Kibonge Wa Yesu - Neno Moja (Official Music Video) SMS Skiza 8021080 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Mawazo ya mwanadamu wakati Mwingine ni ya kukata tamaa lakini Mungu anaweza kusimama na kauli yake Moja tu inayoweza kubadili hatima ya Mwanadamu na kurejesha vilivyopotea na kuhuwisha vilivyokufa. Wimbo huu ukawe wa Urejesho na uponyaji wa majeraha kwa kila moyo uliyoumizwa na kukosa tumaini Mungu akawe Msaada kwako katika Jina la Yesu. Amen!🙏
    John 5:5-6
    Audio produced by ​⁠‪@kstarrecords255‬
    Video directed by @mrazalia
    Bvg : Nuru mwaipungu
    Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
    Listen to NENO MOJA by Kibonge Wa Yesu
    On Boomplay: www.boomplaymu....
    On Audiomack: audiomack.com/....
    ©2024KiboMelodies.All rights Reserved.
    #kibongewayesu #gospelmusic #NenoMoja #Semanenomoja
    Verse 1
    Kauli yako moja tu inaweza kubadili hatima
    kauli yako inabadilisha mambo
    kauli yako moja inaweza kunitengeneza
    vilivyo kufa kwangu vikachipuka tena
    na nimekuja hapa Mungu na uchumi wangu ulioyumba, afya yangu nafsi yangu uvihuwishe tena
    kuna muda nakubali huenda sababu ni mimi mwenyewe
    ule muda najikwaa kwa kufuata yangu na kukuacha wewe
    uliempa ndege uwezo wa kupaa angani haya matatizo,shida kwako ni kitu gani?
    uliempa samaki uwezo apumue majini haya masimango,mateso ebaba tupilia mbali
    Hook:
    Nikakuomba Mungu nakuomba kama kulia nimelia sana inatosha
    ninakuomba Mungu nakuomba kama kuchekwa nimechekwa sana inatosha
    baba Mungu wangu wee
    .
    Chorus:
    Sema neno Moja
    ninakuomba useme
    nipo tayari kupokea
    kwa neno lako ntapona Yesu
    sema neno moja
    kwa neno lako ntashinda mie
    nipo tayari kupokea
    baba Mungu wangu wee
    sema neno moja
    ninakuomba useme
    nipo tayari kupokea
    kwa neno lako ntapona Yesu
    sema neno moja
    kwa neno lako ntashinda mie
    nipo tayari kupokea
    Verse 2
    kama batimayo nipo kando ya njia
    Ooh Baba
    nakusubiri useme ili nione
    Ooh Baba
    japo nimesikia mengi ya kunikatisha tamaa ila neno lako moja linaweza niinua tena
    Nimeomba sana mpaka wanasema ninapiga kelele
    ila sichoki bado nakazana kukusubiria wewe
    kama kukwama nimekwama
    na kiza kimetanda
    nategemea neno lako nuru liniangazie
    kama msaada sijaona kwa watu wadunia
    nategemea ulie juu unisadie
    hook :
    Nikakuomba Mungu nakuomba kama kulia nimelia sana inatosha
    ninakuomba Mungu nakuomba kama kuchekwa nimechekwa sana inatosha
    baba Mungu wangu wee
    Chorus:
    sema neno moja
    ninaomba useme
    nipo tayari kupokea
    kwa neno lako ntashinda
    sema neno moja
    mhh
    nipo tayari kupokea
    kwa neno lako nitainuka tena
    sema neno moja
    neno la baraka
    nipo tayari kupokea
    neno neno lako
    sema neno moja
    neno la kunitajirisha
    nipo tayari kupokea
    litanipa amani
    neno litanifariji

ความคิดเห็น • 580

  • @KibongeWaYesu
    @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน +39

    MUNGU AKUTANE NA HAJA YA MOYO WAKO KUPITIA WIMBO HUU AMEN🙏👇🏻
    th-cam.com/video/rpu6RwHMKvM/w-d-xo.htmlsi=bQkLEmNzw-s9IWtR

    • @kenethtv6932
      @kenethtv6932 6 หลายเดือนก่อน +2

      Amen🙏

    • @vicomslenses8109
      @vicomslenses8109 6 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @megmeg2628
      @megmeg2628 5 หลายเดือนก่อน

      amen amen 🙏

    • @GladysNyae
      @GladysNyae 5 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @MescoMsigwa
      @MescoMsigwa 5 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @noahkayofficial2963
    @noahkayofficial2963 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mziki wa wakati wangu.Wimbo umekuwa anthem kila siku nkingoja Bwana aseme neno.Natumai yote aliyoahidi kwangu ni mwaminifu kutimiza.Wapi likes za kukubali "neno moja" kutoka kwa Baba Mungu..

