CHECHE - Dj Scratchdesigner Ft Young Lunya -Salmin Swaggz & Mozehthomas
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
- "CHECHE" IS THE NEW MUSIC VIDEO FROM DJ SCRATCH DESIGNER THE NUMBER ONE POWER MIXER FEATURING ARTISTS YOUNG LUNYA - SALMIN SWAGGZ & MOZEHTHOMAS ''VIDEO DIRECTER BY BEEL AUDIO PRODUCER BY ''KITTA
FOR BOOKINGS & CONTACTS:
FOLLOW DJ SCRATCH DESIGNER
Instagram: www.instagram....
Underrated songs kama hizi huwa zinatengenezwa kwa ajil ya watu wanaopenda mzik mzuri tu.. Jipongeze kama hii imekuwa moja ya nyimbo kwenye playlist yako wakati huu.. That means you have a good taste of music..
No lies bro.. Big kwako kwa kulijua hilo
🇰🇪. Hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥 Lunya mtu mbaya sana... Chorus ni kubwa aisee
Huyo jamaa Kwa chorus amekaa vizuri sana. Upendo toka Mombasa Kenya
kudos quality production.....nimerepeat hii ngoma mara tano
Wakati napata kinywaji na cigarette za kutosha alf nawasha dude kama hili....ooh my G.Mziki mzuri kwa watu wazuri wanaojua mziki mzuri.KISANGA.
*LUNYA & SWAGZ* Nyie jamaa ni kisanga na robo mamae khaaaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hapa kitambo mzee sema kucomment sinaga
Chours Ni Dunia Sana aseeeeee 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Salmin swaggz Ni moto sana u killed on fire
Salmim swaggz gettng better n bettr kila siku🔥
Dadeki.. hili goma nimelitafuta nusu nikate tamaa aisee.. nilifikir la younglunya.. ni ngoma kubwa sana yani icchukuliwe pw hata kdg aisee.. mmetisha sana humu ndani 🔥🔥🔥 unyama mwingiii
Wana mmeua sana 💥💥💥
🔥🔥🔥Oooh Myy...LUNYA kama LUNYA
MBUZI #younglunya 🇹🇿
Bonge la ngomaaa nakubali sana ngoma Kali huwa hazihit alafu takataka huwa zinahit
Oi hili goma mzee ni htariiii mpaka Leo linaishi tu
Salmin swagg humu kwenye video jicho nyanya 💥💥🙌🙌🙌 ma nigga uko high AF!!!!
bonge la ngoma ma broz
Sounds very romantic and adorable... a complete song!
Balaa zito🔥
Kita the pro u kill it my best producer
Hii kama nilichelewa kuiona ivi...young lunya noma dunia
Kalise janjaaaaa
Kazi Kali sana hii
Ebwanaee goma limetulia kinoma..... lunya hatariiiiiiii
Nan kaona lunya anamtishaa young killer kwa flow iyoo
Safi sana hii ngoma
YOUNG KING....MBUZIIIII....MEEE...LUNYAAAA...... YL💥
Tuendelee kuwa pamoja
Hii ngoma duu Watu wametulia toka video mpka audio young lunyaaa Salimin mozehhhh🙌
Uyo Video Vixen nimemuelewa anapproach Za mbeleee
Yes I got you slamin swaggz
Lunya we moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
jamaa wa chorus ni nomaaaaaa
Nice chorus!!
Kari Moto mwengine tena karikayah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉👇👇👇
Ngoma kali sana mr power mixer
Lunyaaaaaaaa
Sio mpenzi sana wa bongofleva but....How comes this is not the best bongofleva song so far??Powerful flows and well vocalized by the Chorus singer.
Salmin swag mnyama Sana na ndo kendrick Lamar wa tz
Lunya broo umeua baba
Unyama sana
Salmin Swaggz🔥🔥🔥Young bullet Lunya 🔥🔥🔥🤔
Watu tunaitafuta M HUKO POOOO POOO
jamaa kapiga corus kali sana mistal vers inapwaya
The number one dj 🔥🔥🔥🔥
♥️🇰🇪
Daah bonge moja la joint 👆👊
MOZEH THOMAS....Nakukubalig Sana BROTHER.....💥
Lunya🔥🔥🔥🔥
Classic 🔥
ngoma ni kali sanaa viwangoo
CHECHE baba🙌🙌🙌🙌 daah hatar
chorus 10000000000000000000000%
conboi angevuluga wote awa
salmin swaggz umetisha sana mzee Kwenye chours
Ngoma kali 🔥
This song deserves more... kuliko hapa ilipo
Salmin swagz is baddest
Lunya 100%
Beat,verses + chorus 🙌🏿 #salmin🔥 (tone)
Young lunya u killed bro
Lunya nakuelewa xana mzee 255 Chato town mpe hi huyo charlee mwambie dj hilo goma mpaka mkoan tuna bang
Bonge la ngoma
Iyo chorus imetulia ,mziki mzuri kinoma noma
bonge moja la ngomaaaaaaaaa
Unyama mwing humu
Salmin swaggz anafanana na *IBRAA* wa Konde Gang 😂😂😂😂
Nakubali wangu tuna enjoy sasa mashabiki Wa rap
MBN JAMANI UIMBAJI KAMA WA BEN POL HUOO!!!
Bonge moja ya Ngoma mzee ⚡☇
young lunyaaaa mnyma saaaaaanaaaaaaaaaaaaa
Sana
Lunya♨️
KAZI SAFI
Lunya hatutokea rapa kama wewe
Lunya👑👑
🔥🙌
Bonge la nyimbo
Salmin swagg kaua xana , halaf pia ombi lang zile mix zako uwe unatuwekea huk youtb bx , na kingn tunhitaj back to back , xio kukaa krb mwk mzm uko kmy
🎉🎉🎉🎉
aaah wooooteeeh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I thought would be hard but very romantic thumb up👍
Walimkubali mbuzi
Whaddup chudandcuz like a badman free from the tabs and high on the rail for nun but the first and press at the scene ya know mattamayne
💥💥
Sauti kama ya Damian soul
2024 ❤
Waoh
SAFI MJUBA
Nice song
Best chorus ever
🔥🔥🔥 nakubl omg
✊✊cheche OUT NOW GONGA LIKE ZA SCRATCH
Bonge LA dubwasha
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ooohmy
ngoma kali sana
Moze thomasssssss.....
✊✊✊✊
Lunya tha flow king
Nakubal lunya
Nakubali
🔥