SHUJAA Ep. 3 || Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2022
- SHUJAA ni filamu bora ya Kiafrika/Tanzania iliyojaa matumaini, kutia moyo kwa watu wanaopitia maisha magumu, dhiki na taabu mbalimbali za kimaisha.
Kwa kutazama Filamu hii utajifunza mengi na kuanzia hapo amini wewe kuwa ni SHUJAA.
Stering:
Michael Kapaya
Hamis Lugonda
Zindola Mchina
Director:
Samiri Pocy
.........................................................................................................................................................................
Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia Jumapili saa 3:00 Usiku (21:00).
Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL.
...........................................................................................................................................................................................
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA. - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Vip mwendelezo WA tamthilia ya ntemi
Kappaya tuko pamoja. Drc wating for you
Wow map tann
We are waiting for the next episode
Kazi nzur nawapenda san ten san masunga tunakupenda san mauwa yenu 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉 🎉
Waiting
Movie nzuri na Quality nzuri hongereni .
huo wimbo naupenda sana kapaya
kaka good sana peleka move azam tv ionekane kw wote na utakua maaruf upo vzur sana nakufatliia sana
❤️🔥❤️🔥❤️🔥waiting for the next episode
Iyi movie tamu sana na mafunzo mazuri🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Hello james ,,movie zako zote nimezipenda sana🙏,,hakika kweli zinamafunzo mazuri sana,,mungu azidi kukuongezea kipaji dungu yangu
Nashukuru sana boss lady 🙏
Asante sana Mungu akubariki maiko
Tuna isubir kwa ham
Inatazamwa sana kaka hongera sana brother
Movie yenu nzuri sana nimeipenda hongera
Natamani kujiunga nanyi maana napenda kuact na kikubwa mnafanya vizuri endeleeni hivo hivo tunawapenda💪💪💪💪💪💞💞💞
James ,huwa npenda xna movie zko Mungu akuzidishie🙏🏼🙏🏼
Temi vp?
Napend movie zako bro good job
Ila minza mungu anakuona ujuwe
dAh ! huyU mLemavU mbonA anasikitisha sanA😢
Mashaallah movie nzuri 😗😗😘
Congrats...a nice movie....somebody aniabie hiyo wimbo ni ya who😊
Great job ak kapaya keep it up
Part 4 waiting
Kazi nzuri sana tuna hitaji part 4
From Congo unafaa kazi nzuri kapaya, n'a kutazama sana vraiment.
Nashukuru sana
@@kapaayathegreat mwendelezo wa ntemi unatoka rini Kaka kapaya ety
God job♥️🙏
☄️☄️☄️❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Yes
Waiting fanya hima
Aki I love your videos
Imetulia hyo
Tuletee
Nakubali
Kaka nakupenda wewe na hizi movei zako
🔥🔥🙏
From Burundi kazi nzuri kapaya
jaman hizi episode MBONA zachukua MUDA kuingia,, twaisubiri
Kazi nzuri kapaya
Bro muendelezo wake paka lini sasa
Tunaisubiri kwa hamu san
Hiko kidem kibaya kwel
Uyu kaka namkubali yeye pamoja na movies zake ziko Bomba"MUNGU azidi kukuongoza kwa kilajambo🙌
Ahsante Asma
Hongera mkuu
Nilisubili Sana jamani asanteni
Safi sana
Duuu
Jmn mtemi kimya adi shujaa imwtoka
Tunaitaji
NTEMI ILISHA AMA
Na hii nyimbo naweza kupataje inanifariji sana
Mujaribu kuiweka kila siku tafathari
❤️🙏
Tunasubiri
Jmn ivi bd ep 3 ya shujaa inatoka .?
Hii nn sasa unatuwekea picha
Movie inapochelewa sana hadi nasahau jmn
Mzee masunga dawa ya wambea miza mmbea kha viatu vimechanika kwa ajili ya kuvyeka mtaa kwa umbea
Huyu minza jamami n mdaku eeh
Minza umbea ata huna mda wa kubadili nguo
Jameni masunga kiburi ya Nini ndungu kubali kusaidiwa
Tamthilia yantemi mbona haienderei sasa
Jamn tunaomba mtuongezee muendelezo wa4
Inakuja
Usijari mpenzi mwendelezo upo
🙏🙏❤❤🔥🔥
❤❤❤👍👍👍👍👍🇰🇪🇰🇪
Inafundisho ndan yake
hii mvie kila ninapofugua data natafuta vipande epsode3 nakuta kuna pichatu ndoilirushwa jana jitahidi kutuwekea nyingne haraka ili tuenderee kuitazama maana ninzuri na vp ntemi ndo mulishaishia epsode12 amna nyingne
Ntemi itaendelea usijari
Kweliii
Ntemi mnatoalini
Kutoa nini ndugu