Nabii Daniel Shillah: UKIMWI sio Kitu cha Kuogopesha Watu wanapona kirahisi kabisa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ธ.ค. 2017
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
    100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
  • เพลง

ความคิดเห็น • 168

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +14

    kijana ni mdogo like me,JESUS alintokea akaniponya akanihaid baraka,nimeokoka nampenda YESU ,lm happy full of peace

    • @myself4128
      @myself4128 4 ปีที่แล้ว

      Unahitaji msaada wewe,,, aliona malaika mwenye kwato

  • @florahwilliam8334
    @florahwilliam8334 5 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Sana nabii prophet Daniel nimeridhika Sana na mahubiri yako Kabla ya kusikia nimahojiano tu. Nakpateje mtumishi nimeguswa Sana nipate huduma kwako

  • @christinamonyi4275
    @christinamonyi4275 6 ปีที่แล้ว +10

    Barikiwa sana nabii,,ukimwi ni pepo tu tukimwamini mungu ktk roho na kweli hakuna jambo linaloshindikana..ukiwa na imani ndongo kama chembe ya haradani twaweza kuamisha milima...god bless you.

    • @raymondjoas4118
      @raymondjoas4118 6 ปีที่แล้ว

      Asante sana Nabii.
      Jibu la Biblia
      Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.​-Matendo 3:​18.
      Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu?
      Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake:
      Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.​-Kutoka 31:18.
      Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:​2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”​-Kutoka 34:27. *
      Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:​28-​36;Ufunuo 1:​10-​17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-​21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.​-Danieli 7:1; Matendo 16:​9, 10.
      Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.​-2 Samweli 23:​1, 2.
      Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao?
      Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:​4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.​-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20.
      Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri
      Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.​-Waamuzi 6:​6-​10.
      Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.​-Yohana 4:​17-​19.
      Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.​-Luka 22:63, 64.

    • @raymondjoas4118
      @raymondjoas4118 6 ปีที่แล้ว

      Hii ni mchango wangu ili jamii iwe na uelewa zaidi
      Nakuunga mkono Nabii Daniel

    • @iddyshabani4201
      @iddyshabani4201 5 ปีที่แล้ว

      Christina Monyi ukimwi co pepo ni ugonjwa ulio tengenezwa na wamarekan ili kudhohofisha Africa ili tupungue waje Kuitawala na kuchota mali. ila dawa zake zipo za mitishamba kwanza mungu alishasema hakuna ugonjwa uliokosa dawa tatizo kuijua dawa hii inatibu ukimwi

  • @mathiasmassawe3738
    @mathiasmassawe3738 6 ปีที่แล้ว +5

    Wanyiramba mmepata Nabii , hongereni sana Shillah huyoo.......!!!!!!

    • @minzaaemmanuel2452
      @minzaaemmanuel2452 5 ปีที่แล้ว

      Mathias Massawe hahahahaaa nyiramba mungu hajatusahauu

  • @hildakaaya6924
    @hildakaaya6924 6 ปีที่แล้ว +5

    be blessed prophet..

  • @richardbuhatwa1940
    @richardbuhatwa1940 6 ปีที่แล้ว +4

    nice prophet

  • @estherpeter7177
    @estherpeter7177 6 ปีที่แล้ว +6

    nimekuelwa sana prophet....pia nimependa coz hugusi utukufu Wa Mungu. Mungu asikuache

    • @judigati1829
      @judigati1829 5 ปีที่แล้ว

      Jamani huyu NABII anapatikana wapi kanisa liko wapi?au namba za cm

  • @jacobmsule5191
    @jacobmsule5191 6 ปีที่แล้ว +3

    angekua na njaa angegawa hela jamaan...sema hata magu hawamuamin japo anawafanyia haki...in God we trust

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +1

    I was praying for this, now GOD has started doing what he promced

  • @raymondjoas4118
    @raymondjoas4118 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliana na Nabii Daniel
    Jibu la Biblia
    Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.​-Matendo 3:​18.
    Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu?
    Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake:
    Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.​-Kutoka 31:18.
    Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:​2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”​-Kutoka 34:27. *
    Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:​28-​36;Ufunuo 1:​10-​17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-​21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.​-Danieli 7:1; Matendo 16:​9, 10.
    Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.​-2 Samweli 23:​1, 2.
    Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao?
    Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:​4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.​-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20.
    Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri
    Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.​-Waamuzi 6:​6-​10.
    Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.​-Yohana 4:​17-​19.
    Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.​-Luka 22:63, 64.

