PENZI HASARA EP 44 ❤ Full Movie | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 108

  • @KulwaAndrew
    @KulwaAndrew หลายเดือนก่อน +21

    Huyu shangazi atakuwa ni mama ake Zena kiuhalisia mana wanafanana had ongea Yao Yan taratibu kweliiii penzi hasara kweliiii Yan wake zake ally wote wametembea na mwamba Ben khaaaa hahahaa

    • @appysamwel2536
      @appysamwel2536 หลายเดือนก่อน +1

      bila kusahau hta uyo baba ake Zena wte wamefanan kiukwel

    • @VanessaDaniel-m1r
      @VanessaDaniel-m1r หลายเดือนก่อน +1

      Baba Zena na shangazi Zena wamefanana na Zena sana

    • @LilianJuma-q6y
      @LilianJuma-q6y หลายเดือนก่อน +1

      I totally agree with you 💯💯 wafanana sana

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน +1

      hata alii kalala na Mpenzi wa benii wamebadikishana

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน

      ​@@VanessaDaniel-m1rmara mseme Tina anafana na baba ake

  • @GraçiaShabani
    @GraçiaShabani หลายเดือนก่อน +3

    beni we mzuri saaaana una kila sifa za mwanaume wa ndoto zangu

    • @SaritoSarah
      @SaritoSarah หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 kah

  • @MwanengoMbogo
    @MwanengoMbogo หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza leo kuiona from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JoeriaAbdallah
    @JoeriaAbdallah 21 วันที่ผ่านมา

    Hii movie inanichanganya Waah hii n mapenzi kweli😊

  • @ZawadiClement
    @ZawadiClement หลายเดือนก่อน

    Jaman mauwa yen🎉🎉❤❤ duuhh kwer penzi hasara😅😅

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j หลายเดือนก่อน +1

    Ila zizi nyie mauwa yake🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤waaahh alafu fauna ameyaoga bila Sabuni eti kwa mganga kisa mapenzi…kweli hii n penzi hasara 😂😂😂😂

  • @IreneAchieng-z7n
    @IreneAchieng-z7n หลายเดือนก่อน +3

    Zizi na tina wanakuanga warembo tu sana 💖 mkuje kenya niwapee mandugu zangu mkuwe shemeji yangu

    • @MinaahOmary-wd8ls
      @MinaahOmary-wd8ls หลายเดือนก่อน

      Hawatak wakenya 😂tz wanaume wetu wapo😂😂😂

  • @maggiemuliri3739
    @maggiemuliri3739 หลายเดือนก่อน +3

    Safi saana Ally na Fetty

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 หลายเดือนก่อน +2

    Fauna uende kwa mganga kisa mapenzi we nawe sijui nikuiteje😅😅😅😅

  • @olicej7837
    @olicej7837 หลายเดือนก่อน +2

    Ally bhana 😮kaaaah jinga aelewi nini ataka kama bendera khaaa

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน +2

    Beni Ungemfuataa tina pale palee Ndio akuelwe ss kaondoka Ndio unaenda kafika mbali

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx หลายเดือนก่อน +2

    Waa fauna umefanya mpaka mukakosa nyote sasa😢

  • @AbibaSalleh
    @AbibaSalleh หลายเดือนก่อน +2

    Tina.mapenzi.hasara.rafikiyangu 🇧🇮🇧🇮

  • @ZainabuSalim-vn5gp
    @ZainabuSalim-vn5gp 21 วันที่ผ่านมา

    Seif size yangu wewe 😮😮😅😅 achana na kiroba cha mkaa

  • @PhilisterSidi-r1d
    @PhilisterSidi-r1d หลายเดือนก่อน +5

    Hii move iishe tuko ushangoo na hakuna stim😂😂😂😂😂

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g หลายเดือนก่อน +2

    Ally nawee kila mwanamke unaemwona i love you,hueleweki kabisaa,alfu lina na ww hugopi boko au ndio kutaka kuwatia watoto wa wenzio kwenye matatizoo

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r หลายเดือนก่อน +2

    Fauna wewe umefanya nini sasa mbona nawe unakuwa kama mtu asie na msimamo kwanini kufanyia hivo Tina wa watu jmn 😢😢😢😢

