Nguvu iliyopo kwenye huu wimbo sio ya kawaida 🛐🛐, I bless Lord for you kaka boaz, wewe hauimbi tuu bali unahubiri neno la Mungu kupitia nyimbo nzuri na zenye nguvu ya Mungu 🙌🙌
Sina chakusema ila niseme neno moja boaz unatuheshimisha sana Tanzania nasema hivi kwakuwa najua Mungu ulienae hawezi kuruhusu kiburi kikainuka ndani yako ila zaidi utukufu kwa Mungu anaekutumia na Azidi kukutumia mpaka milele yote Ameeeeni .
Ufunuo Wa yohana 9:11-15 Brother Boaz Danken Neema yake BABA YETU WA MBINGUNI izidi kuwa Nawe katika utumishi waoooo.. Hallelujah Yesu anastahili kupokeaa Utukufu na Heshima.yeshua amashia hakuna kama WEWE
Mmoja kati ya waimbaji wachache sana wanaoliimba neno kama lilivyo, Mungu akubariki sana Boaz, songa mbele ewe shujaa, endelea kupiga makasia maana safari bado ni ndefu.❤❤
Hallelujah Mtumishi kaka Boaz!! Wimbo huu unaanza kwa kuelezea YESU atakavyokuja na watakatifu...na kutawala miaka 1000 kama mfalme...na makao makuu yake itakuwa pale Yerusalemu. (Ufunuo 19:11). Wimbo unaendea kwa kumuabudu na kumwambia Yesu ni nani kwetu.... Tunakuabudu Yeshua Hamashiah....UNAWEZA YESU TUOSHE KWA DAMU YAKO...tuwe safi TUTAWALE PAMOJA NAYE MIAKA 1000.(Baada ya dhiki kuu ya miaka 7).
Neno la Mungu huishi siku zote, nashangaa sana ujumbe huu umetolewa muda mrefu yaani 2024 ila leo 16/01/2025 Mungu kanithibitishia ushindi kupitia wimbo. Kaka Boaz keep on praying Mungu anaweza kukutumia zaidi ya hivi unavyomwakilisha Mungu duniani. " YESHUA HAMASHIACH , HAKUNA KAMA WEWE"
Am blessed by this worship song it is holy spirit inspired so powerful I felt something in my spirit while worshipping together. Jesus is Lord in my life
I am deeply grateful to GOD for the gift of Boaz Danken. May He bless you with a long and fulfilling life so we can continue experiencing the overflow of His anointing in you. 🙌✨🙏
Lord receive all the glory this far just by your grace grant us a successful 2025 let your favour and grace be with us deliver us from all evils I surrender myself and my family and the year ahead to you! Jesus I trust in you
Kaka Danken sijui niseme nini juu yako ila tu najua neno moja Mungu yu pamoja na wewe mbaka machozi ya furaha na matumaini ya nguvu yanatoka huu wimbo ni baraka ya mwaka mzima wa 2024 na kickstart ya 2025 Mungu ni Mkuu sana Ubariwe na yeye Awezaye Kutubariki. Asalam nakusalimu Karibu Kiboje Zanzibar
Namshukuru Mungu kwa ibada hii. Ina historia sana kwenye maisha yangu. Ilinipa kupata kitu nitakachodumu nacho maisha yangu yote..... Asante Yesu kwa hicho🎉🎉🎉
I love this song so much Brother Boaz, thank you. It has become our family anthem. Jesus You are worthy to receive Glory and Honour, There is no one like You! Hakuna kama wewe. Love it!
Wow! Why sikubaini uwepo wa wimbo huu hapa kwa siku hizi zote sita? Nimefurahi na kubarikiwa sana kwa wimbo huu. Mtumishi wa Yahweh @Boaz Danken ubarikiwe sana kwa kazi yako njema. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo liendelee kusifiwa milele na milele. AMEN.🙏🏾💪🏾
Wa kwanz kabisa ...naombeni likes apa...