  • @benmbwele
    @benmbwele 6 ปีที่แล้ว +3

    You are so blessed brother..... you are the chosen one....!

  • @baumbachogero9410
    @baumbachogero9410 6 ปีที่แล้ว +9

    Binafsi siwaelewi sana waandishi wa habari, maswali yao yanakuwa on the negative side all the time, sijui hawamuamini Mungu kuwa anaweza au vipi? Jaribu kuwa na imani kuwa Mungu anaweza YOOOOTE!

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mjamasikio amsikii anafanya mwenyewe afanyi Mungu sijasikia akisema Mungu anafanya kunitumia mimi anasema nikitu nimefanya mi unidanganyi nalijua neno.

  • @mariamunniyararaze691
    @mariamunniyararaze691 6 ปีที่แล้ว +11

    Barikiwa mungu anaponya,mungu akuzidishie hekima,akupanulie mipaka amin be blessef

    • @jacksonmashimba9987
      @jacksonmashimba9987 5 ปีที่แล้ว

      mariamu n niyararaze re

    • @pindabutter2736
      @pindabutter2736 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako…..

  • @adamcharles8995
    @adamcharles8995 6 ปีที่แล้ว +9

    Mungu mwenyewe aendelee kukutumia sawa sawa na mapenzi yake

    • @msafiriaugustino2957
      @msafiriaugustino2957 6 ปีที่แล้ว +1

      nabii wa uongo huyo, rafiki soma biblia utoke gizani

    • @clarakulwa9412
      @clarakulwa9412 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana. Nimekuelewa vizuri. Imani Agano na rehema

  • @JoyceGeorge-qv4ck
    @JoyceGeorge-qv4ck 5 ปีที่แล้ว +1

    songa mbele nabii Daniel usisikilize maneno yaoooo yesu mwenyewe walimkataa sembuse wewe !! maneno yao yasikuvunje moyo

  • @pindabutter2736
    @pindabutter2736 5 ปีที่แล้ว +2

    Oyaa nabii fala, naomba unifungulie simu yangu, nimesahau password yangu.

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 6 ปีที่แล้ว +5

    Be blessed Papa!

  • @rehemamsekeni9640
    @rehemamsekeni9640 6 ปีที่แล้ว +1

    Blessing

  • @byamsonbyamson6096
    @byamsonbyamson6096 5 ปีที่แล้ว

    Mm ninaimani kubwa kwamba mtu anaponywa ukimwa kwa jia tatu hizo Mungu akubariki Daniel

  • @allenmrema2919
    @allenmrema2919 6 ปีที่แล้ว

    thank you God!

  • @jicholafursa7058
    @jicholafursa7058 6 ปีที่แล้ว

    safi dogo hata Yeremia aliitwa kuwa nabii akiwa mtoto,Mungu ni yuleyule hata kizazi chetu kinahitaji huduma kuu tano ikiwemo unabii,songa mbele watakuelewa baadae

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 6 ปีที่แล้ว +10

    Mwanamke mwenye tatizo LA kutokwa na damu sio kitabu cha MATHAYO 21 Bali MATHAYO 9

    • @neemajackson9834
      @neemajackson9834 6 ปีที่แล้ว

      Haha haha naend ku prove kwen bible this n the second time nabii anakosea mistar namskia

    • @Mokiwa
      @Mokiwa 5 ปีที่แล้ว

      Umeona eeeehh, nafuatulia kila fungu analosema. Mengi ni ya uongo au anayaelezea kinyume... Hiki kinanilazimu niamini yule malaika aliyemtokea akiwa na kwato za mbuzi alikuwa jini... Isaya 8:20 imeandikwa "Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi" huyo jamaa kwa sababu ni duni kimaandiko, he's very fake. Hata shetani anatenda miujiza, miujiza hiyo haimfanyi awe wa Mungu Ufunuo wa Yohana 16:13-14 imeandikwa "Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka na katika kinywa cha yule nabii wa uongo. Hizi ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi""

  • @andrewkivuyo4728
    @andrewkivuyo4728 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi

  • @roseshalua5251
    @roseshalua5251 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mtumishi

  • @shabaningilangwa7974
    @shabaningilangwa7974 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu naye nabii

  • @nurumwakapeje1647
    @nurumwakapeje1647 3 ปีที่แล้ว

    Anaraisisha huyu jamaa mungu amsaidie

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 2 ปีที่แล้ว

    Amna kitu hapa.

