- 30
- 502
Maji ya Uzima
เข้าร่วมเมื่อ 23 ก.ย. 2023
Sisi ni Nani?
Maji ya Uzima ni kozi zinazokuwezesha kuwa msomi wa Biblia popote ulipo. Lengo kuu ni ujikuze kiroho. Yanatolewa bila malipo ya pesa.
Mradi huu wa maji ya uzima unatoa kozi mbalimbali kwa njia ya vitabu. Kozi ya kwanza inaitwa “HATUA YA KWANZA” inayotokana na injili ya Yohana. Utakapokuwa unaendelea na kozi, utatambua Biblia inasema nini kuhusu kuwa mkristo, kuyashinda majaribu, uhakika wa wokovu, uchumba na ndoa za kikristo, utengano wa kanisa na serikali, uaminifu katika kushughulikia pesa, kuishi kwa amani, kutembea na Mungu na mengine mengi.
Maji ya Uzima ni kozi zinazokuwezesha kuwa msomi wa Biblia popote ulipo. Lengo kuu ni ujikuze kiroho. Yanatolewa bila malipo ya pesa.
Mradi huu wa maji ya uzima unatoa kozi mbalimbali kwa njia ya vitabu. Kozi ya kwanza inaitwa “HATUA YA KWANZA” inayotokana na injili ya Yohana. Utakapokuwa unaendelea na kozi, utatambua Biblia inasema nini kuhusu kuwa mkristo, kuyashinda majaribu, uhakika wa wokovu, uchumba na ndoa za kikristo, utengano wa kanisa na serikali, uaminifu katika kushughulikia pesa, kuishi kwa amani, kutembea na Mungu na mengine mengi.
05a Jinsi ya Kuwa Mkristo; (Hatua Zinazohitajika Kuokoka.) Madaraja ya Kumfikia Mungu
Mtu anapaswa kuchukua hatua zipi ili aokolewe? Katika somo hili Mchungaji Justin anafundisha njia ya wokovu. Pia utaweza kujifunza maana ya maneno yafuatayo.
А. Upatanisho -- badiliko la uhusiano na Mungu
В. Ukombozi -- bаdiliko la umiliki
С. Imani -- badiliko la msimamo wa moyo kwa Mungu
D. Тоbа -- badiliko la nia juu ya Mungu
Е. Kuhesabiwa Haki -- badiliko la msimamo mbele ya Mungu
F. Wongofu -- (wokovu)-badiliko la maisha
G. Kuzaliwa Upya -- badiliko la asili kutoka kwa Mungu
Н. Kufanywa Mwana -- badiliko la jamaa
I. Utakaso -- badiliko la utumishi
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767
Tovuti majiyauzima.com
А. Upatanisho -- badiliko la uhusiano na Mungu
В. Ukombozi -- bаdiliko la umiliki
С. Imani -- badiliko la msimamo wa moyo kwa Mungu
D. Тоbа -- badiliko la nia juu ya Mungu
Е. Kuhesabiwa Haki -- badiliko la msimamo mbele ya Mungu
F. Wongofu -- (wokovu)-badiliko la maisha
G. Kuzaliwa Upya -- badiliko la asili kutoka kwa Mungu
Н. Kufanywa Mwana -- badiliko la jamaa
I. Utakaso -- badiliko la utumishi
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767
Tovuti majiyauzima.com
มุมมอง: 25
วีดีโอ
04b Tiba ya Dhambi; (Maisha ya Aliyeokolewa) Madaraja ya Kumfikia Mungu
มุมมอง 24วันที่ผ่านมา
Je! Unajua Biblia inasemaje kuhusu sifa za watu ambao hawajapata tiba ya dhambi? 1. Amekufa Kiroho Efe 2:1, 1 Tim 5:6 2. ni Mwana wa Shetani MDO 13:10, Yoh 8:44 3. Ana Akili ya Kuasi Rum 8:7-8 4. Ana Moyo Mwovu Ebr 3:12, Yer 17:9, Marko 7:20-23 5. ni Kiumbe Aliyenajisiwa Tit 1:15, Isa 64:6 6. ni Mtumwa wa Shetani 2 Tim 2:26 7.ni Wana wa Hasira Efe 2:3 8. ni Chini ya Hukumu Yoh 3:18, 2 Thes 1:7-...