Nguvu iliyopo kwenye huu wimbo sio ya kawaida 🛐🛐, I bless Lord for you kaka boaz, wewe hauimbi tuu bali unahubiri neno la Mungu kupitia nyimbo nzuri na zenye nguvu ya Mungu 🙌🙌
True, this is not a kawaida song. The anointing is on another level
Sina chakusema ila niseme neno moja boaz unatuheshimisha sana Tanzania nasema hivi kwakuwa najua Mungu ulienae hawezi kuruhusu kiburi kikainuka ndani yako ila zaidi utukufu kwa Mungu anaekutumia na Azidi kukutumia mpaka milele yote Ameeeeni .
Yani kuna watumishi alafu kuna boaz hakika Mungu anawatu wengi sana
Who is here in 2025 ❤
Very powerful song 🎉❤
There was a day I listened it with meditation for 3 hours all came in my spirit is the victory we have in Jesus Christ son of the Most High God.
Who's here in 2030?❤ glory be to God
Here 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
I'm here still watching hallelujah
Ufunuo Wa yohana 9:11-15
Brother Boaz Danken Neema yake BABA YETU WA MBINGUNI izidi kuwa Nawe katika utumishi waoooo..
Hallelujah Yesu anastahili kupokeaa Utukufu na Heshima.yeshua amashia hakuna kama WEWE
Hallelujah MUNGU tuvushe Salama Mimi na huyu anayesoma ujumbe huu tuione 2025 kwa ushindi AMEN
Amen na imekua
@SMEDIA298 hakika MUNGU ni mwema sana
Eeheeee! mwaka umeuona au nipo pekeyangu mimi msomaji, maana ulisema wote tuwe wazima
Mungu akutunze uishi miaka mingi
@FredyBavuna nimeuona ndugu yangu namshukur MUNGU
Amen tumevuka, na tuendeley kuomba neema yakumaliza salama tuendeley kulea watoto wetu na wazazi wetu uku tukimtukuza Bwana
Mmoja kati ya waimbaji wachache sana wanaoliimba neno kama lilivyo, Mungu akubariki sana Boaz, songa mbele ewe shujaa, endelea kupiga makasia maana safari bado ni ndefu.❤❤
Who is feeling the presence of YESHUAH like I do there?
❤
🇰🇪🇰🇪 blessed Kenyans nipeni likes na follow as we worship Yeshua 🙌🙌I love you all
Hallelujah Mtumishi kaka Boaz!!
Wimbo huu unaanza kwa kuelezea YESU atakavyokuja na watakatifu...na kutawala miaka 1000 kama mfalme...na makao makuu yake itakuwa pale Yerusalemu. (Ufunuo 19:11).
Wimbo unaendea kwa kumuabudu na kumwambia Yesu ni nani kwetu....
Tunakuabudu Yeshua Hamashiah....UNAWEZA YESU TUOSHE KWA DAMU YAKO...tuwe safi TUTAWALE PAMOJA NAYE MIAKA 1000.(Baada ya dhiki kuu ya miaka 7).
Neno la Mungu huishi siku zote, nashangaa sana ujumbe huu umetolewa muda mrefu yaani 2024 ila leo 16/01/2025 Mungu kanithibitishia ushindi kupitia wimbo.
Kaka Boaz keep on praying Mungu anaweza kukutumia zaidi ya hivi unavyomwakilisha Mungu duniani.
" YESHUA HAMASHIACH , HAKUNA KAMA WEWE"
Am blessed by this worship song it is holy spirit inspired so powerful I felt something in my spirit while worshipping together. Jesus is Lord in my life
With Heavenly God Grace we will Be here in 20 Years to come yaani 2044 And we will rejoice in God with This Song again.
Wimboo huu ni motoooo Mungu azidi kukuinua mtumishii
Absolutely Glory to our Lord Jesus
I am deeply grateful to GOD for the gift of Boaz Danken. May He bless you with a long and fulfilling life so we can continue experiencing the overflow of His anointing in you. 🙌✨🙏
The people playing the instruments and the backup may God bless you so much you did the song in the spirit!!! May God bless his servant Boaz🙏🙏🙏🙏
Wow, a very powerful song. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
FINALLY THIS SONG HAS BEEN BLESSING MY HEART EVER SINCE THE AUDIO CAME OUT😭😭😭😭😭!
UPAKO🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Jesus Jesus Jesus Christ. See these true heart of praise before you, and heal our land.
Hallelujah 🙏🙏
This is Rev.5:13....fulfilled in our hearts in this song
Feeling blessed.
