01a Mungu; (Sifa za Mungu) Madaraja ya Kumfikia Mungu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024
  • Karibu katika somo hili. Ndugu Jeff anafundisha juu ya sifa zake Mungu. Unaweza kujifunza kuhusu Utatu wa Mungu na Ukuu wake. Tunashindwa kumfahamu Mungu kwa ukamilifu kwa sababu yeye ni kubwa kuliko uwezo wetu kufahamu lakini hata hivyo hayuko mbali na sisi. Bali anataka tujifunze zaidi kumhusu.
    Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu.
    Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
    Barua pepe: neno@majiyauzima.com
    Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767
    Tovuti: majiyauzima.com

ความคิดเห็น •