Me sio mnafiki na siku zote msema kweli ndo huwa mbayaaa mm nikiona kitu kizur na sifuu ila kwa apo iyo nisawa na nyimb ya rahma machupa siwez kukosa milele jitahidin kwenye utunzii nyimb zisifananee mnaishushia hazi bend vinanda pia vina fananaa jaman akaaa tunatak laza mpya ya kinanda kwenye masikio yetu mm nasemaa ukwel awo wanosem niachee makasiriko wana kunafkiaa tu
Safi kaka yangu❤❤❤
Nyimbo pambe sijaona wa kunitisha
❤❤
Ahsante sana kazi kazi
Shukurani sana sana
sana hii imeenda hiii
Jimbo pambe
Yakawaida sanaa zina fanana na zanyumaaa
Punguza makasiriko
😂😂😂😂
Ahsante pia kwa upande wako kama umeliona ili
Punguza mikopo ndugu masikio yako yasikie vzr👌
Me sio mnafiki na siku zote msema kweli ndo huwa mbayaaa mm nikiona kitu kizur na sifuu ila kwa apo iyo nisawa na nyimb ya rahma machupa siwez kukosa milele jitahidin kwenye utunzii nyimb zisifananee mnaishushia hazi bend vinanda pia vina fananaa jaman akaaa tunatak laza mpya ya kinanda kwenye masikio yetu mm nasemaa ukwel awo wanosem niachee makasiriko wana kunafkiaa tu
Hata mie sioni wakunitisha mimi ni jeshi la mtu mmoja sitaki kesi
Nyimbo pambe imenikuna upo juuu
Ahsante sana shukurani
Ndo maana yake😂😂😂
Naksh naksh mjawah kosea kuhusu vyombo mko juu❤❤❤❤
Ahsante sana acha kazi iendeleee
@@nakshnakshmoderntaarabhi
Mtunzi nakupa mauwa yako
hahahhahah ahsante sana imeisha iyoooo
apo kweliiiiiiii .... mama na mungu....
Umeona heeeh ndo ipo ivyo bhana
Maneno kuntu🌹🌹🌹🌺🌺🌺
Ahsante sana
Maneno kuntu 🌹🌹🌺🌺🌺💐🏵️🏵️
Ahsante sana
Akuna kabisa
Pambe t❤
Jimbo la kimataifa
Ahsante sana kaz iendelee
Song. Pambe. Sana
Ahsante sana kaz kaz tu
Maneno ya kuwapasha wanaokukalia kidete
hahahahahhaha
Atari xn
❤
ahsante
🔥🔥🔥
kazi kazi tu
❤