  • @jacksondamas8634
    @jacksondamas8634 6 ปีที่แล้ว

    mmmmh hta wew kweli

  • @williamkhaemba2782
    @williamkhaemba2782 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa daaah yani anakujibu na biblia vizuri sana

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +2

    the only humble prophet in Tanzania

  • @marryndewele785
    @marryndewele785 6 ปีที่แล้ว +1

    mmh hao manabii was sasa mungu atusaidie

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +1

    hao ni waisrael ,no matter wanapitia nn,watafanikiwa,MUNGU anamkumbuka IBRAHIM,ISAK,JAKOB

  • @jacksondamas8634
    @jacksondamas8634 6 ปีที่แล้ว

    mmmh hafa wew kwel

    • @petermshale5672
      @petermshale5672 6 ปีที่แล้ว

      Mhm hatari sana dunia inaelekea pabaya hadi watu tunao waamini waandishi wetu wa habari mnasikiliza hayo na mnayaamini huyo ni wakuishia getini tu ata mjengoni msinge mluhusu aingie

  • @erastomushi6525
    @erastomushi6525 5 ปีที่แล้ว

    Akiwepo nabii kati yenu nitanena na katika maono na ndoto,lakini sio kwa mtumishi wangu musa yeye nitanena nae uso kwa uso,kwa maana amekuwa mwaminifu katika nyumba yangu yote, ndio maana malaika wakauzika mwili wake. Sijasikia nabii mwingine alisikia sauti ya mungu ana kwa ana, acha kutuzuga

  • @msafiriaugustino2957
    @msafiriaugustino2957 6 ปีที่แล้ว +1

    nimesikitika sana yaani jinsi watu wanavyodanganyika, mnajua mtu anapojiita nabii ni mtu wa namna gani we ukutane na mnyama kavaa kwato na nyoka jamani si mashetani umekutana nayo hayo we ni mganga wa kienyeji na mwisho wa kazi utapokea mshahara wa kazi unayoifanya. enyi watu someni biblia ukishindwa muone mtu akuelekeze.

  • @mlongojane8671
    @mlongojane8671 6 ปีที่แล้ว +12

    Huyu kijana ana hekima sana.

  • @mollelshange2412
    @mollelshange2412 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @katerinadada6481
    @katerinadada6481 6 ปีที่แล้ว +2

    Ubalikiwe kaka

  • @officialkissmiva9778
    @officialkissmiva9778 6 ปีที่แล้ว +3

    it was prophesized nothing is new in this world

  • @ngoroshowinfrid2220
    @ngoroshowinfrid2220 5 ปีที่แล้ว

    kumbe naweza kupona ? naomba namba yake please

  • @aisharehema3818
    @aisharehema3818 6 ปีที่แล้ว

    Wewe toka

    • @egidikilindij5994
      @egidikilindij5994 5 ปีที่แล้ว

      DD Shillah sounds like a false prophet. He met with popular African Iluminat prophets too.!! 😀

  • @mchuumchu9801
    @mchuumchu9801 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyu anapotosha watu jihadharini

    • @bronsonkazungu2655
      @bronsonkazungu2655 3 ปีที่แล้ว

      Usijaji Mtu ni kazi ya Mungu hiyo!!! Mungu akikutokea Siku moja ndio utaamini ya kwamba Mungu yupo na ndiye anaye toa vibali wala sio mwanadamu

  • @ngosyaranus2957
    @ngosyaranus2957 6 ปีที่แล้ว

    Namba ya simu mlioiweka haipatikani kwanini mnaweka namba isiyopatikana mnategemea nn mtu akitaka kuwasiliana nanyi?