Perfect description of Who JESUS is , THE GREAT and MIGHTY KING forever Hallelujah.
Mungu akubariki Sana Mtumishi WA Mungu, huu wimbo NI nguvu Sana, si Tu Una nguvu za Mungu Bali WENYEWE pia NI nguvu
Lord receive all the glory this far just by your grace grant us a successful 2025 let your favour and grace be with us deliver us from all evils I surrender myself and my family and the year ahead to you! Jesus I trust in you
2025 the year of all gospel artist. To sing new song that will lead many to Christ l tap the Grace of this song
Hizi lyrics za huu wimbo siyo utunzi bali ni mafunuo ya Roho Mtakatifu kabisa.
How awesome is Jesus Christ!
It's a very powerful song.. I'm blessed
Listen at the break of the new yr 2025.Masterpiece,it's so amazing product of the secret places of God.#puregospel #
I feel goosebumps listening to this song. Thank you MOG for such a powerful song
God is so creative. I am always in awe of the outpouring in this man of God’s ministration. Glory to God. Thanking him for your life Boaz Danken❤❤❤
Asante Yesu mwingine kama wewe hakuna. Bwana Yesu akubariki mtumishi Boaz .. This is indeed Heavenly!!! 🙏
Amina
Kaka Danken sijui niseme nini juu yako ila tu najua neno moja Mungu yu pamoja na wewe mbaka machozi ya furaha na matumaini ya nguvu yanatoka huu wimbo ni baraka ya mwaka mzima wa 2024 na kickstart ya 2025 Mungu ni Mkuu sana Ubariwe na yeye Awezaye Kutubariki. Asalam nakusalimu Karibu Kiboje Zanzibar
Namshukuru Mungu kwa ibada hii. Ina historia sana kwenye maisha yangu. Ilinipa kupata kitu nitakachodumu nacho maisha yangu yote..... Asante Yesu kwa hicho🎉🎉🎉
Our own Nathaniel Bassey ❤
Mungu akubariki Boaz❤
This song is timely. A season of New Jerusalem. Rev 19.... Wow.... The year of seeing our Lord Jesus Christ face to face 🙏🙏🙏🙏
I love this song so much Brother Boaz, thank you. It has become our family anthem. Jesus You are worthy to receive Glory and Honour, There is no one like You! Hakuna kama wewe. Love it!
Wana Tanzania msipo muonyesha bwana Dankeni mapenzi, tutamchukua aje Kenya 🇰🇪
Haleluia haleluia haleluia
Ooh i can see the over flow of the holy ghost through this song
Hakuna kama wewe
Pumzi yake ni uponyaji🙌 🙏
Glory to YESHUA
There's none like You 🔥🔥🔥
Hakika hakuna kama wewe Yesu ufalme wako hauna mwisho. Heaven on earth
I remember that night at ARU grounds.. this song made me whole... I was waiting hardly for it's release.... Glory to the Everlasting kingdom 🙌🙌🙏
This is a big thing. God's glory revealed. I thank the Lord for this song. Wonderful song it is. I see people being born again through this song.
Mungu akubariki mtumishi wake , binafsi nabarikiwa sana na uimbaji wako🎉🎉🎉
Kaka akuzidishie kibali sana na sana Mungu yako yupo hai .#from kenya bro
Nguvu ya mungu inashuka mwili unajiachia unabughujika mbele yake yesheah Messiah is the grory
Powerful Song of Heaven🔥🔥🔥
Nilichochukua kwako jana kikubwa you have a powerful unanguvu ya Mungu yesterday nimeona kitu kikubwa saana kwako wewe ni mnyenyekevu saaana
🔥🔥🔥🔥Powerful song!!, straight from the throne of God.
Boaz Dunken Mungu akubariki sana
Eden on earth! full of presence! my dream!
Very powerful, Ni ombi langu siku moja nami nimuone mwokozi wangu hatakama nitakuwa pale nyuma🥰🥰🥰
Yesu Unastahili 2025🙌🙌
Niseme tu Mungu akup mwisho mwema. Kaka we hauko kibiashara, unaongozwa na roho mtakatifu kweli kweli.❤
Hakunaa kama ww yesu............ohhhhh barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa Wimbo mzur umenibarilki sanaa
Truly Brother Boaz you are a true worshipper. Bwana azidi kuipanua mipaka yako.
