''NITAKUA MTU WA KWANZA KUGOMA, NI MARA 10 NICHOME VITU VYANGU MOTO' Diamond '

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @mwajumamussa3971
    @mwajumamussa3971 7 ปีที่แล้ว +22

    Hua nakuelewa saaana Diamond, Mungu akulinde na akuongoze Simba wetu kutoka mbuga ya Tandale

    • @adamranje6279
      @adamranje6279 7 ปีที่แล้ว +4

      Mwajuma Mussa ona eee mwajuma jmaa mpiganaji yaniii......

  • @albertmarti481
    @albertmarti481 7 ปีที่แล้ว +5

    Ase the guy ameonyesha maturity ya hali ya juu, anjibu maswali akijua he's a public image!good going chibu

  • @wilfredygld816
    @wilfredygld816 7 ปีที่แล้ว +3

    mtu mwenye ndoto au kijana mwenye ndoto utamuelewa na utajua ni nini anachokifanya diamond lakini kwa wale mashabiki mapepe(kichwa panzi) hawawezi elewa big up bro mimi fans no. 1

  • @halimababie138
    @halimababie138 7 ปีที่แล้ว +10

    nakupenda sana simba big up

  • @giftelia5535
    @giftelia5535 7 ปีที่แล้ว +3

    Diamond, the intelligent man in tz

  • @princekim3785
    @princekim3785 7 ปีที่แล้ว +3

    Platnumz forever

  • @piusbaruhuwundi8987
    @piusbaruhuwundi8987 7 ปีที่แล้ว +7

    DIAMOND PLATNUMZ IS A HERO AND WISE. I TOTALLY AND COMPLETELY APPRECIATE HIM.

  • @hassanidrissa8124
    @hassanidrissa8124 7 ปีที่แล้ว +2

    sema simba wambuga zatandale we ndio mnyama uliebaki bongo big up sana mmanyema mwenzangu kigoma stend up

  • @mariarogacian9550
    @mariarogacian9550 7 ปีที่แล้ว +1

    simbaa...fireeeee...unajielewa sana brazaaa..mi hapo ndo nnakokupendea

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 7 ปีที่แล้ว +4

    Ni kawaida kampuni kulipa double taxation, ikiwa na maana company inalipa tax ila wakati wa gawio la faida owners wanalipa tena kwa mara y pili... But naamini co fair sheria inatakiwa iangaliwe upya...

  • @jessicandabey421
    @jessicandabey421 7 ปีที่แล้ว +1

    BUSINESS MAN, BIG UP

  • @amathykavishe398
    @amathykavishe398 7 ปีที่แล้ว +3

    big up mond

  • @johnchacha8125
    @johnchacha8125 7 ปีที่แล้ว +3

    we luv you diamond ur great & u knw that so do it.

  • @faridapatel8814
    @faridapatel8814 7 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Bro

  • @saidikiwiba5946
    @saidikiwiba5946 7 ปีที่แล้ว +1

    Umetishaaa

  • @hamisihassan1397
    @hamisihassan1397 7 ปีที่แล้ว +9

    Simbaaaaaaaa

  • @kokohammboy4898
    @kokohammboy4898 7 ปีที่แล้ว

    Anhaaa diamond sio pouwa ni baba lao yani salute mzazi we ndo simba aaaaaaa

  • @pettyperrymalowa9586
    @pettyperrymalowa9586 7 ปีที่แล้ว +14

    Diamond nakupenda ju you always talk sense.

  • @shishidenayzo1250
    @shishidenayzo1250 7 ปีที่แล้ว +2

    safi sana

  • @jakaonlinetv1920
    @jakaonlinetv1920 7 ปีที่แล้ว +2

    Simbaaa wa africa

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 7 ปีที่แล้ว +2

    Unanimalizaga sana interview zako chibu kweli ww ni big artsit africa na dunia

  • @aminizabron7985
    @aminizabron7985 7 ปีที่แล้ว +2

    Mimi sijui kiswahili NiKiba Team lakini nimeona Fact leo kwa Mzee! HeavyTax is Too much mzee BigUp facts umetoa hapo bigUp ila teamKiba Tupo kwaajili ya kukuchallege tu #teamKiba