  • @coachtemba6002
    @coachtemba6002 6 ปีที่แล้ว

    Magician can produce those money too...kiini macho.

  • @rahimmaumba4504
    @rahimmaumba4504 6 ปีที่แล้ว +11

    Mpelekeni muhimbili akawaombee wagonjwa wa ukimwi pale........

    • @florajacob5771
      @florajacob5771 6 ปีที่แล้ว +1

      hata ukiombewa kama huna imani. huponi haya ni mambo ya kiroho

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +2

      waganga na wasoma nyota hao wana wa shetani baba yenu mnayempenda walishawi kuja hospital kuwaunganisha na majini ,tahira ww

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +1

      mnawafuata na mbuz mnspeleka,we are Christians not religious (born again)try the LORD uone,achana na wehu hso

    • @chalesminja4930
      @chalesminja4930 5 ปีที่แล้ว +2

      Nyie hamna point andika vya maana watanzani kaz kuponda tuu nyie washahili

  • @shabanimiraji5388
    @shabanimiraji5388 6 ปีที่แล้ว +4

    Mm nadhan km ni ya kwel hayooo asingetafutwa ww wagonjwa wanavitengo vyao kwann yy asiwafuate akawaombea huko wakaponaaa.. Km hao wagonjwa wa ukimwi na kanss.

    • @farajaluvanda1242
      @farajaluvanda1242 5 ปีที่แล้ว

      Shabani Miraji kumbuka kwamba hata ukiombewa bila kuwa na imani huwezi kupona kabisa na ni lazima wagonjwa wenyewe pia waamini ya kwamba yesu anaponya wasizishikilie dini maana dini haziponyi ila anae ponya ni yule alieshinda kifo na mauti tu

  • @rehemamsekeni9640
    @rehemamsekeni9640 6 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya nabii Daniel

  • @dullyprinc7886
    @dullyprinc7886 6 ปีที่แล้ว +1

    mh kweli maandiko yanatimia watatokea manabii Wa uongo ndo haya kila MTU lake duh!

  • @dwiny7841
    @dwiny7841 6 ปีที่แล้ว

    Hmmmmmmm🤔🤔🤔🤔🤔😋😋

  • @erastomushi6525
    @erastomushi6525 5 ปีที่แล้ว

    Mungu hajaribiwi wala hamjaribu mtu.

  • @erastomushi6525
    @erastomushi6525 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama shetani anaweza kujigeuza kuwa malaka wa nuru, si ajabu kwa watumishi wake......

  • @lauralaurent5994
    @lauralaurent5994 6 ปีที่แล้ว +2

    mbn haijui bibilia huyuu.....

  • @jacksonzakayo6759
    @jacksonzakayo6759 4 ปีที่แล้ว

    Kusikia sauti nikweli hata mimi niliwahi sikia sauti.

  • @jwakitaatv7245
    @jwakitaatv7245 6 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว +1

    awa manabii mbona wanatumia vitabu vya yesu tu na vyao awana jipangeni bas mje na vtabu vyenu

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 2 ปีที่แล้ว

    Biblia inasema akina aliyemuona Mungu akaishi lazima ufe usitudanganye weeeee .

  • @ritabanyanga5082
    @ritabanyanga5082 5 ปีที่แล้ว

    mungu anaponya lakin sijawahi kuona ukimwi labda mpaka nishuudie uwezi amini ujashuudia broo

  • @bingwaa
    @bingwaa 5 ปีที่แล้ว

    We we NI laana kabisa watu wanaumwa na ukimwi wewe unafanya mchezo, ngoja were upate ukimwi halafu ujiponyeshe

  • @rodasamweli5858
    @rodasamweli5858 6 ปีที่แล้ว +6

    Sauti kama ya Makonda

    • @jeviounipers
      @jeviounipers 6 ปีที่แล้ว

      hata domo, lol!

    • @rajabupius2996
      @rajabupius2996 4 ปีที่แล้ว

      Aloo upo sahihi sana hasa ukisikiliza anavyoimba yan ni Makonda kabisa. Sikiliza ule wimbo wake wa nieonee huruma

  • @coachtemba6002
    @coachtemba6002 6 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa hiyo utajuta, inamaanisha utashindwa na career yako itakuafa mapema.