  • @ObbyAlpha
    @ObbyAlpha 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kakaangu kabisa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      mdg ake kibo🙏🙏

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari pacha 🔥🔥🔥

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      pacha pacha🙏🙏

  • @RehemaTimoth
    @RehemaTimoth 29 วันที่ผ่านมา

    Niko tayari kusikia Mungu wangu sema neno moja barikiwa sana kibonge wa Yesu

  • @BLESSSTEPHEN
    @BLESSSTEPHEN หลายเดือนก่อน

    Mungu amenijibu maombi kupia wimbo huu ❤❤❤❤

  • @user-ct3so5lb5m
    @user-ct3so5lb5m 4 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo nzuri sana

  • @anisetbutati
    @anisetbutati 6 หลายเดือนก่อน +3

    Songiiii limepita bila kupingwa🎉

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      ubarikiwe sana baba

  • @latifajuma1705
    @latifajuma1705 17 วันที่ผ่านมา

    Nirikuwa nayitafta sana hii nyimbo

  • @abbyimbukwa3835
    @abbyimbukwa3835 4 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥Now my destiny is here.... Baba sema neno moja🙏

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 หลายเดือนก่อน +2

    Huu wimbo umekuwa wa baraka sana kwenye maishaa yangu

  • @olipasimtowe8818
    @olipasimtowe8818 23 วันที่ผ่านมา

    Sem neno moja MUNGU wangu

  • @nyakatomutegeki1694
    @nyakatomutegeki1694 หลายเดือนก่อน

    Sema neno moja kwangu Yehovah

  • @user-lj6if8rv8d
    @user-lj6if8rv8d 5 หลายเดือนก่อน

    Kibo melodizaaaaaaa

  • @Paul-kl4vr
    @Paul-kl4vr 25 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 😢

  • @Paul-kl4vr
    @Paul-kl4vr 25 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢sema neno moja tu my God 😢😢

  • @scolasticamaghembe1189
    @scolasticamaghembe1189 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mtumishi wa Mungu, kazi nzuri mnoooo

  • @user-kq9uh3bv3l
    @user-kq9uh3bv3l 5 หลายเดือนก่อน

    Moto sana hii

  • @user-jw6nc8pu3t
    @user-jw6nc8pu3t 4 หลายเดือนก่อน

    Unajua unajua Tena ❤❤❤ Mungu akubariki

  • @RaisaWilsontz
    @RaisaWilsontz 4 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe saana 🙏🔥

  • @meddynassibofficial5552
    @meddynassibofficial5552 6 หลายเดือนก่อน +7

    Huu wimbo YESU wangu.. ni zaidi ya wimbo ni INJILI ilio beba wokovu, ni maombi yenye TUMAINI la kusubiri neno la KRISTO liletalo matokeo yasio na majuto

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      ameen ameen ubarikiwe sana

    • @salmastephen
      @salmastephen 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa umeninua tena moyo wangu pale nilipokua naelekea kukata tamaa. Amina ubarikiwe kaka Kwa nyimbo nzuri.❤

  • @hoseabanketile8549
    @hoseabanketile8549 6 หลายเดือนก่อน

    Sanaaaaa sanaaaa kijanaaaaaa vijana mbeyaaaaa mnanipa rahaaaaaaaaa

  • @lavinvidenyi3297
    @lavinvidenyi3297 5 หลายเดือนก่อน

    Sema neno moja 🙏

  • @user-vl4pr1hb8k
    @user-vl4pr1hb8k 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeen Asante kwayote yawe sema neno 1😢

  • @user-bn9ez5xn3e
    @user-bn9ez5xn3e 18 วันที่ผ่านมา

    Asubuhi mchana usiku siichoki

  • @thobiasshikome1993
    @thobiasshikome1993 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

  • @MicksonwiliamMafuko
    @MicksonwiliamMafuko 3 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo Iko vizur sana kaka piga Kaz

  • @CHIDEE_officialtz
    @CHIDEE_officialtz 6 หลายเดือนก่อน

    Umetishaa mtumishiiii👏👏👏

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 3 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤❤❤❤❤

  • @ritiaskayanda
    @ritiaskayanda หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana 🙏 🙏

  • @SarahMwasikili-zz5ru
    @SarahMwasikili-zz5ru 4 หลายเดือนก่อน

    Balikiwa mtumish

  • @evelinangulo6476
    @evelinangulo6476 5 หลายเดือนก่อน +4

    Amina barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @suzanamwansasu3293
    @suzanamwansasu3293 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @professor1992
    @professor1992 6 หลายเดือนก่อน +7

    From Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi brother nipewe likes tukifuatana

