DANIEL SHILLAH:NAPENDA WADADA WANAOENDA NA MWENENDO WA KISASA ILA YESU MSTARI WA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #wasafi #refresh DANIEL SHILLAH:NAPENDA WADADA WA MWENENDO WA KISASA ILA YESU MSTARI WA KWANZA
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 124

  • @suleimanrashid8957
    @suleimanrashid8957 5 ปีที่แล้ว +11

    Mtumishi wa shetani kweli jarani zetu wa cristo mda mwengne hua hamfikirii ivi huyu anaweza kua nabii kweli? Ina sikitisha kiukweli tena watu wazma na elimu zao wana pelekwa na imani za kishetani inna lillah wa inna ilayh rajyun. Hakika namshukuru mwenyez mungu kwa kuniumba nikiwa muislam. Alhamdulillah.

    • @agaaah6697
      @agaaah6697 5 ปีที่แล้ว

      Acha kutoa hukumu ww, we sio mungu

    • @suleimanrashid8957
      @suleimanrashid8957 5 ปีที่แล้ว +1

      Ina wezekana na ww nikati ya wale wale kondoo wake anao wachunga kuna neno lina shabihiyana na hukumu hapo? Mrudieni mungu wa kweli alioumba dunia na vilivyomo humo na hakika ya Muhammad ni mja nani mtume wake .msisumbuliwe na hawa mitume isio kua na dalili wala vitabu.

    • @swahilitrends3397
      @swahilitrends3397 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwa unabii hilo siwezi judge ila nabii ni yule anaepingwa na wengi katika jamii yake

    • @hajikishuwa1078
      @hajikishuwa1078 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini asiweze kuwa nabii kwani manabii wanamikundu miwili au acha ujinga wewe

    • @aimew.5515
      @aimew.5515 4 ปีที่แล้ว

      si hatuna kosa kama yeye aajiita nabii si tumfanyaje?! wenye akl timamu tunakaa pemben

  • @fredrickmikera5998
    @fredrickmikera5998 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu yupi

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +2

    Huo ni mwendelezo wa Shetani/Ibilisi (Jini muasi/Jini m'baya), amewatungia na kuwapambia Bibliia na Ukristo kupitia Yesu!
    Hayo ni magugu na tusubiri siku ya mavuno......mwenyemasikio na asikieeeee.

  • @edyboychamiliion1360
    @edyboychamiliion1360 7 หลายเดือนก่อน

    Acha uislam ubaki kuwa dini ya kweli na ya hakki kwa mungu hayo madudu mengine na dini zao tuwaachie wenyewe

  • @fredymaswimwita3091
    @fredymaswimwita3091 3 ปีที่แล้ว +1

    Sure thing stellar,,I Ike u

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 4 ปีที่แล้ว +1

    Shila ,umepotoka , achana na dunia kama umeamua kumwishia Mungu dili huko ila kama unataka dunia basi ifuate usiwe mtu wa kutaka yote.

  • @jasinebaitu396
    @jasinebaitu396 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว

    Yupo kisifa,kihuni,majivuno,pale kwenye birdy alisema alikatazwa ackae na maskini,Yesu alipenda maskini,Yupo alojuu kuliko weye,nyamaza.

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 2 ปีที่แล้ว

    Vp kaka Shila, yule kampeni meneja wako kutoka mbeya ulishamlipa hela zake

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 4 ปีที่แล้ว +4

    Acha ulevi wa ujana wewe, heshimu wito wako kama kweli umeitwa kumtumikia Mungu, kumbuka KILA.MTU hupitia ujana hata Bwana Yesu alipitia ujana lakini imeindikwa alimpendeza Mungu na wanadamu, ikiwa watu wanakuhukumu kwa mwenendo wako usiofaa inamaanisha hufai kuwatumikia...kuwa makini usiichukulie kazi ya Mungu poa kihivyo....