  • @kelvinbeda8931
    @kelvinbeda8931 6 ปีที่แล้ว

    Muongooo unaonekanaaaa

    • @chalesminja4930
      @chalesminja4930 5 ปีที่แล้ว

      Ww unaweza nn vp unaota ndoto unakimbizwa

  • @bingwaa
    @bingwaa 5 ปีที่แล้ว

    Ukimwi na kutoka damu NI vitu viwili tofauti kutoka damu inseza kukata tu lakini ukimwi NI virus

    • @rehemamsekeni9640
      @rehemamsekeni9640 5 ปีที่แล้ว

      bingwaa why virus visikauke kama dama ilikata

    • @monalisacarypso1809
      @monalisacarypso1809 4 ปีที่แล้ว

      Mungu anaponya kwa wale wote waaminio, ukimuamin yeye nothing is impossible

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 6 ปีที่แล้ว

    Thubutu,Utume??

  • @peterwilson1325
    @peterwilson1325 5 ปีที่แล้ว

    Mm sina hela kaka nasikia unagawa pesa

  • @mrishojoseph7987
    @mrishojoseph7987 6 ปีที่แล้ว +14

    Kuna wagonjwa wengi mahospitalini aende akawaponye

    • @techbossbernardo2093
      @techbossbernardo2093 6 ปีที่แล้ว +1

      sio wagonjwa wote wana imani

    • @magaridartz1518
      @magaridartz1518 6 ปีที่แล้ว +2

      AUBAMEYANG HIGHLIGHTS Wataponywa walio tayari.

    • @anisamresh0018
      @anisamresh0018 6 ปีที่แล้ว

      Hakuna mtu asiekuwa na imani ya kutaka kupoa.. Unafkiri watu wanataka kulala hospital na hela ilivyokuwa ngumu.. Kila mtu anataka uzima afanye mambo yake

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +3

      YESU HAKUWAHI KWENDA HOSPITAL WALIMFUATA,WAGANGA WANAWAFUATAGA HOSPTAL?ACHA UNAFIKI,GOD HAS NO BOUNDARY

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +2

      waganga na wasoma nyota wenu wanawafuataga kwa hospital,tahira ww

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +3

    halafu somen bible acheni kuuliza maswal fek,eti nabii anashuka na kitabu,hao uongo ,kuna spiritual gifts ,kasome bibl

    • @pindabutter2736
      @pindabutter2736 5 ปีที่แล้ว

      Acha upumbavu wewe, akili zenu zikowapi, moyo wenu aupo kwa MUNGU kabisa huu ni ujinga yani mama mzima kama wewe unategwa na mtoto mdogo hivi, daa kweli watu wajinga, mwambie akufungulie simu yako…..
      Beantwoorden

  • @daudilucas
    @daudilucas 5 ปีที่แล้ว

    Mathayo 9:20,siyo Mathayo 21.

  • @nzumarimbabe2027
    @nzumarimbabe2027 6 ปีที่แล้ว

    du !

  • @mathiasmassawe3738
    @mathiasmassawe3738 6 ปีที่แล้ว

    Duuuh

  • @andrewkivuyo4728
    @andrewkivuyo4728 4 ปีที่แล้ว

    Mnao sema.mtumishi.vibaya.make.mkijua.mnapambana na hamtoweza.mwishowe mtaangamia.bure

  • @ashlybaganda2489
    @ashlybaganda2489 5 ปีที่แล้ว

    Acha uongo kijana hakuna mtu aliye kutana na Mungu akapona. Izi make up stories zako eti umepokea pesa za kimaajabu mimi siamini. Siku za mwisho ni siku za hatari watu wengi watakuja kwa jina langu nao wata wadanganya wengi. Wakristo iweni macho.

  • @bayovicent8504
    @bayovicent8504 6 ปีที่แล้ว +2

    Dogo ameplan bishara nzuri sana

  • @emanueljuma1139
    @emanueljuma1139 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nini huwa mnapenda kujiita nabii.? Ni kwa lipi kwanza unalo tabiri ambalo halijawahi tabiriwa?