  • @rgcbambacdc
    @rgcbambacdc 5 หลายเดือนก่อน

    Utunzi mzuri

  • @alicekalama3150
    @alicekalama3150 6 หลายเดือนก่อน

    Sema neno moja asante sana mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

  • @IkupaMwambenja
    @IkupaMwambenja 6 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri sanaa hi imenivusha kwa ujumbe mzuri

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      MUNGU AKUBARIKI SANA PACHA

  • @BenjahOfficial
    @BenjahOfficial 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen blessings brother 🫴🫴

  • @niyonkurualice-mf3ib
    @niyonkurualice-mf3ib 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @tumainistephano
    @tumainistephano 6 หลายเดือนก่อน

    Kibonge hongera Sana,unatuhudumia na tunapokea mioyo inainuka Tena ubarikiwe kazi nzuri sana

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      Ameen ameeen🙏🙏

  • @dicksonwakristo5385
    @dicksonwakristo5385 6 หลายเดือนก่อน

    Fundi kama fundii masharaha sweet merodies uwiiii eshama yako.1000

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน +1

      ubarikiwe sana

  • @chegaritofx
    @chegaritofx 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi hii ni zaidi ya nyimbo🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      ameen ameen mjomba🙏

  • @lilycruz-sv8wn
    @lilycruz-sv8wn 5 หลายเดือนก่อน

    Neno moja tuu baba❤😢

  • @IsmailGendaeka
    @IsmailGendaeka หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @victorymwangi
    @victorymwangi หลายเดือนก่อน

    Wimbo wa baraka🙏

  • @officialtonlick8486
    @officialtonlick8486 6 หลายเดือนก่อน

    barikiwa sana mtumishi wa MUNGUnapokea baraka sana

  • @victortumain9528
    @victortumain9528 หลายเดือนก่อน

    Sema neno Yesu wangu

  • @BenyDaniel
    @BenyDaniel 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @okomusic255
    @okomusic255 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 kaka umetisha Sana

  • @kstarrecords255
    @kstarrecords255 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeenda💯

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      Baba baba mikono yako imebarikiwa sana🙌

  • @oswardfenias9270
    @oswardfenias9270 6 หลายเดือนก่อน

    Alooo bro hili song jemaa hakika neno Moja march Moja Mungu akubless kaka Kibo hakuna mwingine kama wewe 👏👏 K Star Mwana wa Zebedayo producer umetisha sana song limenoga sanaaa🤝🤝🙏🏼🙏🏼

  • @GabrielNyati
    @GabrielNyati 3 หลายเดือนก่อน

    Congratulations servant of God

  • @BenyDaniel
    @BenyDaniel 5 หลายเดือนก่อน

    Neno Moja TU...❤🎉

  • @user-gc2ep7sc7q
    @user-gc2ep7sc7q 6 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe mtumishi wa mungu

  • @zephaniapaul9592
    @zephaniapaul9592 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu abariki sana neno kazi ya mikono yako 🙏

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      ameen ameeen🙏🙏

  • @josphatwambuasikuku9142
    @josphatwambuasikuku9142 5 หลายเดือนก่อน

    Inspirational. May God keep uplifting you.

  • @Frank46_tz
    @Frank46_tz 6 หลายเดือนก่อน

    Sina shaka na boss wangu @kibongewayesu kazi ni nzuri sana... kipekee nakupa nyota 5 kaka director MR AZALIA unampatia sana ndugu yetu 🔥🔥🔥

  • @user-ye9qk4ec7w
    @user-ye9qk4ec7w 5 หลายเดือนก่อน

    Your my best blessed artist

  • @saranyongole1161
    @saranyongole1161 6 หลายเดือนก่อน

    Hii kubwa sana mtumishi wa Mungu

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      shukran sana my sis

  • @suzanamwansasu3293
    @suzanamwansasu3293 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sema neno moja

  • @harunnickson
    @harunnickson 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka hakika Mungu aseme neno Moja nimebarikiwa sana 🎉🎉🎉

  • @user-sz1rw3gd2b
    @user-sz1rw3gd2b 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana nyimbo zako zinanibariki sana bro 🙏♥️

  • @arthurclassics-kenya
    @arthurclassics-kenya 5 หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu una uzito wa aina yake... nimebarikiwa kwa sana

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 6 หลายเดือนก่อน

    Wow wimbo mzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @moseskapinga1016
    @moseskapinga1016 6 หลายเดือนก่อน

    kazii nzuriii barikiwa sanaa sanaa mtumishii

  • @MwanaHistory
    @MwanaHistory 6 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo umeniingia sana

  • @HappyPhilly-oq4bs
    @HappyPhilly-oq4bs 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutimie kwa viwango vya juu

  • @user-vd3mc9en7p
    @user-vd3mc9en7p 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu azid kukutumia ktk kaz yake yeye 🎼❤️❤️

