.
mwimbieni bwana❤❤❤
The song is so good I like it.
🎉🎉 Hongereni sana watawa
Jaman hongereni mmeimba vizr mungu awabariki
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri jmn
Watching from Burundi 🇧🇮🇧🇮,l love you, God bless and protect you forever❤❤❤
Karibu mpendwa
@@jumamathias7469 Asante Sana 🙏
Great job
Heavenly voices ❤
Hongereni kwa kazi nzuri unafanya kutupea matumaini mbarikiwe
Wow!!!! Mbarikiwe sana
Nitume mimi Bwana,Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Jamani kuimba raha hasa ukimuiliza Mungu raha.tupu
I love This Song ❤
Nice song
Wimbo mzuri sana be blessed all...
Huu wimbo una mafunzo mazuri hongera yote
I love the song ❤❤❤
it gives me courage to move on
Congratulations, Benedictine Fathers, and Missionary Benedictine Sisters of Tutzing Peramiho- This work is amazing and the message is heavy- 사부 성 베네딕도 저희를 위하여 기도를 빌어주소서. 아멘
Kazi safi
Nice and wonderful song,God bless you all
Asanteni sana nimebarikiwa sana na wimbo huu mungu awabariki sana sana
Wimbo tamu saana
❤
Hongereni sana wimbo mzuri mbalikiwe
Jamani raha
Hongera
Wimbo umenibariki 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Turi aba Umuntu ni ibimuranga Umwuka we niyo nimero imuranga, muburyo iyo nimero ishobora gu hamagarwa binyuze kuri nyirayo uyifite hamwe nuwayimuhaye. Niyo mpamvu ubu buri wese mujyihe cye agomba kumenya nimero ye nuwayimuhaye, maze niba ubwe yumvako ari mukuri akayibunga bunga. Maze nyirububasha akomeze kubarinda Amena.
Very beautiful rendition. Ad Majorem Dei Gloriam!
Kazi nzuri sana
Mtunzi🔥
Oganist🔥
Waimbaji🔥
Mungu awabariki na kuwatunza💪
Hongera frt pius
Thanks
Hongereni Sana kwa kazi nzuri. Mungu azidi kuwabariki. Mimi naomba msaada wa nota ya huu wimbo nasi tuzidi kuinjilisha kupitia wimbo huu
Ulipata nota
Itafute Swahili nota zipo inaitwa Umeniita
Okay
@@user-kg4ht1nr3u asante, nimeipata
Mbarikiwe sana wimbo mzuri 4:08
Hongeleni sana
Amen ❤❤🎉🎉
Amina! Mungu awabariki
👏🏻👏🏻👏🏻🌹🌹🌹🌹🌹
Amen❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina🙏🙏
Wimbo mzuri Sana mbarikiwe Sana. Kaka angu hongera sana kwa utunzi mzuri
Mtunzi ni nani?
❤mtunzi ni nani???
Asante sana
Wawoooo
Hongereni
Wimbo mzuri sana hongereni
Unaupenda sana huu wimbo jmn maana ni mzur na tune yake nzr sana na ujumbe mzr kwa watumishi wa bwana unasisimia sana kuongeza nguvu ya utumishi mbarikiwe sana ,I love it ❤❤❤❤❤❤❤ 7:12
Niwe mtumish wako nikaitende kaz shhamban mwako uniongoze
Mbarikiwe sana wana Peramihooo
Wimbo.umenikosha.san.tu.umeturia.
Congratulation kwa uinjilishaj
This song gives me goosebumps ❤❤
❤❤❤😊
Kay.yamaduga
Nice
Wow me encanta 🥰🥰