ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Amna benki makto yake yako vip mimi naitji kufungua akaut
Mtaji inatakiwa uwe nao kiasi gani, alafu leseni ya mpesa lazima uwe na miaka 3 au ni Kwa wakal to wa nmb
Ikiwa Nina mtaji na leseni ina mwaka mmoja swezi kuwa wakala?
Million 2.5 kwa Kila bank au benki Moja ?? Maaaan Kila benk inakuwa na machine yake
Mtaj n kiax gan
Mimi napenda kuuliza kama lesseni yangu ipo na miezi kadhaa tu but napenda kufungua hio bank..nafanyeje..?
Inaitajika iwe na angalau miaka 3, tofautai na hapo laba wakuone urumu au ufosi
Mm naomba somo ndo nataka kuanza
RABAONE I.M STATIONARY: th-cam.com/play/PLYoR1Cde1M88AGFkVBtDziOk49GjJNsKm.html
GUSA LINK IYO MASOMO YAPO HAPO
Ok
Samaan naomba kufahamu Ni account gan ya benki ambayo Haina makato ya mwezi
Kuna account mpya kutoka NMB wanasema haina makato
Karibu selcom Bank tuna account nzuri kwa ajili yako haina makato kabisa
Kwaiyo nilazima uwe na uwakala wa lainizote
Sio lazima
Hujatuambia unapataje faida kupitia uwakala wa hizo bank.
Je Kila benki iwe na mashine yake
Ndio
Paukwa pakawa
Mm nina laiñi ambazo zinasoma kwa jina langu but sijafanya biashara mda wamezifunga naweza kuzirudisha maana kwa sasa nko siliazi kufanya
Watembelee maofisini kwaio inawezekana
Jamani naombeni kujua ntapataje mashine NMB
Mtafute huyo huyo atakusaidia
Jekuwa wakala mkuu vigezo ni vip