04a Tiba ya Dhambi; (Mshahara wa Dhambi ni Nini?) Madaraja ya Kumfikia Mungu
มุมมอง 914 วันที่ผ่านมา
Tiba la dhambi ni Nani? Kusudi la Yesu kuja ulimwenguni lilikuwa nini?Tofauti kati ya mtu aliyepotea na aliyeokolewa ni zipi? Karibu katika somo hili pamoja na ndugu Jeff. Utaweza kujifunza ni kwa sababu gani dhambi inakuwa na madhara makubwa halafu pia katika Hes 21:4-9 tunajifunza habari za Nyoka wa Shaba na jinsi tiba la dhambi linaweza kuwa tofauti sana na fikra zetu za kibinadamu.Mafundish...
03b Dhambi ya Mwanadamu; (Matokeo ya Dhambi ni Yapi?) Madaraja ya Kumfikia Mungu
มุมมอง 5621 วันที่ผ่านมา
Umewahi kujiuliza; Dhambi imeleta madhara gani katika maisha ya wanadamu? Nyoka katika bustani ya Edeni alikuwa nani?Ungana na ndugu Anoldi kujifunza kuhusu hali yetu sisi watoto wa Adamu.Pia utakuta kipindi cha mjadala na utaweza kupata majibu kwa maswali kama;Kaini alimwoa nani? Tunda lile la ujuzi wa mema na mabaya lilikuwa tunda wa namna gani? Bustani ya Edeni lilikuwa wapi na liko wapi leo...
03a Dhambi ya Mwanadamu; (Namna Dhambi Ilivyoingia Ulimwenguni) Madaraja ya Kumfikia Mungu
มุมมอง 59หลายเดือนก่อน
Katika somo hili tunasoma kuhusu umbaji wa wanadamu. Wanadamu waliumbwa katika mfano wa Mungu wakiwa wasafi na wa kumpendeza Mungu. Ila walimwasi Mungu na wakaingia katika dhambi na kutokana na kosa hili tunaona matokeo mengi ya kusikitisha. Ungana na ndugu Anoldi akifundisha juu ya jinsi sisi sote tumzaliwa tukiwa na asili ya kutenda dhambi.Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana k...
02b Biblia; (Biblia ina Maana Gani?) Madaraja ya Kumfikia Mungu
มุมมอง 56หลายเดือนก่อน
Je! Unaijua Biblia yako? Kuna vitabu vingapi? Agano la kale linamaana gani? Kati ya Agano la Kale na Agano Jipya ni lipi linalofaa kwa sisi kulifuata wakati huu? Je! unajua asili ya Biblia kuitwa Biblia? Sikiliza Mchungaji Korosso upate majibu kwa maswali haya na mambo mengine pia. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mu...
01b Mungu; ( Kumjua Mungu ina Maana Gani? ) Madaraja ya Kumfikia Mungu
มุมมอง 39หลายเดือนก่อน
Tukimjua Mungu vizuri maisha yetu yatakuwaje? Kuna faida gani katika kusoma kuhusu Mungu kama hakuna kinachobadilishwa katika maisha yetu ya kila siku. Katika somo hili ndugu Jeff anasoma kuhusu ukuu wa Mungu katika Isaya sura ya arobaini. Sisi si kitu lakini Mungu ndiye mwenye uwezo wote. Pia utasoma kuhusu mwito kwa utakatifu katika Isaya 6:1-9. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopati...