  • @paschalrnrichard9717
    @paschalrnrichard9717 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amsamehe kwani hajui alitendalo

  • @rajabungereza8755
    @rajabungereza8755 4 ปีที่แล้ว +2

    We endelea kuichafua bbria2 mungu anakuona

  • @gracejulius23
    @gracejulius23 3 ปีที่แล้ว +1

    We're Mungu wa mbinguni liponye kanisa lako

  • @johnfaustinechannel746
    @johnfaustinechannel746 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha uongo wako wewe
    Acheni kutumia jina la Yesu vibaya
    Huna cha Yesu moyoni
    Wewe unaroho wa ibilisi

  • @fakhimnaleke9856
    @fakhimnaleke9856 5 ปีที่แล้ว +5

    Naomba like apa

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 2 ปีที่แล้ว

    Mmepigwaa

  • @kalengemochi110
    @kalengemochi110 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atuhurumie

  • @danieljackson6655
    @danieljackson6655 4 ปีที่แล้ว

    Acha kumtania mungu wewe mtumishi gani huna heshima mbele za mungu

  • @patrick-xx4sn
    @patrick-xx4sn 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi inavijana wa hovyo sana

  • @langotv5071
    @langotv5071 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Daniel ni mpumbavu sana

  • @ibrahimstrickersurvive6687
    @ibrahimstrickersurvive6687 2 ปีที่แล้ว

    Ni vigumu kumuelewesha mtu ukweli pindi amepoteya matokeo yake mtagombana na kuvunjiyana heshima yote tumuachiye Mwenyezimungu kila mtu abaki na imani yake katika roho yake ila Mungu hashindwi na shetani piya anamuamini Mungu uku akitupoteza sisi binaadam ili asiwepeke yake kwenye moto

  • @blankakecy2464
    @blankakecy2464 4 ปีที่แล้ว

    Daaah

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 ปีที่แล้ว +2

    Sitaki like🤕

  • @benjaminalex9277
    @benjaminalex9277 5 ปีที่แล้ว

    mungu angekua anatuona kwr walai ten tungekuf wot kwa hali ii maan du

    • @Jastus100
      @Jastus100 5 ปีที่แล้ว

      Mungu anaona we unahisi haoni

    • @selestinebankika6138
      @selestinebankika6138 3 ปีที่แล้ว

      We mungu anaona tena anaona kupite we unavyo ona anasikia tofauti unavyo sikia

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna nabiihapo

  • @awadhmbegea4743
    @awadhmbegea4743 5 ปีที่แล้ว +2

    Aisee nimesikia ninayo manne pia na penda mwanamke mwenye Shep na sura nzuri bwanamchungaji huyo

    • @nurumuna7297
      @nurumuna7297 5 ปีที่แล้ว

      kanisani kwake pia atu wawe wa kisasa ' sio mikanga mikanga ... hahaha

  • @maishaedward3628
    @maishaedward3628 2 ปีที่แล้ว

    Bangi huwa ni mbaya sanaaa😆😆

  • @manizobizness1052
    @manizobizness1052 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah naangalia views nakuta pameandikwa no views ko hata mm hawajanihesabu dah Co pw

  • @georgegerald4153
    @georgegerald4153 5 ปีที่แล้ว +2

    aaah hamna chochote hapa

  • @annabashale5674
    @annabashale5674 3 ปีที่แล้ว

    Yesu wanguweee

  • @issakamangila9113
    @issakamangila9113 5 ปีที่แล้ว +2

    Pumba tupu refresh angalieni watu wakufanyanao interview eti mtumishi wa mungu mk kabisa wewe

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni pepo wale wanaoitwa manabii wa uwongo ndio hawa sasa maneno ya mungu hayaanguki lazima yatimie

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 5 ปีที่แล้ว

    Vijana acheni bangi mbaya sana aiseeee

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 2 ปีที่แล้ว

    Hapa hakuna MTU au nabii hapa.

  • @vrsrecordstudios..4741
    @vrsrecordstudios..4741 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbosso ft zuchu Amina iko kwenye channel yangu

  • @williammatondo
    @williammatondo 2 ปีที่แล้ว

    Mhhh hama k2 hapo bali kuna m2 mishi wa rusifa

  • @fazijacob8088
    @fazijacob8088 4 ปีที่แล้ว

    Yaani huu utumishi wa sasa ni Shida

  • @zakayomoshi1270
    @zakayomoshi1270 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani motoni tutakutana wengi sana ukiwaona manabii wa uongo kama hawa motoni usishangae

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 4 ปีที่แล้ว

      Kama sababu ya nywele hataiyona mbingu dungu kumbuka samsoni alikua na vishungi sab za nywele sasa jiulize aikua amesonga au na MUNGU alisema wembe usiwai pita katika kichwa sasa tusiukum kabisa kabisa tutafute ufalume wa mbingu na kuomba msamaha

