Kwa wakazi wa mwanza huyu jamaa huwa anapenda sana kuja mwanza na leo ndo nimepata jibu hata kuna wakati alitoa msaada ye na mama yake wa vitanda hospital inaitwa sekou toure
jonijooo uwe unatulia na kumpa mtu nafasi ya kuongea izo ok ok na i like that , obvious zako acha anazo katikati ya interview,,,,all in all Prezzooo yuko really sana
Prezzo amenichekesha Sana na pia bro wangu uko vzr snaa nakufwatilia Sana big up J
Aka bachuchu Mombasa 001
🇰🇪🔥🇰🇪🔥🇰🇪🔥
Still the president i salut you bro
Prezzo looks like my last brother. Maybe its the reason why I like him from way back.
Napenda anaimani na mungu tofauti na muonekano wake
Kwa wakazi wa mwanza huyu jamaa huwa anapenda sana kuja mwanza na leo ndo nimepata jibu hata kuna wakati alitoa msaada ye na mama yake wa vitanda hospital inaitwa sekou toure
watching from kenya this is such a dope content. i regret finding this content late. prezoo was soo funy😅😅😅
th-cam.com/video/DyTlXuW_X-w/w-d-xo.htmlsi=Aledt3Mx4TPLOV-n
Nimependa vile prezo anavyoo elema ukubwa wa MUNGU
One of the best interview
Tuna saa nzuri ila atuna mda🇹🇿🇰🇪🔥🔥
Keep it up jonijoo good work 🔥🔥🔥
Inteview kalii sanaa 🔥🔥🔥
"Mshikaji wangu nimesahau, nikumbushe nilikuwa nazungumzia nini… (Jina)"
Bonge la show Presdah kichwa kina vitu vingi mpaka ana-lose fikra😂😂😂
BG time
Good interview 👍
Lekker interview
Prezo Yuko vizuri sana kimanzungumzo🎉
Jackson Makini....mtu makini
The most interesting man
Interview ni 🔥🔥🔥🔥🔥
jonijooo uwe unatulia na kumpa mtu nafasi ya kuongea izo ok ok na i like that , obvious zako acha anazo katikati ya interview,,,,all in all Prezzooo yuko really sana
True say
Sahihi
Munakosoa sana try to support his doing a good job
Sapoti ndo hii tunamfuatilia saaana mpka tumegundua maneno anayotumia mara kwa mara ...tusingemfustia tungeona ni vitu vipyaa
Acana na Jonijo bhna yuko poa
Good interview, nimependa picha professional.. next time angalieni sound ya upande wa host, imezingua humu
Namkubali sana Prezzo.
Cmb prezoooo🔥🔥🔥
We ni mzushi broooh
NGECHU MY BRO BIG UPPPPPPPPPPP
Prezzo 🔥
Prezoooooh
Prezzo ni Mwamba. Interview imeenda shule Jonijoo.
NICE BROO
Daimondi yuko wapi aje aone uku
Kila mtu ni mama boy
🔥🔥🔥🔥
#NGECHU. brother from another mother.
Hizo bro bro bro mbona nyingi sana, sioni kama ni sawa
Sema jonijoo mimoshii imekuhusu sana
N mamb yake pia
Uwe na sauti kubwa alafu hnazungumza kwa utulivu lazima watu wakusikilize
Apo alipo ceza amapiano sasa, so funny
Prezzooooo
Ashtray hamna
Safi sana hili jibu linamaana kubwa sana na tatoo zote hizo ucheze amapiano?
Mimi ni shabiki mkubwa wa Prezzo!!
Amapiano😂😂😂😂😂😂 siyo ya wanaume 😂😂😂😂😂
Prezzo mnyama sana
Noooo kaka we ndy mpe mtu swali sio mtu akupe swali babako chapa ilal 😅😅😅
Weken substitute kufanya iwe extended
Prezzo
Prezzxoooo👌💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Prezooo mbona hatumii simu aina ya Apple cjui macho matatu!
Io simu n very expensive kushinda io iphone
😂😂😂😂
Mimi nishabiki wa Jonijo kufa kufa
JONIJI VINGEREZA VYANINI SASA KAKA mambo mengine bana 😂😅
Si ndoapo sasa
Dah prezzo huko poa sana unaongea kiswahili kizuri km ije part 3 vile wote kwa ujumla mmetisha sana
Bonge la interview Big up Jonijo Prezdaa kafanya show inakuwa na maswali machachee kichwa kinavitu ving mwamba kasahau anaongeaa nn
CMB
Kama mama yake ni mtanzania tena mtu wa mwanza basi ana chembechembe za kisukuma kina fid q
Mwamba huchoki kumskiliza cmb ni mwamba hasa hanaga majigambo
Prezzo