  • @user-ky2ch5rl7i
    @user-ky2ch5rl7i 6 หลายเดือนก่อน

    Amina ❤❤❤❤

  • @essaumkuye5024
    @essaumkuye5024 6 หลายเดือนก่อน

    Waaaaaooo just waaaaaooo

  • @rhondalupondo9115
    @rhondalupondo9115 5 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri Hongera

  • @bellatvonline
    @bellatvonline 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka Kaka Ujumbe Mzuri Sana, Nimebarikiwa Mno

  • @BethaMwanjala-ps7eg
    @BethaMwanjala-ps7eg 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana, Mungu aendelee kukuinua juu ❤❤

  • @j.blessed4535
    @j.blessed4535 6 หลายเดือนก่อน

    Wonderful sana

  • @user-dt8xb4nf7u
    @user-dt8xb4nf7u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sema neno moja nimebarikiwa sana mungu akubariki kawimbo katamu

  • @benwilliamTz
    @benwilliamTz 6 หลายเดือนก่อน

    Daahhhh kazi nzuri sana kaka be BLESSED zidi kuinuliwa na Mungu

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      Ameen ameen ndugu yangu🙏

  • @patricksyaluha499
    @patricksyaluha499 หลายเดือนก่อน +1

    Sema neno moja kwa maisha yangu yesu wangu. Nyimbo nzuri hii

  • @PotfaDaudi
    @PotfaDaudi 6 หลายเดือนก่อน +5

    Neno moja baba angu najiungamanisha na wimbo kukusihi Yesu wangu 🙏🏻

  • @ibmahenge
    @ibmahenge 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo muzuri sana....

  • @MrBickyOfficial5
    @MrBickyOfficial5 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie nguvu katika huduma yako💥💥💥

  • @user-mc8mc9ow9y
    @user-mc8mc9ow9y 6 หลายเดือนก่อน

    Woooow… hongera kwa kazi nzuri my brother

  • @princenjamasi6509
    @princenjamasi6509 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka uwezo snaa ujumbe mzitoo🔥🔥

  • @Pascaline-iz1dh
    @Pascaline-iz1dh 3 หลายเดือนก่อน

    I really love the song from DRC

  • @justerkamala3933
    @justerkamala3933 6 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe mtumishi 🎉

  • @josephalfonce4493
    @josephalfonce4493 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ninabarikiwa sana na nyimbo zako Amen

  • @GladysNyae
    @GladysNyae 5 หลายเดือนก่อน

    Sema neno moja tu.thanks Sana. Very inspiring song

  • @selynaadhiambo7606
    @selynaadhiambo7606 5 หลายเดือนก่อน

    SEMA NENO MOJA BABA

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 6 หลายเดือนก่อน

    Yes!

  • @retlawthewizzah3425
    @retlawthewizzah3425 6 หลายเดือนก่อน

    Neno moja tu na tutapona🙏💯💥

  • @ezrakayagambe5926
    @ezrakayagambe5926 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kamanda kb KAZI nzuri 🎉🎉🎉🙏🙏🙏

  • @user-sl7mi8vc9b
    @user-sl7mi8vc9b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zako zina utukufu na unamheshimisha Mungu,✌️❤️❤️❤️🙌🙌LOCATION NZURI SANA THE LAND OF GOD WITH SON KIBO

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akubariki sanaa

  • @Augustinojohn-pf3pg
    @Augustinojohn-pf3pg 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Kaka angu rafiki angu kwa Mwakatage

  • @AfricanShield_Empire
    @AfricanShield_Empire 6 หลายเดือนก่อน

    Kibo melody ❤❤❤❤❤

  • @noelmgina
    @noelmgina 6 หลายเดือนก่อน

    Sema NENO moja bwana moja tuuu

  • @ritiaskayanda
    @ritiaskayanda 5 หลายเดือนก่อน +2

    Big idea kibonge wa yesu

  • @charitykibande3842
    @charitykibande3842 5 หลายเดือนก่อน

    This song keeps me moving every day, only one word is enough

  • @farajaelisha492
    @farajaelisha492 6 หลายเดือนก่อน

    Song ni fire 🔥🔥 Mungu azidii kukuinua zaidi

  • @ZakayoWilson
    @ZakayoWilson 3 หลายเดือนก่อน

    Ubaŕikiwe

  • @user-yb8jl4ni7z
    @user-yb8jl4ni7z 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @givendeoneofficial4170
    @givendeoneofficial4170 6 หลายเดือนก่อน

    ndagha malafyaleeeee opyolileeeeeeeeeeee❤❤❤

    • @KibongeWaYesu
      @KibongeWaYesu  6 หลายเดือนก่อน

      ena nkamu🙏🙏