  • @prophetgeorgeanointed1onli706
    @prophetgeorgeanointed1onli706 4 ปีที่แล้ว

    Ata shetani ana watumishi misishangai muhuni tu uyuu

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 8 หลายเดือนก่อน

    Hv yukwap sikuiz😂😂

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 ปีที่แล้ว

    Je

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว

    Mtumishi rassy😁😁

  • @ezekielmanyesela3846
    @ezekielmanyesela3846 5 ปีที่แล้ว +1

    Cjafundishwa kujudge kanisa nimefundishwa kusal

  • @isakamusic5064
    @isakamusic5064 5 ปีที่แล้ว +6

    Amna kitu hapo

  • @faisalahmed7757
    @faisalahmed7757 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 hatarii sanaa

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 5 ปีที่แล้ว +2

    Yupo unayemtumikia aiseee sio Mungu,biblia inasema utawezaje kumpenda Mungu ikiwa wanadamu huwapendi? Uko na shetani wako

  • @antonipiusi2413
    @antonipiusi2413 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania

  • @pmpmediatz9752
    @pmpmediatz9752 5 ปีที่แล้ว +2

    Natamani kutukana ila sheria hainiruhusu dah,

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

    Mimi sitokaa niende kwenye kanisa LA wanaojiita manabii bora niwe mpagani

  • @ezekielkihwele1558
    @ezekielkihwele1558 4 ปีที่แล้ว +1

    kumbe Yule Tito watu tulikua tunamwonea mhhhhhhhh hatar

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 2 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu jamaa mnamuangalia tu mbona tapeli wa wazi kabisa

  • @ayubusanga1937
    @ayubusanga1937 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mnaingiza zambi kansani

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 ปีที่แล้ว

    Jaaamani

  • @kizengatv941
    @kizengatv941 5 ปีที่แล้ว +1

    Umelaaniwa boya

  • @lusuvilonzowa9716
    @lusuvilonzowa9716 4 ปีที่แล้ว

    Baba piga dred nyonga Sana ujeuri utakuponza poa.

  • @ampliatusrwegoshora4984
    @ampliatusrwegoshora4984 5 ปีที่แล้ว +1

    Angalia video achana na comments

  • @joevang4685
    @joevang4685 4 ปีที่แล้ว +1

    huyu mwizi

  • @lazackbrown1645
    @lazackbrown1645 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuu sina cha kusema ..Appearance yake kama kweli Ni Mtumishi wa Mungu hainiingii akilini!! Mwenye ufahamu Na atafakari

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 ปีที่แล้ว +1

    Kamata hili,sukuma ndani

  • @paulkisatulusana1142
    @paulkisatulusana1142 4 ปีที่แล้ว

    Muuu makubwa

  • @afterx3172
    @afterx3172 5 ปีที่แล้ว +2

    bibilia inasema tusuke dread?

    • @siashao169
      @siashao169 4 ปีที่แล้ว +1

      Nimecheka jamani!!

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 4 ปีที่แล้ว

    Siwezi kukuchukuwa weka stop af akaona anataka kujichanganya hivi akabadili gea angani siwezi kukuowa

  • @chawalive
    @chawalive 5 ปีที่แล้ว +3

    Ungaungaaaaaaa hahahahahaaha

  • @stambulikahemela6963
    @stambulikahemela6963 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa nabii Tito au😂😂😂😂😂😂😂

  • @frankjoseph4098
    @frankjoseph4098 4 ปีที่แล้ว

    T

  • @malkiabintimfalme6820
    @malkiabintimfalme6820 5 ปีที่แล้ว

    Vijana acheni mihadarati

  • @henrymnyapaluhengo3529
    @henrymnyapaluhengo3529 5 ปีที่แล้ว

    Mngese ww acha kudhallsha dini

  • @SAID-im9pp
    @SAID-im9pp 3 ปีที่แล้ว

    Muhuni tu huyu

  • @Ibramoref
    @Ibramoref 4 ปีที่แล้ว

    🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢ila we jamaa Mungu anakuona kwa kweli.