  • @TopTenKaliTV
    @TopTenKaliTV 6 ปีที่แล้ว

    Simbaaa

  • @phdmtuye3203
    @phdmtuye3203 7 ปีที่แล้ว +7

    simbaa

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 7 ปีที่แล้ว +2

    gud piga kaz black colour #we know what ur doing bro Mond plantnamz

  • @saidiabdallah5208
    @saidiabdallah5208 7 ปีที่แล้ว +2

    Safii

  • @lilwiz5414
    @lilwiz5414 7 ปีที่แล้ว +2

    simba this is diamond na sio vichaa wengine

  • @michaelsimion720
    @michaelsimion720 7 ปีที่แล้ว +3

    Hata Mimi wakinigusa tu ahaaahaa unaondoka zangu zimbabweeee

  • @emanualkadutu4130
    @emanualkadutu4130 7 ปีที่แล้ว +2

    Tax lazima uchajiwe kiivo mdogo wangu kampuni huchajiwa separate individual and company income tax and corporate tax so u hav to accept it

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 ปีที่แล้ว

    Upambanaji wenu wa maisha kwenu najifunza vitu,asanteni

  • @issastunner
    @issastunner 7 ปีที่แล้ว +10

    simbaaaaa

  • @evancechangae
    @evancechangae 7 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana Chibu!

  • @angelshirima7347
    @angelshirima7347 7 ปีที่แล้ว +23

    Huyu ndo simba pekee alobakia kwenye mbuga ya tandale

  • @Khashygraphics
    @Khashygraphics 7 ปีที่แล้ว +1

    Simbaaaa

  • @ibrahimomarmussa4137
    @ibrahimomarmussa4137 7 ปีที่แล้ว +1

    Enderea kukaza babaaaa simbaaaaaaa
    #WCBDAIRYFUNSNEVERDIEKUBARISANA

  • @benjamevenmalang1591
    @benjamevenmalang1591 6 ปีที่แล้ว

    Big up Simbaaaaaaaaaaaaä

  • @mamywardah7960
    @mamywardah7960 7 ปีที่แล้ว +5

    watu wengne banaa

  • @xhhdhshshsbbzbsmsm4812
    @xhhdhshshsbbzbsmsm4812 7 ปีที่แล้ว +1

    wish I knew swahili😢😢 I enjoy diamonds interviews thou i dnt understand wat he be saying...

  • @patricktravis6575
    @patricktravis6575 7 ปีที่แล้ว

    Team D gusa like

  • @thefantastic3684
    @thefantastic3684 7 ปีที่แล้ว

    NYC kakaaa

  • @leonardkomba686
    @leonardkomba686 7 ปีที่แล้ว +4

    SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAA

  • @erickkabingo2374
    @erickkabingo2374 7 ปีที่แล้ว

    kampuni na director wa kampuni ni watu wawili tofauti... aajili watu wenye kumshauri kwenye kodi

  • @samwelkanola6992
    @samwelkanola6992 7 ปีที่แล้ว

    Good simba

  • @witinessaisari350
    @witinessaisari350 7 ปีที่แล้ว

    wcb forever

  • @ambrosejulius9695
    @ambrosejulius9695 7 ปีที่แล้ว +2

    unajua kujieleza bro

  • @unyamwezinitheworld6069
    @unyamwezinitheworld6069 7 ปีที่แล้ว +2

    nakuamini mzee

  • @PidfourYoungTz
    @PidfourYoungTz 7 ปีที่แล้ว +1

    Safisana simbaaaaa

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 7 ปีที่แล้ว +11

    Unamuogopa zari sema ukweli. Anakutishia ukimchafua atawachukua watoto hutowaona. Na nyumba ya south ukimuacha tu huna kitu. Sio bongo kule. Sheria zao kama UK. Ukichuma na kama una patner basi mkiachana nusu kwa nusu labda iwe umenunua kabla kuwa na yeye. Ndo mana unasaga jiwe

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +3

      umy daddy hii ndio shida ya wnawake wnawake wte wnapenda waume zao wawaheshimu c kuwaogopa

    • @salehmussa5349
      @salehmussa5349 7 ปีที่แล้ว +1

      hahaha mpaka waoane ndo wagawane mali

    • @umydaddy4697
      @umydaddy4697 7 ปีที่แล้ว

      saleh mussa khamis hiyo zamani lakini sasa hivi patner tu au niseme girl friend au boyfriend ukiwa mmechuma wakati mko pamoja kinagaiwa mkiachana.

