MCH DANIEL MGOGO - NGUVU YA UMOJA NDANI YA KANISA (OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
- MCH DANIEL MGOGO ''NGUVU YA UMOJA NDANI YA KANISA''
Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church
Jisikia mafundisho haya ni neema tu
Siyo wachungaji tu, Bali hata Mungu anataka wachungaji wakusanye waumini wengi zaidi.
Asante sana mimi niko mombasa na pokea baraka zako mungu akupe uzima uendele ku tupa ma doze
Nafuatiliaga sana mahubiri yako Mch. Mgogo. Huo utangulizi wako leo sijauelewa kwa baadhi ya mambo.
Kwanza ningependa kuzungumzia kanisa ambalo ni mwili wa Kristo nalo linaundwa na watu (mwili nafasi na roho) Safi ambazo ni hekalu la Roho Mtakatifu), vyote unapaswa kuwa safi.
1. Je kila kanisa linahitaji watu au kazi yake ni kuleta watu kwa Yesu?
2. Unaposema mabadiliko ya dhambi kwa mfano ulevi, uzinzi nk ni process unafikiri uko sahihi?
Neno la Mungu halisemi hivyo kwa sababu zifuatazo.
1. Kanisa ni mwili wa Kristo. Linapaswa kuwa mtakatifu. Je kuwakaribisha wazinzi na walevi kanisani ili tuwabadilishe taratibu je sio kulichafua kanisa? Twapaswa kwenda kuwahubiri waache dhambi ili wawe sehemu ya mwili mtakatifu wa Kristo. Waje kanisani sio kutakaswa bali kutunza utakatifu ambao wanaupata kwa kutubu na kuziacha dhambi zao na sio kuanza kuziacha taratibu.
Unapomtolea Petro mfano kuwa hakubadilika lazima ujue Petro alitubu alipomuambia Yesu ondoka kwangu mimi mwenye dhambi na baada ya pale alimfuata Kristo kwahiyo alibadilika. Na Yesu anasema Yeye aachaye dhambi (atubuye) na kugeuka nyumba hafai kwa ufalme wa Mungu. Je kunywa pombe au kufanya uzinzi kidogo in the process ya kuacha sio kugeuka nyuma?
Ningependa kusema kwamba mfano wa Petro unaoutoa kwamba hakuwa amebadilika tabia sio sahihi. Kwasababu zifuatazo;
a. Wakati ule hatukuwa na kanisa na wala Petro hakuwa Mkristo wakati anamkata yule mtumishi wa Makuhani sikio mana Yesu alikuwa hajafa wala hajafufuka. Kwa kifupi hapakuwa na Ukristo wala Kanisa (mwili mtakatifu wa Kristo)
b. Yesu Kristo eliye Roho/Bwana wa Kanisa alikuwa hajafa wala kufufuka.
c. Damu ya Yesu, damu ya utakaso wa kanisa ilikuwa haijamwagika bado kwa hiyo utakatifu ulikuwa haupo bado.
d. Roho Mtakatifu aliye mwalimu wetu (anayetufundisha ndani yetu Yale tupasayo kutenda) alikuwa hajashuka.
Kwa Misingi hiyo Petro na Yesu alikuwa mwalimu na Mwanafunzi wake. Petro alikuwa akikosea kwa sababu yupo kwenye training alikuwa hajajua yampasayo kutenda. Ndio maana hata alipomwambia Yesu wewe ndiwe Kristo Yesu alimwambia Mungu ndiye kakufunulia. Lakini pia wanafunzi wa Yesu walikuwa hawana Roho Mtakatifu ndio maana Yesu aliwaambia msitoke Yerusalemu hadi msaidizi and. Yeye ndiye atakaye wafundisha ile kweli yote.
Ninachoweza kusema kanisa takatifu halihitaji wadhambi wanaocha dhambi taratibu Bali linahitaji watu walijikana nafasi zao. Wanao enenda kwa Roho wakijua hawawezi kutimiza tamaa za mwili. Kama tunapaswa kuacha dhambi taratibu tukiwa kanisani Paulo asingesema tuenende kwa Roho. Nadhani hiyo theolojia yako leo inamakosa ya wazi. Na haya ndio Yale Yesu alituonya kunitia wanafunzi wake juu ya kujiepusha na chachu ya Mafarisayo. Mafundisho ambayo ni masaa za kibinadamu yasiyotoka kwa Mungu. Nitatoa mfano. Eti nilikuwa na wasichana wa tano nimetubu naenda kanisani nashirikiana na watakatifu na nimebaki na wasichana watatu na ninawaacha taratibu. Hii sio sahihi. Au nilikuwa muongo, mwizi na mbea. Nimeacha wizi na uongo nimebaki na umbea nitauacha taratibu. Sio sahihi.
Kadiri Mungu aponyavyo, afufuavyo au atoavyo mapepo kwa mtu mara moja, ndivyo pia aokoavyo moto wa mtu mara moja.
Japo twapaswa kukaa chini ya msalaba wa Yesu kwa utakaso kila wakati haina maana twapaswa kuacha dhambi kidogo kidogo.
Wakati huu tofauti na wakati wa Yesu duniani tunaye Mungu aishiye ndani yetu (Roho Mtakatifu) atusaidiaye kuamua. Tofauti na alivyokufa Petro Yesu alikuwepo ila hakuwa ndani yake Bali pembeni yake. Sisi ambao Roho Mtakatifu, baba na Yesu wakaandani yetu hatupaswi kukosa mana wanasema basi kutokea ndani. Na dhambi inaondoa na kutuondolea utakaso hivyo kulichafua kanisa.
Wito wangu: Kanisa twende kuwahubiri watu injili waamini, wabatizwe kwa maji na Roho Mtakatifu wajumuike nasi kanisa (kwenye mwili wa kristo) mana sisi ni viungo vyake na wote twapaswa kuwa safi kama tunahitaji kanisa lililo safi mbele za Mungu.
Twaweza endelea kuimarishana kupitia WhatsApp +4915781305662.
Asante
Soldier on man of God
Blessed you are, I love you teachings and preaching
MUNGU azidi kukutumia mchungaji AMINA, napenda mafundisho.
MUNGU akubaliki mchungaji.
Amen from Saudi Arabia nimembarikiwa saaana 🙏🙏🙏
Hapa Marekani wachungaji hawazai, waumini vivyo hivyo. MUNGU atuhurumie
(Msema kweli)
Mungu azidi kukuinua.
AMEN AMEN