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD หลายเดือนก่อน +1

      Anakera sanaaa kiukweli 😢😢

  • @EunicemouriceMourice-qe3rw
    @EunicemouriceMourice-qe3rw หลายเดือนก่อน +1

    Ally weeee malayaaa aunaaa mwelekeo yani😊😂😂😂 kmaaa mbwaaaa😊

    • @Dr_nanjase
      @Dr_nanjase หลายเดือนก่อน

      Uzur wake hua anaoa afanyi zinaa😂

    • @Dr_nanjase
      @Dr_nanjase หลายเดือนก่อน

      Uzur wake hua anaoa afanyi zinaa😂

    • @Dr_nanjase
      @Dr_nanjase หลายเดือนก่อน

      Uzur wake hua anaoa afanyi zinaa😂

  • @FaudhiaMgeni
    @FaudhiaMgeni หลายเดือนก่อน +4

    kuwa wa kwanza sio mchezo nawapenda sana viloba vya mkaa

  • @ChilandeSylvia
    @ChilandeSylvia หลายเดือนก่อน

    😫😫😫nyinyi pia mkue na mpangilie yoooh mbona sasa haya

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso หลายเดือนก่อน +4

    Yaan fauna umenikera ww sio wakutembea na shemeji yako, afu Ally ww mbona Huna msimamo kaa kwenye mstari unyooke

    • @olicej7837
      @olicej7837 หลายเดือนก่อน

      Movie yenyewe haieleweki

    • @Clamcris-y
      @Clamcris-y หลายเดือนก่อน

      Tangu watoe kelvin hii movie inabore ajabu,😂😂😂

  • @Dr_nanjase
    @Dr_nanjase หลายเดือนก่อน +1

    Tumeanza kumzoa Ben wa mchongo mpka Ben original atumtak tena 😂😂

  • @GHh-l8c
    @GHh-l8c หลายเดือนก่อน +3

    Kuliko watupatie mtoto waboss,wako wanatupa bitu bisipokua namwelekeo,daa nakelaik

    • @galby-shuuh1357
      @galby-shuuh1357 หลายเดือนก่อน

      Jifunze kuandika kwanza😂😂😂😂😂😂

    • @AnnaLea-lq6ob
      @AnnaLea-lq6ob หลายเดือนก่อน

      Kwani hii ni Donta tv.hawa nitafauti na mtoto wa boss

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee kes za mapenz na watoto wake zitamuua kwa plesha kulea mabinti kumbe nikazi😢😢😢😢

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i หลายเดือนก่อน

    Seif ww wapenda kibinda ngoye😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @nadiasuleiman2272
    @nadiasuleiman2272 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanza jamanyy gonga like yako hap😊🎉🎉❤

  • @StudeNduwayo
    @StudeNduwayo หลายเดือนก่อน +5

    Wanaokubali kama muigizaji Bora wa movie hi ni Boko munipe like 😂😂😂😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 หลายเดือนก่อน

      Kabsaa wengine vipeperushi tu😅😅😅

  • @JaneBinyanya
    @JaneBinyanya หลายเดือนก่อน

    Hivi uyu Benni ana nn mnampigania ila Alli endelea na maisha yako sasa muache Tina kwa amani

  • @cotridahaule5973
    @cotridahaule5973 หลายเดือนก่อน

    Kwel penzi hasara Fauna kutoka na Ben😂

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r หลายเดือนก่อน +1

    Ila seif ww😂😂 kupenda kulelew too kupanga aaah

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k หลายเดือนก่อน +1

    Ukimuon zeina nakupend ukimuona tina na kupenda mbon huna msimamo

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g หลายเดือนก่อน +1

    Yaan Tina shogaangu wee fungu lako ni kwa ally na huyo Fetty aende kwa zen huko

  • @Mikeys-m9w
    @Mikeys-m9w หลายเดือนก่อน +1

    Ally nimefurahi ww kumrudia Madame Fety 😊❤ Ila Fety unachokitafuta kwa uyo Zen utakipata 😅😂😂

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt หลายเดือนก่อน +1

    Fauna acha tamaaa jua Tina ni ndugu yako

  • @PendoUfinyu
    @PendoUfinyu หลายเดือนก่อน +1

    Nimelipenda ilo limbao alo alilozibuliw fauna😂😂

  • @HappyDaudi-ub4hw
    @HappyDaudi-ub4hw หลายเดือนก่อน +1

    Aiseee hii move kweli penzi hasara 🙌🙌🙌

  • @Mariam-p9x1x
    @Mariam-p9x1x หลายเดือนก่อน

    Ila fauna haujaelekea kabisa duuuh umekeraaa kwa kweli.
    Then fupisheni huu mchezo tena uanze mpya coz matukio yanajirejea
    Na Pole tina

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน +1

    Zizi et wee uziii

  • @NoorNoor-y4w3t
    @NoorNoor-y4w3t หลายเดือนก่อน

    Ally Leo umenifurahisha kumsamee fatma

  • @JiddaSaid
    @JiddaSaid หลายเดือนก่อน

    Namm nililiona ilo.. kama shangaz amefanana na zana..

