Nimekuelewa vzr ila ninaswali mimi kuna siku nilikua naangalia salio la float nikawa nimeletewa na salio la kamisheni, baada ya wiki mbili mbele nikakuta kamisheni ipochini kuliko siku nilipoangalia na miamala bado nikiwa naendelea nayo sikwelewa kilichotokea kuludisha nyuma kama elf 10 ndo nasubl nione watanilip kias gani. salio linaloonekana kwenye kamisheni wakikata kodi ndo kias unalipwa au kuna namna nyingine?
Ahsante sanaa
Kaka nikihitaji lain ya wakala process zipo je au naeza sajilin kwa mtu
Nimekuelewa vzr ila ninaswali mimi kuna siku nilikua naangalia salio la float nikawa nimeletewa na salio la kamisheni, baada ya wiki mbili mbele nikakuta kamisheni ipochini kuliko siku nilipoangalia na miamala bado nikiwa naendelea nayo sikwelewa kilichotokea kuludisha nyuma kama elf 10 ndo nasubl nione watanilip kias gani. salio linaloonekana kwenye kamisheni wakikata kodi ndo kias unalipwa au kuna namna nyingine?
Kaka vp kuhusu vifurushi na vocha kamishen itakulipaje
Je nikihitaj kuanza kutoa huduma lain hzo napataje,
Nenda shop au kwa wakala mkuu wa mtandao usika
Kaka kamisheni na malipo ya mwezi ni vitu viwili tofauti?
Hapana ni kitu kimoja, kwenye uwakala wa pesa wengi wamezoea kuita kamisheni na sio malipo
Binafsi nauliza je uwakala mtu naweza anza na mtaji kiasi gani ambacho anweza kutoa na kutuma??
Laki 3 hadi 5 ni mtaji mzuri wakuanza nao
Hata hujaelezea kinacho hitajika
Kaka hesabu za lipa namba unafanya kwa njia gani au unakadiria
Na hio lipa namba nasajili vipi
😂😂😂😂