02a Biblia; (Uthibitisho kwamba Biblia ni Neno la Mungu) Madaraja ya Kumfikia Mungu
มุมมอง 65หลายเดือนก่อน
Katika video hii Mchungaji Korosso anatuonyesha namna mbali mbali ambazo tunaweza kutumia kuthibitisha kwamba Biblia ni Neno la Mungu. Kama kuona jinsi watu wengi wamebadilshwa maisha yao kwa kusoma na kuamini ujumbe wa Biblia. Pia tunaweza kushangaa namna Mungu alivyohifadhi Neno Lake. Kwa sababu ilichukua miaka mingi kuandika (karne 16) pia watu wengi waliandika wakiongozwa na Roho Mtakatifu ...
01a Mungu; (Sifa za Mungu) Madaraja ya Kumfikia Mungu.
มุมมอง 82 หลายเดือนก่อน
Karibu katika somo hili. Ndugu Jeff anafundisha juu ya sifa zake Mungu. Unaweza kujifunza kuhusu Utatu wa Mungu na Ukuu wake. Tunashindwa kumfahamu Mungu kwa ukamilifu kwa sababu yeye ni kubwa kuliko uwezo wetu kufahamu lakini hata hivyo hayuko mbali na sisi. Bali anataka tujifunze zaidi kumhusu. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja...
19 Hatua ya Kwanza Somo 18-19; Yesu, Bwana Aliyefufuka
มุมมอง 152 หลายเดือนก่อน
Katika somo hili ndugu Jeff anapitia sura zote ya Injili ya Yohana na kukumbusha japo kwa maneno machache habari zinazopatikana katika kila sura. Pia tunajifunza katika sura ya 19 kwamba ilimpasa Yesu kujitoa kama mwana-kondoo wa kuchinjwa ili tuokolewe pamoja na kuleta Agano Jipya. Halafu katika sura ya 20 tunaona kwa ufupi maana ya kukutana kama kanisa siku ya Jumapili na mfano wa Mariamu Mag...
20 Hatua ya Kwanza Somo 20 Yesu, Mwana wa Mungu
มุมมอง 282 หลายเดือนก่อน
Tukimwamini Yesu wajibu wetu ni nini? Katika somo hili Mch. Justin anaangalia maanake kumfuata Yesu. Ni lazima tuwe tayari kumkiri Yesu. Kama vile katika sura ya 21 ya Injili ya Yohana Yesu anamwuliza Petro kama anampenda ili Petro akiri wazi kwamba anampenda. Sisi nasi hatuwezi kuwa na aibu katika kumfuata Kristo. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima...
18 Hatua ya Kwanza Somo 18-19; Yesu, Mkombozi Aliyesulubiwa
มุมมอง 42 หลายเดือนก่อน
Katika sura za 19-20 Injili ya Yohana tunashuhudia namna Yesu alikuwa mfalme. Si mfalme aliyetawala kwa nguvu na ubavu bali alishinda kwa kuuliwa. Pale alipoonekana kushindwa Yesu alishinda hapo hapo. Pia tunajifunza kuwa katika ufufuo Yesu ametangulia. Maana yeye ni wa kwanza kufufuka na mwili usio wa uharibifu. Tunaona pia kwamba Yesu ni Kristo, Mwana wa Mungu na ndio lengo lake Yohana kuandi...
17 Hatua Ya Kwanza Somo 16-17: Yesu, Ahukumiwa Pasipo Haki
มุมมอง 132 หลายเดือนก่อน
Yesu ndiye Mfalme wa Amani. Katika sura ya 18 ya Injili ya Yohana Yesu ametuambia kwamba ufalme wake si wa ulimwengu huu. Yesu ametuonyesha kwamba kama wafuasi wake hatupaswi kupigana juu ya mambo ya dunia hii. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi ...
16 Hatua ya Kwanza Somo 16-17; Yesu, Aenda kwa Baba
มุมมอง 12 หลายเดือนก่อน
Yesu ndiye: Rafiki, Mshindi, Mwombezi na Aliyehukumiwa. Katika sura ya 16 mpaka 17 ya Injili ya Yohana, Ndugu Mathew anafafanua jinsi Yesu ni rafiki yetu. Ametuambia yote hajatuficha kitu. Pia katika maombi yake Yesu tunajifunza ni namna gani na sisi tuweze kuomba katika jina la Yesu. Yaani tunaweza kuingia katika nafasi yake Yesu kama watoto wa Mungu. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanay...