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Ben kama kunguru hafugiki

  • @MirajiMohammed-c8y
    @MirajiMohammed-c8y หลายเดือนก่อน +1

    Kweli penzi hasara

  • @Wamwakera254
    @Wamwakera254 หลายเดือนก่อน

    Mke waujana huwa ndiye mwenye logbook 😂😂😂😂

  • @AbdulMajid-z2r
    @AbdulMajid-z2r หลายเดือนก่อน

    Umemuita mumeo uzii hahaha

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k หลายเดือนก่อน +1

    Uyu ali kma tairaq 😂😂😂

  • @GiftBariki
    @GiftBariki หลายเดือนก่อน +1

    😢😢 ally haueleweki ww kaka

  • @VanessaDaniel-m1r
    @VanessaDaniel-m1r หลายเดือนก่อน +1

    Sasa tina unalia nn na ww c uliolewa jmn au ndio penzi asala😂

    • @Floranyondo
      @Floranyondo หลายเดือนก่อน

      Eti jamani mimi kosa langu nini😅😅😅

  • @cotridahaule5973
    @cotridahaule5973 หลายเดือนก่อน

    Huu mchezo cjui utaishaje yan

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 9 วันที่ผ่านมา

    Yani umu hamuna cakupenda nitama tupu 😅

  • @SubiraKiguluwe
    @SubiraKiguluwe หลายเดือนก่อน

    Yan huyo shoga ake fauna anaongea kam alivyosoma

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g หลายเดือนก่อน +1

    Tina anateseka masikini

  • @AtupeleFesto
    @AtupeleFesto หลายเดือนก่อน

    mmh hii movie ina pepo la ngono jmn duuh

  • @miriamanjema2176
    @miriamanjema2176 หลายเดือนก่อน

    Uku kila mtu aeleweki

    • @elizabethakiru3043
      @elizabethakiru3043 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana mada Ni penzi hasara 😂😂😂

  • @MoosesKuloba
    @MoosesKuloba หลายเดือนก่อน +1

    Nipeni like jamani

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w หลายเดือนก่อน

    Ali ina omba urudishane n'a mke wako wa kwanza Fatuma

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 หลายเดือนก่อน

    Mmh jamani uyu bonge amuogopi mumewe

  • @ASHULAMASHAKA
    @ASHULAMASHAKA 9 วันที่ผ่านมา

    IRA feti úriziki

  • @MwanaAshaZuberi
    @MwanaAshaZuberi หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉😢

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls หลายเดือนก่อน

    Tina kwann hauna msimamo lkn😂

  • @kwekwetsuma3524
    @kwekwetsuma3524 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VanessaDaniel-m1r
    @VanessaDaniel-m1r หลายเดือนก่อน

    Ally jmn me sijampenda ata kidog

  • @VanessaDaniel-m1r
    @VanessaDaniel-m1r หลายเดือนก่อน

    Kwer hili penzi asala loho maana apana fauna katembea na beni bila kujal

    • @olicej7837
      @olicej7837 หลายเดือนก่อน

      Yaaani hovyo kbsaa iishe tu

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน

      ​@olicej7837 iishee tuu Penzi hasara hasara Kwel

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza หลายเดือนก่อน

    Mimi wa kwanza RDC naomba liik zenu jamani

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls หลายเดือนก่อน

    Ally falaaa

  • @elizabethkunyatila2913
    @elizabethkunyatila2913 หลายเดือนก่อน

    Fauna kaniboa mimi kuna ndugu kama mashetani

  • @Timehamad-o1j
    @Timehamad-o1j หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @PendoNdahan
    @PendoNdahan หลายเดือนก่อน +2

    Jamani leo nimeiotea wakwanza leo naombeni like zenu jamani ❤❤😂😂

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali หลายเดือนก่อน

    Kila siku Mapenzi TU

  • @joycejapheth4714
    @joycejapheth4714 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰

  • @SyproseOkumu
    @SyproseOkumu หลายเดือนก่อน

  • @RachelPhinias
    @RachelPhinias หลายเดือนก่อน +1

    🎉❤

  • @yasintamakinya94
    @yasintamakinya94 หลายเดือนก่อน

    Wakwanza

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g หลายเดือนก่อน

    Fatma amempata mume xx

  • @janeakendo
    @janeakendo หลายเดือนก่อน

    20:23

  • @RaiyanKhalid-z7n
    @RaiyanKhalid-z7n หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