Kibonge wa Yesu - Ni yule yule (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025
- Audio produced by @mixingdoctor
guitar by @kumenya
Video directed by @director kali
bvc @victorianazah
Mungu akuhudumie unaposikiliza wimbo huu🙏
.
#kibongewayesu #gospelmusic #namnagani
.
Get it on BOOMPLAY👇
Listen to Namna Gani by Kibonge Wa Yesu on Boomplay
www.boomplaymu...
AUDIOMACK👇
audiomack.com/...
©2023 KiboMelodies. All rights Reserved
Lyrics
Verse 1
Haukuzaliwa kwa Bahati mbaya
haukuzaliwa uje uteseke
Haukuzaliwa kwa bahati mbaya
Haukuzaliwa maisha yakutese
Nakuona upo chini inakutesa mikopo
Umejawa na huzuni wakwe wanahitaji watoto
Nawe unalia lia una lia lia
Una lia na watesi wako
Wanauliza mbona hajibu
Huyo Mungu wako mbona hajibu
Eti nenda kwa waganga ukajaribu
Huenda nyota yako wameharibu
Wewe usihangaike kujibizana nao waambie
Ni Yule yule
Habadiliki habadiliki Mungu
Mungu Ni yule yule
Alie mpa sarah atanipa nami
Ni yule yule
Ooh Mungu ni yule yule Mungu
Mungu Ni Yule yule
Aliponya wakoma ataniponya nami
Ni yule yule
Alivusha wana israel nami nitavuta
Mungu Ni yule yule
Yee Mungu yee Mungu yee
Ni Yule yule
Awezae fanya mifupa ikaishi tena
Mungu ni yule yule
Verse 2
Ninajua wanatamka laana ili usifanikiwe
Ila Mungu atageuza baraka kwako na laana ziwarudie
Balam alipotaka kusema israel ulaaniwe
Akajikuta amesema ubarikiwe israel wewe
Goliath pamoja na dharau zake na kujigamba
Daudi mdogo akamuangusha
Usiogope ukubwa wa jaribu lako
Usiogope ukubwa wa tatizo lako wewe
Usiogope ukubwa wa watesi wako
Usiogope Mungu ni Yule yule
Wanauliza mbona hajibu
Huyo Mungu wako mbona hajibu
Eti nenda kwa waganga ukajaribu
Huenda nyota yako wameharibu
Wewe usihangaike kujibizana nao waambie
Ni Yule yule
Habadiliki habadiliki Mungu
Mungu Ni yule yule
Alie mpa sarah atanipa nami
Ni yule yule
Ooh Mungu ni yule yule Mungu
Mungu Ni Yule yule
Aliponya wakoma ataniponya nami
Ni yule yule
Alivusha wana israel nami nitavuta
Mungu Ni yule yule
Yee Mungu yee Mungu yee
Ni Yule yule
Awezae fanya mifupa ikaishi tena
Mungu ni yule yule
Kibo melodizer
Kibonge Babaaaah; umenibariki sana!, sanaaaa na kitu kizito❤; Mungu ni yuleyuleeee. YEYE ni daraja la Wanyongeeeh!, ""Hakuna kuliaa -- ila Kushusha Nyavuuh Tu!. (.by Gosp singer Godbless Fanuely )
Amin atajibu leo🙏🙏🤲
Ubarikiwe kwa wimbo mzuri🥰🥰
ameen
Nimerudi tena kucomment kwa hii Baraka ya kipekee na ya tofauti, huu sio wimbo tu basi ni Somo LA imani na Tumaini. From KM Melodies
amen
Ilifaa hii wimbo iwe na viwez milion
🙏🙏Mungu ni yule yule Thanks so much Kibonge Wa Yesu , Doc in Music 💪🙏
Niyule yule jana leo na milele Utukufu kwa MUNGU mtumishi Wa MUNGU hakika hii imeeleweka 🎉🎉🎉
Mungu ni YuleYule , wimbo unagusa much love from Kenya 🇰🇪
ndugu yangu Ubarikiwe sana
Wazi kaka
shukran sana
Hallelujah ni yeye yule jana Leo na hata milele🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏🙏hoo god.bless this sing amen
Hiii nayo imeweza ,the grace is just of another level
ameeen
nice
Uu ndio wimbo ulifanya nianze kusikiza kibonge this is a good song
Unanibariki sanaaa mutumishii wa mungu 🎤🎤🎤💐💐💐💐
Mungu akubariki sana
abarikiwe sana
Eeeeeeeh! Nimeurudiavsana huu wimbo,hakika Niyuleyule ni wimbo na nusu,maana ni maisha ya watu kabsa! Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, 🙌🙌
Hongera sana kazi yako ni njema
shukran sana
Hakika Mungu ni yule yule habadiliki ni yeye yule Jana Leo na milele🙏🙏🙏
Ameen
Nipo hapa nasubiri 🔥🔥🔥
ubarikiwe sana
twasubir wote
Amina amina hongera sana kazi nzuri kijana buti lizidi kukazwa
Aiseee nimekongwa na ili Somo nlikuwa sina Aman lkn Amani imerudi Asante mtumishi wa Mungu
MUNGU ni yuleyule hallelujah,,,, god bless you brother
ameen ameen
Niyule yule