    • @ritabanyanga5082
      @ritabanyanga5082 5 ปีที่แล้ว

      sio kwa kirus kinakuwa.hakijakushika vizuri

    • @saphinakyaka4030
      @saphinakyaka4030 5 ปีที่แล้ว

      Muogope anaekupa pumzi ila kwa ss endelea kutdanganya mungu anakuona

  • @selincharles3383
    @selincharles3383 6 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😁😁

    • @salvataross9118
      @salvataross9118 5 ปีที่แล้ว

      Siku za mwisho zikikaribia watajaa manabii wa uongo

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 6 ปีที่แล้ว +1

    0744599773 nataka kuwa nabii Kama shillah nitafute plz kwene hiyo namba nahitajii

  • @coachtemba6002
    @coachtemba6002 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂crazy miracles. Tatizo la Kondoo ni Elimu tu...huu ni uhuni.

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 6 ปีที่แล้ว

    Ngoja ukukwae huo ukimwi halafu ujipone mwenyeo

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 6 ปีที่แล้ว

    Huyo mwongo bn hakuna nabii jamn kwa dunia hii ya leo watu wanatafuta umaaruf tu ok aende bs mochwar akafufue wote waliokufa ,,,hiv mnamchezea mung achen kiki bn

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

      unabii ni gift ,soma Bible ,siyo vitabu vingine

  • @lisambaruku7544
    @lisambaruku7544 5 ปีที่แล้ว +1

    mwanamke aliyetokwa na damu sio mathayo loooh! ni luka 8:43 Mungu nampenda kweli haya mnaoamini manabii endeleeni kuamini mpaka mjikute mpo kwenye shimo hakuna wa kuwatoa

  • @georgemwangegwa4893
    @georgemwangegwa4893 6 ปีที่แล้ว +6

    Kwamtu yoyote asienahofu yamungu lazima ampinge huyu nabii

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 3 ปีที่แล้ว

    Nabii nimebaki na jero tu fanya mambo zijae huku pia

  • @txbcamengdg7021
    @txbcamengdg7021 6 ปีที่แล้ว +1

    Nabiii naomba mawasiliano na Wewe +96879063286 WASAP

  • @JoyceGeorge-qv4ck
    @JoyceGeorge-qv4ck 6 ปีที่แล้ว

    ata akikosea haimaanisi sio nabii

  • @coachtemba6002
    @coachtemba6002 6 ปีที่แล้ว

    Ukiwakatisha dawa wagonjwa wewe utakua ni muuji, hivyo basi kula pesa za wagonjwa ila usiwakatishe dawa tafadhali.

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 5 ปีที่แล้ว

    wadanganye haohao wakristo

    • @Mokiwa
      @Mokiwa 5 ปีที่แล้ว

      Huyo siyo mkristo cc, si kila anayemtaja Yesu ni Mkristo kumbuka hata mpinga Kristo huzuga kumkiri Kristo huku akipindisha mafundisho ya kweli ya Kristo. So awadanganye tu makristo wenzake wa uongo maana imeandikwa katika Mathayo 24:24 "Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu WAPATE KUWAPOTEZA, KAMA YAMKINI, HATA WALIO WATEULE" MIMI BINAFSI SIAMINI KATIKA HUYO JAMAA. AMEN

  • @pindabutter2736
    @pindabutter2736 5 ปีที่แล้ว +1

    wajinga mpo wengi, eti hallelujah nabii, ameni acheni upumbavu nyie huyu msanii, kama simu yako imefungwa yeye atakufungulia, we tuma pesa M-Pesa tuu, yani huyu nabii anauza chumvi, maji, mafuta, karanga, kanga, nguo za ndani, kanisani, daa kabarikiwa kweli, tuma pesa m-pesa sala sio bure bana

  • @iddyshabani4201
    @iddyshabani4201 5 ปีที่แล้ว

    dogo mjanja sana ukimbana anakimbilia andiko. mungo sana huyo mpgaji tu

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada anauliza kwa panic anatamani kumpiga

    • @Mokiwa
      @Mokiwa 5 ปีที่แล้ว

      Si anaona anazingua live, sijajua kama "nabii" anajisoma

  • @kipleramadhani4071
    @kipleramadhani4071 6 ปีที่แล้ว

    nilisoma nae huyo bagamoyo kwa kipingu

  • @robinahumphrey9725
    @robinahumphrey9725 2 ปีที่แล้ว

    Jibu swali una baba wa kuroho ???

