M23 YAKANUSHA MAKUBALIANO YA ANGOLA/ HALI YA SASA IKO JE GOMA? Mgeni Wetu Wa Siku Atoa Mtazamo Wake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @sandrakabukusandrakabuku6649
    @sandrakabukusandrakabuku6649 ปีที่แล้ว

    Elonga eza ya biso ba congolais de Pere et de mere Vive la RDC Vive peuple congolais.

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว +1

    M23 ni wa rwanda kunasiku m23 mtajuta kwa nini tumeende vamia nchi jirani??kila siku siyo jumapili

  • @ntibaali3865
    @ntibaali3865 ปีที่แล้ว

    Hiiyo radio yifunge Moja kwa Moja kwenye ardhi ya Zaire isisikilizwe Tena hapo inchi yenu

  • @lubundakitumba4411
    @lubundakitumba4411 ปีที่แล้ว +2

    Wataenda Rwanda na Ouganda Njo kwao na wa tutsis wana baki nao piya tuta fukuza warudi kwao

    • @TajiriOne
      @TajiriOne ปีที่แล้ว

      Wamezaliwa congo mababu na mababu

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 ปีที่แล้ว +1

    Tuombeye Raisi KISEKEDI Kwakazi ambayo iko nafanya

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 ปีที่แล้ว +1

    Kwanzaa DRC ishukuru kuingia Afrika mashariki ,Afrika mashariki hakunaga vita ni mazungumzo

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna haja wale interahamwe na Nkotanye waliokimbilia congo waunganishwe kwa jeshi la congo kupiga waasi m23 mpaka anaewasaidia rwanda kagame.

  • @lubundakitumba4411
    @lubundakitumba4411 ปีที่แล้ว +1

    Mze gisi umeongeya awa watu wata pigwa na kule Rwanda biliyo ikuuwa faci yote

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว

    Ni wongo hawatawapiga kenya nayo siwahamini

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว

    Ni siyasa mbaya uganda iko nyuma ya m23 muziveli ni mrwanda naye alivamia uganda tu kwa ajili ya ma beberu

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว

    Tupigane sasa na m23 tumechoka beberu ziko nyuma yao

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว

    Ni wakosefu sana rwanda nchi maskini wameishi kwa ajili ya damu wabebero wapo nyuma ya rwanda kwa kupora tu hawajali na vifo ya watu .

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว

    Siyo waasi wa inchi ni wa rwanda wale n23

  • @amanimatenga8795
    @amanimatenga8795 ปีที่แล้ว +1

    Nawapata kutoka ulaya

    • @amanimatenga8795
      @amanimatenga8795 ปีที่แล้ว

      Ac company nawaomba muwe najitaidi kutowa abali zote za sud Kivu kuazia Bukavu nakushuka sio m23 tu

  • @nzeyimanaambari9754
    @nzeyimanaambari9754 ปีที่แล้ว

    Ndugu zetu wa congo hao m,23 nijeshi lawazungu america na mabibizake rwanda haina ubavu wakukabiana na jeshi la congo tuvojua enzi zamobutu

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 ปีที่แล้ว

    Rfi ni m23

  • @lubundakitumba4411
    @lubundakitumba4411 ปีที่แล้ว

    Watatoka kwa fimbo la makali

  • @yesunibwana8641
    @yesunibwana8641 ปีที่แล้ว +1

    Wacongomani wote tufagiye sasa ndani ya inchi yetu. Ukikatala kufagiya ndani ya inchi yako. Aduwi yule ikopembeni yako atakufagiya.wewe na ndugu zako .

  • @kalelapius5271
    @kalelapius5271 ปีที่แล้ว

    Mchezo wa Kagame na wale wanamuunga mkono kutoka Ufaransa, America na uwingereza.

  • @muziranengerakiri9693
    @muziranengerakiri9693 ปีที่แล้ว

    Uwe tayari kukimbia tu

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 ปีที่แล้ว

    Sauti Ina mushkil sana

  • @yesunibwana8641
    @yesunibwana8641 ปีที่แล้ว

    Wacongomani wote ndani ya inchi yetu yacongo tufanye kazi sasa kengele ilisha iliya.