je hizi hesabu za faida umezipiga kwa mteja wa mtandao wa tigo akitoa kwa lipa no ya tigo tu au hata akitoa kwa lipa namba ya mtandao mwingine faida inakuwa hiyo hiyo? I mean mteja labda mtandao mwingine na lipa no ni ya mtandao mwingine unapata faida hiyohiyo uliyoipiga hapo?
Kwa 99.999% lipa namba za mitandao yote makato ni Sawa, hata izo zilikua zinaingiliana kwamba mtu wa Voda anaweza kumtumia wa tigo, airtal,.... Ila iyo uduma ni kama vile wamestisha mana haikubali tena kwa sasa
Ahsante sana nilikuwa sijui wap ntapata haya maelezo ❤
Asanteh kwa maelekezo mazuri
Ahsante kwa somo zuri chief
Kaka umeua sana Asante Kwa somo mungu akujarie uzidi kutupa masomo pia kaka naomba ufanye na ya uwakala wa benki
Hii hapa 👉 th-cam.com/video/s2CRGwCc-As/w-d-xo.html
Ubarikiwe mtu wa mungu
Mteja ana 10000 tu au kiwango kingine mfano 5000/= au 20000 TU kwa simu je unamwambia atoe ngap fafanua kidogo
Ikiwa una lipa namba ya voda na ikatokea mteja kaja anataka lipa namba ya airtel inawezekana akatumia ya voda na faida napata vilevile au inakuwaje
Faida ni kile cha juu anacho ongeza, kwaio hata akitumia Lipa ya mtandao mwingine lazima iyo nyongeza awake
Okay ahsante bro
Asante kwa somo
Unatumiaje lipa namba kama ni mteja?
je hizi hesabu za faida umezipiga kwa mteja wa mtandao wa tigo akitoa kwa lipa no ya tigo tu au hata akitoa kwa lipa namba ya mtandao mwingine faida inakuwa hiyo hiyo? I mean mteja labda mtandao mwingine na lipa no ni ya mtandao mwingine unapata faida hiyohiyo uliyoipiga hapo?
Kwa 99.999% lipa namba za mitandao yote makato ni Sawa, hata izo zilikua zinaingiliana kwamba mtu wa Voda anaweza kumtumia wa tigo, airtal,....
Ila iyo uduma ni kama vile wamestisha mana haikubali tena kwa sasa
Kwaiyo nikiwa wakala naweza Kuwa na laini zote mbilimbi yaani ya kawaida na iyo Lipa number??
Ndio , na niunyama sana
Kutoa PESA kwenda kwa wakala kutoka lipa namba menu yake ni ipi?
Unapo ingia kwenye account ya Biashara utakutana nayo mule
Kama nikitaka kumtumia hela mtu mwenye lipa namba napig menu ipi
Menu ni Ile Ile ya pesa kwenye mtandao wako
Kwa mfanya biashara mwenye akaunti ya lipa namba. Unatoaje hela kutoka kwenye akaunti yako??
Taratibu ni zile zile kama account ya kawaida .
Account ya Biashara (ya lipa namba) wanakupa ofa ya kutoa hadi laki 3 bure bila kukatwa chochote
kwaiyo lipa namba ni kutoa tu?
Ndio, ni kwajili ya kulipa
Ikitokea nmekosea lipa nmba napataje msaada wa kurejesha huo hela
Kwa ww binafsi ni ngumu kurejeshewa , wacha nitakutengenezea somo ili uwelewe vizuri
Np namb zak