  • @erastomushi6525
    @erastomushi6525 5 ปีที่แล้ว

    Sasa unakutana na bushir unajisifu? Bushir anazuga,hata muuza karanga tu anajua, he is buying people to give false testimony.

  • @moshimongelwa7795
    @moshimongelwa7795 6 ปีที่แล้ว

    Kama we.ninabii wakweli mungu akujalie nakama ww niwa uhongo utajuwana na mungu wako

  • @gracewabyae8552
    @gracewabyae8552 6 ปีที่แล้ว

    Mzee hao ulioonana nao ni manabii wa uongoo nawewe inakuhusu hiyo utakuwa muongo

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 6 ปีที่แล้ว

    hahahahahahaah eti unabii hautestiwi. ndo anatafuta pa kupenyea hapo. Manabii wooote walifanya miujiza tena wengine kwa kupimwa mbele za watu ili kuthibitisha.

    • @raymondjoas4118
      @raymondjoas4118 6 ปีที่แล้ว

      Anaye fanya unabii ili kuthibitisha mbele za watu mbali na utukufu wa Mungu ndie Muongo
      Mfano mimi ni nabii wa Mungu , nakutana na vijana tu njiani waniambie wewe kama ni nabii badilisha hizi karatasi kua hela halafu nabadilisha kitendo hicho itakuwa kwa utukufu wa Nani?

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 6 ปีที่แล้ว

      Raymond Joas Mitume woote walifanya miujiza mbele ya watu kuthibitisha utume wao na kuwajenga imani waumini na wao kumiamini Mtume huyo.
      Tangu zama zoote kuanzia Nuhu, Lot, Isaka, Yakobo, Yusuf, Musa, Yesu na hata Muhammad. Woote hawa walifanya miujiza on the spot ili kupata watu na kuakiniwa. Yeye anaambiwa alete muujiza mmoja tu anaanza kuleta longolongo tu