15 Hatua ya Kwanza Somo 15; Yesu, Mzabibu wa Kweli
มุมมอง 92 หลายเดือนก่อน
Katika Sura ya 15 ya Yohana tunajifunza kwamba Yesu ni mzabibu wa kweli. Mch. Korosso anatukumbusha kwamba tusipozaa matunda tutakatwa na kutupwa motoni. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia Barua pepe: neno@majiyauzima.com Simu: 255754 490...
13 Hatua ya Kwanza Somo 13-14: Yesu, Bwana - Mtumishi
มุมมอง 52 หลายเดือนก่อน
13 Hatua ya Kwanza Somo 13-14: Yesu, Bwana - Mtumishi
14 Hatua ya Kwanza Somo 13-14; Yesu, Njia
มุมมอง 32 หลายเดือนก่อน
14 Hatua ya Kwanza Somo 13-14; Yesu, Njia
12 Hatua ya Kwanza Somo 11-12 Yesu, Mfalme Anayekuja
มุมมอง 23 หลายเดือนก่อน
12 Hatua ya Kwanza Somo 11-12 Yesu, Mfalme Anayekuja
10 Hatua ya Kwanza Somo 10 Yesu, Mchungaji Mwema
มุมมอง 23 หลายเดือนก่อน
10 Hatua ya Kwanza Somo 10 Yesu, Mchungaji Mwema
09 Hatua ya Kwanza Somo 8-9 Yesu: Mponyaji wa Vipofu
มุมมอง 13 หลายเดือนก่อน
09 Hatua ya Kwanza Somo 8-9 Yesu: Mponyaji wa Vipofu
11 Hatua ya Kwanza Somo 11-12 Yesu, Ufufuo na Uzima
มุมมอง 43 หลายเดือนก่อน
11 Hatua ya Kwanza Somo 11-12 Yesu, Ufufuo na Uzima
07 Hatua ya Kwanza, Somo 6-7 Yesu: Mkate wa Uzima
มุมมอง 83 หลายเดือนก่อน
07 Hatua ya Kwanza, Somo 6-7 Yesu: Mkate wa Uzima
06 Hatua ya Kwanza, Somo 6-7 Yesu: Mmoja na Baba
มุมมอง 23 หลายเดือนก่อน
06 Hatua ya Kwanza, Somo 6-7 Yesu: Mmoja na Baba
05 Hatua ya Kwanza Somo 5 Yesu, Daktari
มุมมอง 103 หลายเดือนก่อน
05 Hatua ya Kwanza Somo 5 Yesu, Daktari
04 Hatua ya Kwanza Somo 3-4 Yesu, Maji ya Uzima
มุมมอง 34 หลายเดือนก่อน
04 Hatua ya Kwanza Somo 3-4 Yesu, Maji ya Uzima
03 Hatua ya Kwanza, Somo 3-4 Yesu, Mwokozi
มุมมอง 204 หลายเดือนก่อน
03 Hatua ya Kwanza, Somo 3-4 Yesu, Mwokozi
02 Hatua ya Kwanza Somo 1-2 Yesu, Mungu Mtakatifu
มุมมอง 74 หลายเดือนก่อน
02 Hatua ya Kwanza Somo 1-2 Yesu, Mungu Mtakatifu
01 Hatua ya Kwanza, Somo 1-2 Yesu, Mwana-kondoo wa Mungu
มุมมอง 94 หลายเดือนก่อน
01 Hatua ya Kwanza, Somo 1-2 Yesu, Mwana-kondoo wa Mungu
MAJI YA UZIMA Maelezo Kuhusiana na Kozi za Biblia
มุมมอง 134 หลายเดือนก่อน
MAJI YA UZIMA Maelezo Kuhusiana na Kozi za Biblia