  • @kulwajames4178
    @kulwajames4178 7 ปีที่แล้ว +2

    ina mda mref hii, umeirudia

  • @CelebrityInstagram
    @CelebrityInstagram 7 ปีที่แล้ว

    WCB Wasafi, tukianzia Diamond napenda sana behind the scenes za video zao, sana sana zile za South Africa. Lakini sisi wakenya tunampenda Alikiba zaidi, he is humble, lakini kuimba nadhani Diamond bado ako mbele sana, Mavoko pia ni hatari kweli, Sylvester Stallon Rambo, yaani diambo

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +1

    Fact

  • @benjaminmkalawa1424
    @benjaminmkalawa1424 7 ปีที่แล้ว

    aiseeeee

  • @georgianheke5915
    @georgianheke5915 7 ปีที่แล้ว +2

    Diamond uko poa penda sana jomba

  • @mwanalelee6
    @mwanalelee6 7 ปีที่แล้ว +6

    mamaweeeee iyo sauti km unatoka kulala hahaha

    • @abdallahshabani6328
      @abdallahshabani6328 7 ปีที่แล้ว +2

      Hii interview ni ya kitamboooo ww

    • @mjombamalaki2025
      @mjombamalaki2025 7 ปีที่แล้ว

      tatizo sio mali wala nini ..kuachana sio poa .(nikusumbua watto na kutesa moyo .)

  • @gabrielsixtus1718
    @gabrielsixtus1718 7 ปีที่แล้ว

    hyo n fact

  • @yavanjaphet997
    @yavanjaphet997 7 ปีที่แล้ว +6

    ila mond bhana aache ubahili kumjazia upepo kwenye gari lake tairi zote nne anatoa buku tu

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 7 ปีที่แล้ว +2

    kwanni mnaachaga had zfikie hela zote izo
    mtu akidaiwa mil 1 mkumbusheni sio had zfike 400 nyie pmbvu

  • @josiahjoshua2889
    @josiahjoshua2889 7 ปีที่แล้ว +1

    tangu lini millard ayo arudie kupost vitu youtube??????, itakushushia hadhi hiyo bro...lkn big up

  • @poppajrzimbwe1906
    @poppajrzimbwe1906 7 ปีที่แล้ว +1

    Ukafa na presha ukkafaa kabsaa...

  • @mwanakomboakwilombe9954
    @mwanakomboakwilombe9954 7 ปีที่แล้ว +4

    upo juuuuuuuuuu baba

  • @georgepeter5271
    @georgepeter5271 7 ปีที่แล้ว

    marudio ngamani wee vip

  • @bonniegtmagabe2009
    @bonniegtmagabe2009 7 ปีที่แล้ว +3

    Jembee

  • @yohabumlelwa2316
    @yohabumlelwa2316 7 ปีที่แล้ว +2

    Mond binladeni

  • @geoserratakims2232
    @geoserratakims2232 7 ปีที่แล้ว

    kweli ww utaishi kuwa simba ,wacha simba aitwe simba kweli

  • @mamywardah7960
    @mamywardah7960 7 ปีที่แล้ว +8

    misifaaa

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +2

      wardah Moh'd jipe shughuli

    • @mamywardah7960
      @mamywardah7960 7 ปีที่แล้ว +1

      azh zha yassin 😆

    • @arondavid5682
      @arondavid5682 7 ปีที่แล้ว +2

      wardah Moh'd acha wivu ww pambana na hali yako

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +2

      Aron david bro safi wnataka mtu aombe barabaran ndio wnamuombea wtu na viatu

    • @aishauwimana4338
      @aishauwimana4338 7 ปีที่แล้ว

      wardah Moh'd mond ubisho mwingi punguza

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 7 ปีที่แล้ว

    Kwenye hilo asee broo nakusaport asilimia zote, maana umeelezea maneno ya kudumu yasiyo na mwezi wala mwaka kwa sababu ya nini kumlipa mtu hakusaidiii!? Kama selikali haina mchango ya nini kuichangia, changa uchangiwe tuchangiane ndo mpango wa mjini

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 7 ปีที่แล้ว

    Natafuka kazi WCB ya u body guard

  • @jayboy3511
    @jayboy3511 7 ปีที่แล้ว

    Hii si interview ya kitambo

  • @nelsonmalingo1744
    @nelsonmalingo1744 7 ปีที่แล้ว +1

    anavyo zunguka kwenye campaign alikuwa hajui,gvt Fanya kaz yenu

  • @juliasmimata7083
    @juliasmimata7083 7 ปีที่แล้ว

    Ukovizuli kaka ukoseagi simba

  • @michaellutambi1741
    @michaellutambi1741 7 ปีที่แล้ว

    Duh sina usemi

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 7 ปีที่แล้ว +1

    akili mali

  • @mathewbicco7841
    @mathewbicco7841 7 ปีที่แล้ว +6

    Kiukweli serikali ijitathmini kwa mienendo yake sababu inakwaza matabaka mengi wasanii wakiwa waanga wamojawapo

