Boss Kimaro | Free Full Bongo Movie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ค. 2021
  • Baada Ya Mke Wa Adamu Kupata Ujauzito Ndipo Changamoto Zinapoanza Katika Familia Yao! Adamu Anafukuzwa Kazi Na Boss Wake [Boss Kimaro] Baada Ya Kuacha Ofisi Na Kwenda Kushuulikia Swala La Hospital. Na Ata Pale Alipo Jaribu Kutafuta Kazi Sehemu Nyengine Bado Boss Kimaro Aliendelea Kumfanyia Visa Mpaka Akafukuzwa Tena Hali Ya Maisha Inazidi Kua Mbaya Kwa Upande Wa Adamu Na Familia Yake Mpaka Boss Kimaro Alipo Amua Kumludisha Kazini Kumbe Lengo Lake Lilikua Kumlaghai Kimapenzi Mdogo Wake Na Adam [Mwana].
    The challenges begin after Adamu's wife got pregnant! His boss [Boss Kimaro] fired him from his job, and when he started to work in another place his former boss still troubled him until he lost his job again. Life got worse for Adamu and his family, until Boss Kimaro hired him again at the office, but his only purpose was to deceive Adamu's sister[Mwana] into a false relationship.
    Tunapatikana kwenye mitandoa ya kijamii kama vile:
    / kingsofbongo
    / kingsofrealbongo
    / kingsofbongo
    #TH-camSwahiliMovie #SwahiliFullMovie2022 #LatestSwahiliMovie2021 #kingsofbongo
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 37

  • @user-ug8hw8ke6b
    @user-ug8hw8ke6b 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni noma kaka angu nakukubali

  • @lovenesslouis332
    @lovenesslouis332 ปีที่แล้ว

    Zur sana

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja kaka

  • @mayasammy2076
    @mayasammy2076 2 ปีที่แล้ว +1

    woow

  • @thommasemanuell4320
    @thommasemanuell4320 2 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana

  • @selinalowassa9583
    @selinalowassa9583 2 ปีที่แล้ว

    Movi nzuri sana ongereni

  • @borayahmiddle3087
    @borayahmiddle3087 2 ปีที่แล้ว

    Awoteeeee.....!!!!!good job

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว

    Very nice.

  • @zuwenaom7151
    @zuwenaom7151 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana kaka Adam lakin inabid usichoke wewe pambana nakuaminia very nice

  • @selinalowassa9583
    @selinalowassa9583 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauti jamani

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 3 ปีที่แล้ว

    Aminia

  • @sophiamzalamo6660
    @sophiamzalamo6660 2 ปีที่แล้ว

    Nzur sana

  • @user-qd7ey5cp5s
    @user-qd7ey5cp5s 5 หลายเดือนก่อน

    Daaa hiyo kicheko Adam😁hapana😂😂😂😂

  • @edrinekind8771
    @edrinekind8771 ปีที่แล้ว

    done subscribing

  • @gladurasa4712
    @gladurasa4712 2 ปีที่แล้ว

    Good boss kimaro kifaru block

  • @aishaali3693
    @aishaali3693 2 ปีที่แล้ว

    Adam unavituko sasa huko ndo kucheka🤣🤣 ongera movie nzuri sana brother

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 ปีที่แล้ว

    Mbona ikifika part ya boss kimaro Haina sauti

  • @op9547
    @op9547 2 ปีที่แล้ว

    Saf boss kimaro

  • @mwakaathumani4793
    @mwakaathumani4793 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣Hakuna mkate mgumu mbele ya chai

  • @fatmahaji
    @fatmahaji ปีที่แล้ว +2

    Kwenye kuongea musiweke mziki

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu ni daktari kweli???

  • @fredricksantos3827
    @fredricksantos3827 2 หลายเดือนก่อน

    Link ya kudownload ipo wapi?

  • @aishaali3693
    @aishaali3693 2 ปีที่แล้ว

    Nataka kuona huyo maya mdogo sura🤣🤣🤣🤣

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990
    @aishaomaryyousefomaryloiru1990 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂yaan wanawake tungekuwa hivi kwa waume zetu tungebarikiwa,ila nimecheka hicho kicheko cha adam

  • @favourbahati5871
    @favourbahati5871 ปีที่แล้ว

    Huyu boss kimaro hata nguvu zakulalisha mke anazo kweli??? Kiburi chako kitazushwa na mwenyezi mungu🤔🤔

  • @ateleteleecibalungumwenelo1423
    @ateleteleecibalungumwenelo1423 11 หลายเดือนก่อน

    Wadoctors wakutowa mimba ni wa criminals nilazima wahukumiwe na kufungwa ile ile miyaka inayopewa mwanahume alimubebesha ujauzito mwana funzi.

  • @sammychansa1797
    @sammychansa1797 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣 eti asnte pesa

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว

    Hivi Maya amefariki au?

  • @aminahaminah3762
    @aminahaminah3762 2 ปีที่แล้ว

    Kiruuuuu🤣🤣🤣

  • @ateleteleecibalungumwenelo1423
    @ateleteleecibalungumwenelo1423 11 หลายเดือนก่อน

    Wasichana wanawake musiwe munatowa mimba juhu asili 99% ya wa nawake huwa wapoteza mahisha juhu ya hiyo( abortion)ni dhambi kubwa ,munakima malipizi kihumbe cha Mungu hakikuwahomba mukilete ni juhu ya usherati wenu kwa hiyo kwanini kukitesa?

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว

    Muziki unakera sana.
    Mwomba Mungu hachoki,usikufuru kaka Adam pamoja na kuwa ni movie.
    Halafu sehemu nyingine kelele nyingi.

  • @mayasammy2076
    @mayasammy2076 2 ปีที่แล้ว

    woow