Amen, hakika hakuna kama Yeshua Hamashiach, utukufu wote ni Wako❤
The Kingdom sound🎉
Halleluya halleluya Yesu unastahili....Yesu unastahili kupokea utukufu na heshima yote kabisaaa❤❤❤❤
Aminaaa , hakuna kama yeye . Ni yeye ndie aliyekuwako na yupo na atakayekuwapo mwenyezi. Kwa hakika hakuna kama yeye , yeye ndie Yeshua
Wow! Why sikubaini uwepo wa wimbo huu hapa kwa siku hizi zote sita? Nimefurahi na kubarikiwa sana kwa wimbo huu. Mtumishi wa Yahweh @Boaz Danken ubarikiwe sana kwa kazi yako njema. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo liendelee kusifiwa milele na milele. AMEN.🙏🏾💪🏾
Hakika utukufu nikwa Bwana So powerful prays 🙌🙌
GLORY TO JESUS CHRIST.
😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌utukufu ubaki kuwa kwako Mungu
Yeshua Hamashiach is indeed the Almighty God.
Yeshua hakuna kama wewe❤
YESHUAH pekee ndiye wa kuabudiwa 🙌🙌🙏🙇🙏🙌🙌
Huu wimbo una nguvu ya tofauti sana Mungu awabariki sana
Nime❤ sana sifa za yeshua
Thank you Jesus Christ 🙏
Huu wimbo,, mpaka naogopa kuusikiliza wote,,Umejaa utukufu wa Mungu😭🙌
Yesu unastahili🙌🙌Wewe ni wa kuogopwa, hakuna kama wewe. Yeshuah Hamashiach!
God bless you sir and may he continue to use you to new and greater level and may his holy spirit never depart from you 🙏
Nyimbo na mavazi bubujiko lazima😢🎉🎉🎉
2025 abundant blessings is our portion.
sichoki kusikiza wimbo huu,this should be an anthem of heaven. Boez and your team be blessed.am from KENYA,my best song 2025.
🙏🙏🙏🙏Mungu Asante kwa kutuumba kwa jinsi ya Ajabu Yesu Nakupenda,Roho Mtakatifu wewe ni mzuri unatujari barikiwa ♥️♥️♥️this song 🔥🔥
Hallelujah
YESHUAH
Hakuna Mungu kama wewe
Asante kwa wimbo huu mtumishi wa Mungu
Powerful song. Praise be to Yeshua Hamachia
You can feel the presence of the holy spirit in the song
Jina la yesu litukuzwe milele yote hakik wew ni mwema tunakup sifa na heshima milele daima❤
Mtumishi Boaz mungu akubariki zaidi. This song so powerful 🎉
Kaka Mungu azidi kukutumia kwa kizazi hiki chetu,,hakika nyimbo inajumbe nzito sana,,🙇🙇 hakika anastahili kupokea utukufu huyu Yesu
Amém ubarikiwe boaz 🇲🇿🇲🇿 Mozambique
More blessings 🙌
Powerful worship with great power of God.God bless you servant of God ❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪we appreciate the grace of God in your life, you are a blessing to this generation
What a Powerful and transformative song, many bless to you may almighty God continue to bless your work and your utumishi.🙏💯🛐
Nafurahi sana napo sikia nyimbo za kaka boazi Bwaana yesu akufiche kwenye ficho lake ❤❤❤❤🎉🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah 🙏🙌
Eeeeh eeeeh Hakuna kama wewe YESHUA HAMASHIAH 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Barikiwa mtumish sana❤❤❤❤👏👏👏👏👏👏
The way I love your ministration Mtumishi!! +254 tunakupenda sana
Woooo,,,,very powerfull song be blessed man of GOD❤❤❤
My God! What a beautiful and Heavenly song ..
Much love from Kenya 🇰🇪
The name above every name
Very nice song nipitie pia
Na ikawe hivyo kwenye maisha yangu 2025 Yeshuah amashiah hakuna kama ww kwenye mbingu zangu 💯
Yesu unastahili
Yeshua hamaschiah hakuna kama wewe.
Powerful ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hakuna kama wewe Bwana Yesu.