  • @benoitniyukuri2087
    @benoitniyukuri2087 7 ปีที่แล้ว

    sasa mbona huna nidhamu

  • @mackerphillip5179
    @mackerphillip5179 7 ปีที่แล้ว

    ռaҡʊaʍɨռɨa saռa sɨʍɮa
    sɨʍɮa

  • @mamywardah7960
    @mamywardah7960 7 ปีที่แล้ว

    nikaushie aron david ww vipi? nitaonaje wivu kwa mtu nisomjua

  • @degemtuuumbayaasalehe7282
    @degemtuuumbayaasalehe7282 7 ปีที่แล้ว +1

    kweri smbaaaa

  • @salimuzuber1046
    @salimuzuber1046 7 ปีที่แล้ว

    kimbaaaa

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 7 ปีที่แล้ว

    Akili imerudi eeehee

  • @elihurumalaizer3888
    @elihurumalaizer3888 7 ปีที่แล้ว

    kwan huwa wanao lips kodi huwa wanasaidiwa na serikali hahahaaa duuh

    • @charlesased
      @charlesased 7 ปีที่แล้ว +3

      Elihuruma Laizer ndio!! Wanasaidiwa kuwekewa miundo mbinu mizuri kwa ajili ya shughuli zao,nadhani umeelewa??

    • @bone102
      @bone102 7 ปีที่แล้ว +4

      Elihuruma Laizer huyo ni msanii ambaye ni sawa na wacheza Mpira wakimbiaji na wanamichezo so serikali inahitaj kuwapa support ili wazidi kutangaza nchi yao sasa kama yule mwana riadha kaenda kukimbia kawa wa kwanza serikali haikumsupport unategemea kama atakubali awalipe kodi? Jua kutofautisha wasanii na mtu wa kawaida

    • @mohamedh.mhando5744
      @mohamedh.mhando5744 7 ปีที่แล้ว +2

      Elihuruma Laizer ni haki yako au hutambui bro😄😄😄😄

    • @boramimi5389
      @boramimi5389 7 ปีที่แล้ว

      Hujui hata haki zako, pole sana.

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 7 ปีที่แล้ว

    mmmmh na huo mdomo anaulamba unamshinda nguvu au ndiyo ubishoo 🙄

  • @alisonngaila9827
    @alisonngaila9827 7 ปีที่แล้ว

    Unakujua jela ww au unaongea tu....

    • @mossyahmada2188
      @mossyahmada2188 7 ปีที่แล้ว

      alison ngaila hahaaa si unamjuwa uyo mr misifaaa

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +1

      alison ngaila kweli ukiwa mchapa kazi n shida wnataka wkuone unaomba ndio wafurahi wtu na viatu

    • @alisonngaila9827
      @alisonngaila9827 7 ปีที่แล้ว

      azh zha yassin anacho tetea ni sawa ila kauli ya jela xo nzur maana hakujui nibora asiongelee jela.

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +1

      alison ngaila kila mtu yko na mapungufu yke mwachen jmn amepeleka mziki mbali kuliko hao wazee haaahaaa

  • @thesocialcompasstz
    @thesocialcompasstz 7 ปีที่แล้ว

    what is this Millard??

  • @Tdotkido
    @Tdotkido 7 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ukienda nunua mafuta unalipa kodi ya manunuzi na ukingiza unalipa kodi ya kuingiza. Nimemsaidia chibu kidogo ajue maana ya kodi. Manake kama hujui ata kodi nini inamaana wewe hulipi kodi ! Na watakusweka.

  • @laurentdavid3696
    @laurentdavid3696 7 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa kajaliwa domo yaani angekuwa mwanamke ingekuwa hatari sana

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 7 ปีที่แล้ว

    Mtu anaependa maisha ya video utamuona tu, maana haipiti siku mbili Tayari yupo kwenye media

  • @contekante6329
    @contekante6329 7 ปีที่แล้ว

    Ukimsaliti mungu you will look like dumbass! Sio diamond naona awhore!

  • @charlzg3516
    @charlzg3516 7 ปีที่แล้ว

    pumbavu we smba

  • @simbacapitq6712
    @simbacapitq6712 7 ปีที่แล้ว +1

    Simbaaa

  • @nuranimusa2606
    @nuranimusa2606 7 ปีที่แล้ว +1

    simbaa

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndio kimba