BABA YANGU ..NAKUOMBEA UFIKE MBALI ZAIDI YA HAPA TUNAPOKEA BARAKA HIZI TUNASKIA KUINULIWAAA
Glory to God for he is the same yesterday today and forever 🙏. Faithful God 💃 🙏
ameene
Mungu akubariki Sana wimbo mzuri Sana
Bonge la chuma..ubarikiweeeeee
Hunaga kazi mbovu kaka mungu aendelee kukutumia katika kazi hii
Mungu ni wa kuabudiwaa anajibu kwa wakati
On my daily playlist I love it
Kibonge wa YESU.. MUNGU ni yule yule
ameen kaka
Yes Yes Yes❤
bless u
Ni yule yule, Al'empa Sarah ni yule yule/ Nmependa sana hii😢
Kazi safi Mtumishi 💪💪
Nabarikiwa sana na hii nyimbo
Unchanging God......yeye ni yuleyule❤
more grace kaka.asante kutubariki
Yule yule 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Wanaaaauliza mbona hajiiibu huyo Muuungu waako mbona hajibu🙌🙌
mtumishi bwana yesu asifiwe
Inuliwa zaidii mdogo wangu wewe...Hakika ni Yule Yule Mungu wetu huyu jaman
Hujawahi niangusha bro 🙏 keep moving @kibongewayesu ✍️✅
man ubarikiwe sana
Nyimbo nzuri sana
I loooooove this song!!! From TikTok 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 feeling so blessed 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Barikiwa kaka
Kaka kibo ubarikiwe sana baba
ameen ameen ndugu yangu
Ni fine sana huu wimbo
Hongera sana kaka
Wow bless you mutu ya Mungu
Director KALI umetisha mkuu🔥🔥
Wimbo wa baraka sana
Kazi nzuri brother
Hii ni baraaaa bro iko njema sana
Nabarikiwa sana na mziki wako hakika Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi
Hakika imeniongezea imani🙏🏼
Kaka Mungu akubariki sana, Hakika upo viwango vya juu sana Mungu azidi kukubariki sanaa@demy moh
ameen ameen
Ubalikiwe sana kaka hakika Wewe ni baraka 🎉
Amen amen
Amen❤ 🇰🇪.
Ilove the song yule yule❤❤
Deliverance song.more grace upon grace brother
Nzur saan kaka
❤❤❤Ni yule yulee
Huu wimbo Ni ombi kuu Kwa watoto wa Mungu atujibu maana ye ndiye Yule Yule🙏🙏🙏
Ameen
Amen,ubarikiwe
Ni yule yule❤
Bravo bravo mybrother Mungu Azidi kuiinuwa Sanaa Myfamily brother Kazi YAKO njema Sanaa katika ufalme wa Mungu
shukran sana
Dada Happy huyoooo❤️🙌🙌🙌
ametishaa sana
@@KibongeWaYesu Amevaa uhusika vizuri pia , congratulations for the progression Brother...May The Lord Keep Using You 🙏
Hakika habadiliki Mungu ni Yule Yule barikiwa sana kaka wimbo mzuri sana wakutia moyo
ameen amen shukran sana
Amen❤❤❤🎉🎉🎉
blessings
Ubarikiwe sana mtumishi wa Kwa wimbo mzuri, kweli Mungu ni yule yule❤❤❤❤❤🎉
Ameen
Niyuleyule alietendanaatatenda
Nawapenda❤❤❤❤
Ni yule yule... Barikiwa sana kaka, video na audio vyote ni💥💪🏽
Amen 🙌
Amen🙏
I have lestn this song several times be blessed sir
That is very nice 🎉
Hakika nyimbo yangu hj
Video Kali sana Kama Jina La Director
Kibo👍👍
ubarikiwe sana
Video❤❤❤❤❤
blessings
Kaka kaka kaka umetisha ,Mungu no yule yule ,hongera Kibo
Shukran sana
Kazi ikafanyike kuwa baraka kwa watu wengi
ameen ameen ndugu yangu
🎉from tiktok wapi likes?
Amen
🎷🎷🎺🎺💐💐❤❤good job
This is a nice song it really strengthen my faith be blessed 🙌 🙏🙏
Good song God bless you brother
Amen Amen Mungu ni yuleyule
ameen kaka
Keep it up kibonge Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu🙏
ameen ameen
Tunaamini kipitia huduma yako brother mungu anatuhudumia sana sana 😭😭😭🙌🙌
Ameen
Very sure my brother Kibonge, nice song, God bless you🎉♥️📖📖📖🧎🧎
ameeen ameen
🔥 fireeeee ongera Sana Kaka
shukran sana
Hongera kaka mkubwa
Ni Yule Yule 🔥🔥🔥.
kaka shukran sana
Am proud of you ndugu yangu songaa mbeleeee🙌🙌
ameen familia ubarikiwe sana
Hakika Mungu ni yule yule🙏🙏 Barikiwa saana
ameen
Ni yuleyule
Mungu ni Yule Yule 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
ameen
Mungu n yule yule abadiiki wallah n mwema sana🙌
ameen ameeen
Mungu n yule yule kwa kwel
ameeen ameen
Mungu akubariki sana kaka, aisee TUNAGAGWA MOYO KWA EIMBO HUU
ubarikiwe sana man