    • @raymondjoas4118
      @raymondjoas4118 6 ปีที่แล้ว

      Yahya Sinongo
      Jibu la BIBLIA
      Unabii ni ujumbe ulioongozwa na roho ya Mungu, ufunuo kutoka kwa Mungu. Biblia inasema kwamba manabii “walisema yaliyotoka kwa Mungu kama walivyoongozwa na roho takatifu.” (2 Petro 1:20, 21) Kwa hiyo, nabii ni mtu anayepokea ujumbe kutoka kwa Mungu na kuwapitishia wengine ujumbe huo.​-Matendo 3:​18.
      Manabii walipataje ujumbe kutoka kwa Mungu?
      Mungu alitumia njia kadhaa kuwapitishia manabii wake mawazo yake:
      Maandishi. Mungu alitumia njia hii angalau pindi moja alipompa Musa zile Amri Kumi zikiwa zimeandikwa.​-Kutoka 31:18.
      Kupitia malaika. Kwa mfano, Mungu alitumia malaika kumletea Musa ujumbe ambao alipaswa kumpelekea Farao wa Misri. (Kutoka 3:​2-4, 10) Wakati ambapo maneno hususa yalikuwa muhimu, Mungu aliwaongoza malaika wamwambie mtu maneno hususa ya kuandika, kama alivyofanya alipomwambia Musa hivi: “Jiandikie maneno haya, kwa sababu ninafanya agano pamoja nawe na Israeli kupatana na maneno haya.”​-Kutoka 34:27. *
      Maono. Nyakati nyingine nabii alipokea maono alipokuwa macho na akiwa anafahamu kabisa kinachoendelea. (Isaya 1:1; Habakuki 1:1) Maono mengine yalikuwa halisi kabisa hivi kwamba wahusika waliyashiriki. (Luka 9:​28-​36;Ufunuo 1:​10-​17) Pindi nyingine, maono yalipitishwa mhusika akiwa katika njozi. (Matendo 10:10, 11; 22:17-​21) Pia Mungu aliwasilisha ujumbe wake katika ndoto wakati ambapo nabii alikuwa amelala.​-Danieli 7:1; Matendo 16:​9, 10.
      Kuongoza akili. Mungu aliongoza mawazo ya manabii wake ili kupitisha ujumbe wake. Hiyo ndiyo maana inayotolewa na maneno haya ya Biblia: “Andiko lote limeongozwa na roho ya Mungu.” Maneno hayo yanayosema “limeongozwa na roho ya Mungu” yanaweza pia kutafsiriwa “lenye pumzi ya Mungu.” (2 Timotheo 3:16; Union Version) Mungu alitumia roho yake takatifu, au kani ya utendaji, kuingiza mawazo yake katika akili za watumishi wake. Ujumbe ulikuwa wa Mungu, lakini manabii ndio waliochagua namna ya kuyapanga maneno.​-2 Samweli 23:​1, 2.
      Je, nyakati zote unabii unahusisha kutabiri wakati ujao?
      Hapana, unabii wa Biblia hautabiri tu kuhusu mambo ya wakati ujao. Hata hivyo, ujumbe mwingi kutoka kwa Mungu unahusiana na wakati ujao, hata ikiwa si moja kwa moja. Kwa mfano, manabii wa Mungu waliwaonya Waisraeli wa kale kuhusu njia zao mbaya. Maonyo hayo yalifafanua baraka za wakati ujao ikiwa watu wangetii, na pia yalitaja madhara ambayo wangepata kwa kutotii. (Yeremia 25:​4-6) Matokeo yalitegemea njia ambayo Waisraeli waliamua kufuata.​-Kumbukumbu la Torati 30:19, 20.
      Mifano ya unabii wa Biblia usiohusisha utabiri
      Pindi moja Waisraeli walipomwomba Mungu msaada, alituma nabii kueleza kwamba kwa kuwa walikataa kutii amri za Mungu, basi Mungu alikataa kuwasaidia.​-Waamuzi 6:​6-​10.
      Wakati ambapo Yesu alizungumza na mwanamke Msamaria, alifunua mambo kuhusu maisha yake ya zamani ambayo hangeweza kuyajua bila kufunuliwa na Mungu. Mwanamke huyo alitambua kwamba Yesu alikuwa nabii hata ingawa hakuwa ametabiri kuhusu wakati ujao.​-Yohana 4:​17-​19.
      Wakati wa kesi ya Yesu, maadui wake walimfunika uso, wakampiga, kisha wakamwambia: “Toa unabii. Ni nani aliyekupiga?” Hawakuwa wakimwambia Yesu atabiri wakati ujao bali kwa msaada wa Mungu aseme ni nani aliyempiga.​-Luka 22:63, 64.

  • @hamdounkhamis8813
    @hamdounkhamis8813 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ni tapeli tuu hakuna nabii mswahili... acheni usanii njaa mbaya

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +1

      mpeleke mgonjwa wako,acha kubisha,kamjaribu acha kuhukumu

  • @samirnaty8774
    @samirnaty8774 6 ปีที่แล้ว

    Wagonjwa fake ao wanaopona kama kashindwa mzungu ww tulia

  • @anisamresh0018
    @anisamresh0018 6 ปีที่แล้ว

    Ahaahah me kanimalizaga huyu kijana Kiki ya nguvu.. Nenda muhimbili na Amana uponye watu wanaimani wanataka kupoa

  • @simbavevo7318
    @simbavevo7318 6 ปีที่แล้ว +17

    Yani huyu jamaa anataka kiki tu there is no nabii ktk dunia ya sasa .gonga like hapa chini

  • @wildofworld100
    @wildofworld100 6 ปีที่แล้ว +4

    pambana na hali yako tafuta kazi ufanye au rudi shule ukasome

    • @doricenyanda5719
      @doricenyanda5719 6 ปีที่แล้ว

      Hapo kwenye ongeza sifuri moja hata sikubariani kabisa 😂😂😂😂😂

    • @baumbachogero9410
      @baumbachogero9410 6 ปีที่แล้ว

      Huyu Nabii ni Form Six graduate ndugu!

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว +1

      na hao Mungu anaowasaidia na kuwaponya utawasaidia ww,na hao wanaokoka kupitia hyu itamlipa Mungu Roho zake ,potea mwenyewe