Mzee amwaga MACHOZI mbele ya MAKONDA afichua mazito MWANZA awataja wanaodhurumu Wananchi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 10 หลายเดือนก่อน

    Haya matatizo yanafanywa na watu kutowajibika siyo ccm kumbukeni hao watumishi ni binadamu maana moyo ni fichio la siri tuwalaumu wazazi wao hakuwafundisha kumwogopa mungu unapopewa kazi hapo unatumwa na mungu zingatieni hili

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo ccm yooote imeozaaaa kabaki makonda na samia 😂😂😂😂😂

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 10 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaoshangilia wanamaumivu makali ni siri moyo,.. Mungu atupe nguvu😢😢😢

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 10 หลายเดือนก่อน

    Kule nyuma wanavyo haha mmmh kimeumanaaaaaa!!!!

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmhapatoshi😊😊😊

  • @JamesItoba
    @JamesItoba 10 หลายเดือนก่อน

    Jembe chukua fomu 2025, Kwa vyovyote umepita ❤️ lake zone.

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 10 หลายเดือนก่อน

    Haya sasà mnaona watu wanateseka watu hawafanyi kazi kumbe wizi mtupu je rais wetu ndo afanyeje mtu umepewa kazi unafanya hovyo 😢😢😢😢😢😢

  • @mrsab303
    @mrsab303 10 หลายเดือนก่อน

    Makonda good job ❤❤❤❤

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 10 หลายเดือนก่อน

    Wenye haki wakitawala nchi hufarahi lakini wasiohaki wakitawala nchi hulia machozi na mang'uniko naa huzuni

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 10 หลายเดือนก่อน

    Ccm wanajivua nguo wapinzani jipigieni sasa

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 10 หลายเดือนก่อน

    Watu tunaonewa sana mpaka tunajuta kuzaliwa

  • @NuhuDunia
    @NuhuDunia 10 หลายเดือนก่อน

    Ccm sasa inaimaliza upinzani

  • @dubai8594
    @dubai8594 10 หลายเดือนก่อน

    JPM MY LOVERY DADY
    NAHISI MACHOZI

  • @ObeckSimkwai-gh2rn
    @ObeckSimkwai-gh2rn 10 หลายเดือนก่อน

    Matius Levi ameyatimba

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 10 หลายเดือนก่อน

    Ni 7000 za kenya ama ni dollar??

  • @donaldmwita4227
    @donaldmwita4227 10 หลายเดือนก่อน

    Matatizo hayo yote yamefanyika chini ya uwangalizi wa CCM na watanzania bado wamekwama tu kwa CCM. WAMBUBAFU TU.