  • @jimmyalfa1462
    @jimmyalfa1462 3 ปีที่แล้ว

    Niliwambia huyu jamaa muongo...tutawatambua kwa matunda yao

  • @princess-uf5ux
    @princess-uf5ux 5 ปีที่แล้ว

    Hmmmm 🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 5 ปีที่แล้ว

    Bangi huwa sio ya kujifungulia kuvuta

    • @mamavero4004
      @mamavero4004 4 ปีที่แล้ว

      Dunia simama nishuke kabla hayajanikita haya 😭😭😭😭

    • @mamavero4004
      @mamavero4004 4 ปีที่แล้ว

      Huyo ni roho mtaka fujo au roho mtakavitu

  • @mrjagenmuuz5704
    @mrjagenmuuz5704 5 ปีที่แล้ว +4

    🤣😂🤣😂🤣😂wasıkırısıto bana haya aondomanabıı wenu duh hatarı

  • @SAID-im9pp
    @SAID-im9pp 3 ปีที่แล้ว

    Unawaibia waumini kanisani ww

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 4 ปีที่แล้ว

    Ukitaka utajiri basi anzisha kanisa,Leo ni billionaire 🤪🤪🤪

  • @moodyhassany8928
    @moodyhassany8928 5 ปีที่แล้ว

    Wakiifanya dini yao pumbao la mchezo katika dunia surah al khaf na ahera wana hazabu kari ila dini za wezetu matatizo ila wakiambia ukweli wa kali alafu wanakwambia unaukumu kwani wew mungu da!🤣🤣

    • @swahilitrends3397
      @swahilitrends3397 5 ปีที่แล้ว

      Ingekua alietuumba anaangalia dini dah mbinguni hakuna hata mmoja ataeenda

  • @chineseplatnumz484
    @chineseplatnumz484 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂🤝🤝🤝asante bana mchungaji

  • @edithringo2581
    @edithringo2581 5 ปีที่แล้ว +3

    huyu kwanzia akiwa sekondari ni m.sanii msanii sana...😂😂😂

    • @erickmpalanzi6021
      @erickmpalanzi6021 5 ปีที่แล้ว

      Unamfaham kumbe

    • @judithmsuya3534
      @judithmsuya3534 5 ปีที่แล้ว

      health tips kumbe unamjua

    • @user-pe9uo4ec6y
      @user-pe9uo4ec6y 5 ปีที่แล้ว +1

      Nimeshangaa kusikia ni nabii nakumbuka alikua anasalishaga morning prayer kwa kifaransa na alikua mjanja mjanja sana

    • @erickmpalanzi6021
      @erickmpalanzi6021 5 ปีที่แล้ว

      @@user-pe9uo4ec6y kamaliza mwaka gani shule gani mbona jamaa anahela sana naskia

    • @user-pe9uo4ec6y
      @user-pe9uo4ec6y 5 ปีที่แล้ว

      Sijajua kazitoa wapi lakini kamaliza form four 2013 Lord Baden Powell bagamoyo kwa kipingu@@erickmpalanzi6021

  • @jaldinedgar7348
    @jaldinedgar7348 5 ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @omarmohd6216
    @omarmohd6216 4 ปีที่แล้ว

    Ivi unajielewa

    • @emmanuelminja3219
      @emmanuelminja3219 4 ปีที่แล้ว

      Mtumishi wa Mungu je? Niujumbe gani huo unatufikishia kupitia nywele ,au tuangalie neno la Mungu? Yer:23:25-29

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 5 ปีที่แล้ว

    Huyu anahitaji Masada Sana...

  • @athumanichambo375
    @athumanichambo375 5 ปีที่แล้ว

    uko poa

  • @Ibramoref
    @Ibramoref 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa atachapwa vibaya sana huyu🤢🤢

  • @dronemiguel2230
    @dronemiguel2230 5 ปีที่แล้ว

    Hakuna nabii hapo naona ibilisi tu 😨

  • @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
    @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM 2 ปีที่แล้ว

    Maskin wa akili

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 5 ปีที่แล้ว +3

    Muongo sana boya wewe

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 5 ปีที่แล้ว

    Atuwezi kuwa na mtumishi mpuziiii km wewe

  • @keziakatondomusic1540
    @keziakatondomusic1540 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahahahaha

  • @erickmwaluko3633
    @erickmwaluko3633 4 ปีที่แล้ว

    H

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 2 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu jamaa mnamuangalia tu mbona tapeli wa wazi kabisa

  • @athumanichambo375
    @athumanichambo375 5 ปีที่แล้ว

    uko poa