Bro uko vizuri hujawai kutuangusha movies zako kali na Zina leta taswira za uhalisia mtupu so big up sana bro but jaribu kutumia wasanii wakubwa na maarufu kwenye music ili kuitangaza sanaa yako ya action movies na ili uzidi kufikia mbali zaidi ya hapo
Move n nzr broo lkn hao police ndio wamezingua yaan wamecheza kizembe sana walitakiwa waingie na bwebwe za hatariii yaan ving'ora km vyote yaan hara hlo jengo pia lilitakiwa likae kihuni kwel lkn nakupa asilimia 80
Respect to you brother nimekubali kazi ako na nimeanza kuona maendeleo makubwa katika move za action bongo, japo Kuna makosa madogo madogo Ila na amini Misha yarekebsha me naombo ss utuletee move umevaa uhusika was kininja kaka
wow African action is nice
Nakukubali bavo uko vizuri sana zaidi ya sana napia nakupenda sana kwasababu uko sirias na kazi mungu aku zidishie by side boy
Hatariiii sanaaaaa daaah tutamchagua bavo akigombea uraisi
Bavo kazi zuri sana napenda kukufatilia sana
Uko vizuli bavo umetisha kinyama👊👊👊
Nimekukubali mwamba huko vizuri sana
Umesha kuwa don yen wa Tanzania mkali makin sana
Kaka bavo upo vizuri Kaka tatizo vifaa na kwa ulipo fikia oneday tutakuona Hollywood Kaka south Africa to tanzania
Bro uko vizuri hujawai kutuangusha movies zako kali na Zina leta taswira za uhalisia mtupu so big up sana bro but jaribu kutumia wasanii wakubwa na maarufu kwenye music ili kuitangaza sanaa yako ya action movies na ili uzidi kufikia mbali zaidi ya hapo
iko njemaaaaaa
Sanaaaaaa
Wana bongo
Muvieeeeeee
Unaweza mze hata mimi nimekubali hiyi move action yako laaa ongera sana mwanangu
Nakubali kaka mkubwa ✊ ishi sana
Chikongwe unafanya
Vzl mzee wangu unaju sana
Bongo ndyo tunapaa kiivo Sasa hii nimeludia mala 10 so.
The Best... Tunastahiri kujivunia honestly
Da!!! Bavo hatare sana mamaaaaaa!!!
Fanyia kazi blood na usirious as maskar movie Kali san kka
Uko vizuri bavo
Umejifunzia wapi
Unajua sn bro naomb na mm tufanye move moja Niko vzr kiasi chake
Nzuri nyingine bavo keep it
Muvi nzuri kama ya mbele.tafsili nzur
Noma Sana bavo
Movie nzr kweli endelea kaka bavo unaweza
Ukovizur bavo umetisha ile mbaya
Kavunja mbavu za mgongo mgongoni
Akuna mbavu lakn zipo za akiba 😂😂
Nice bro
Bravo kwa video shooter and editor 💪💪💪💪💪👍👍👍
Iko fresh sana
Umetisha kinoma kiukweli bavo
Good job Bavo
Unajua sana bavoo
Mamb VIP sasa umekuja kivengine
Muv yenu nmeipend bigup keep it up
Rrr
Ou31rryyhgfd
Congretulation
Good
Aisee juma Khan good bro ume nogexha
Tanzania tunaweza
uko kangari bro
Nice movie
Mpo sawaa
Big up my brother
Amekua na ranging nyeusi lakini huyu jamaaa sio wahuku kwetu
kubali chako mzee
Jamaa anajua
Dah hongra bavo kwa kaz nzur
Unajua sn bro naomb na mm tufanye move moja Niko vzr kiasi chake 😎
asante sana ndugu, ww uko wapi
Uyo mshikaji mwenye koti lefu ni Brother yangu home boy anaitwa Kashaija
Kumbe Bro Ako Ndo Mana Kadundwa Bas
Safii Sasa tumia wasanii maarufu ku boost kazi zako
Thanks to the crew for their hard work 👏👏👏👏
Pw
uyu jama bavo hakuna anae weza zaidi yako
Nimekubali
Tumeipenda juma kani
PHÉNOMÈNE EN PRÉPARATION
Wah
Imeish kam ivyo ATATI SANA
#BAVO
Qaliiiii xana broo
Umenitisha bavo
nice move
Baada ya Misuko suko sasa tunaona kitu halisia kabisaaaa
Wow
Move n nzr broo lkn hao police ndio wamezingua yaan wamecheza kizembe sana walitakiwa waingie na bwebwe za hatariii yaan ving'ora km vyote yaan hara hlo jengo pia lilitakiwa likae kihuni kwel lkn nakupa asilimia 80
Big up broo
Balaa
Respect to you brother nimekubali kazi ako na nimeanza kuona maendeleo makubwa katika move za action bongo, japo Kuna makosa madogo madogo Ila na amini Misha yarekebsha me naombo ss utuletee move umevaa uhusika was kininja kaka
MbHuva.JA ,
🏡🏭
M
.
Filamu kali sana
Bavo zaidi ya ram charn
Well done
daaa noma san
Ni noma
I knew dat one day there is gunna be the fucking Mogul... That's for sure B.A.V.O
Unantoa damu!!hahaaahaaa
Movie kali
Hy
1234❤
Unajua broo
Cool
Ahahahahahahahahahahahahahahahah ila police walivyoingia ovaa cartoon boresheni hilo
1234 ❤
Safi
respect to agent bavo
Upo vizur sana
Nimecheza karate sanaaaa lakini bavo baba lao mmmhh.....
I'm going to do a Xcel theater
Time full stavel
Part 5
Kamera jamani jitaidini
Wee mwamba
💪💪
Agent bavo 3
Juudi ziongezeke
Yes
Xx tunataka action gani wabongo kazi it semeni
Nextlevel
Bonge la movie
50
Hater bravo especially vyaoooo
6
𝑲𝒂𝒍𝒊 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒉𝒊𝒊, 𝑩𝒊𝒈-𝒖𝒑 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝑨𝒈𝒆𝒏𝒕 𝒃𝒂𝒗𝒐✌️✌️
Mtafsiri lala mbona kunikoxhaa
Duh
nimekubal NM cn
Janda