Lody Music-Medicine (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • @2020 MADEMUSICBRAND
    For Bookings;
    Contacts;+255714085154
    #LodyMusic #Medicine

ความคิดเห็น •

  • @muddyhamza9606
    @muddyhamza9606 3 ปีที่แล้ว +4

    Natazamaa zote na tayar nishakuwa Shabiki yako na nitasaport kazi zako

  • @AishaThomas-c9j
    @AishaThomas-c9j หลายเดือนก่อน

    Yan mi nakupenda sana na mi ni shabiki yako mungu awe na wewe kipenz cha mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @batromeojoseph3416
    @batromeojoseph3416 3 ปีที่แล้ว +16

    Ohh my god!!! Kuna watu wanaimbaaa alafu tunashabikia timu A na B ambazo zina kick kwa skendo___ Respect ßrother__

    • @salhiayasri4246
      @salhiayasri4246 3 ปีที่แล้ว +1

      Aaa saana adi raha kuckiza

    • @amosmacompyuta1015
      @amosmacompyuta1015 2 ปีที่แล้ว

      Daah aiseee hii nyimbo huwaga naipenda sana

    • @IssaKigwanya-ik6gd
      @IssaKigwanya-ik6gd ปีที่แล้ว

      Kumbe umetambua mie hua. nashabikia mziki mzur kama huuuuuuuuuuuuuj

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni star tayali kwa mziki wako tu hapa bongo ni wachache wenye vocal Kali kama zako time will tell

  • @salimjuma7364
    @salimjuma7364 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahaaa kijana nakubali sana kama namuona kijana made pembeni hapo

  • @hillnickson7517
    @hillnickson7517 ปีที่แล้ว +5

    Some talents that people tend to ignore but comes to the best. I listen to his songs but I can't stop to mention that this guy is one of the best. His has content n it's pure talent. All the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @vedastomtasha
    @vedastomtasha 2 ปีที่แล้ว +1

    NGoma sichoki kuiangalia hakika ni medicine kweli duuu hatariiiiii🥰🥰🥰🥰

  • @omarsalimmarjanmj1474
    @omarsalimmarjanmj1474 2 ปีที่แล้ว +1

    Lody wewe mkali,hatari fire,hapa Baringo Kenya.... tunakutambua kwa saana ,how i wish ningekujua mapema.... kazi safi saana

  • @Elisha_nyigo
    @Elisha_nyigo 3 ปีที่แล้ว +1

    uyu mwamba n kwere

  • @rashidmbutilo2371
    @rashidmbutilo2371 3 ปีที่แล้ว

    Aiseeee we jamaa unajua sana mungu akuzidishie

  • @amosikondo778
    @amosikondo778 3 ปีที่แล้ว +1

    Good song @@@@@ writer mashairi yako yanapenya sana

  • @neemanandwa3549
    @neemanandwa3549 2 ปีที่แล้ว +1

    Little known with great talent 👏 👌. Keep it up. God bless 🙌 🙏

  • @alysimbaatena7392
    @alysimbaatena7392 หลายเดือนก่อน

    Mupaji ni mola🙌🙌🔥🔥🔥

  • @samsongwambiye9704
    @samsongwambiye9704 3 ปีที่แล้ว

    Bro uko vizuriiii sana San Zaid aisee yaaan uko gooo San brother

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anakipaji sana ,keep it up utafka mbali

  • @erickmitima8346
    @erickmitima8346 3 ปีที่แล้ว

    t'es fort cher tanzanien ce qui va pas en afrique est que,hatupendi kuwa push wasanii wetu mbele lody
    one love avec la Drc tuko pamoja

  • @berthahussein1411
    @berthahussein1411 3 ปีที่แล้ว

    Wow wow bonge la ngoma kijana anaimba

  • @marynyambura6626
    @marynyambura6626 2 ปีที่แล้ว

    Mbosso chunga,ndio hawa 💕👍

  • @margiewenzel6582
    @margiewenzel6582 3 ปีที่แล้ว +3

    These guy can sing 🎤 Kenyans and Tanzanians let’s give talent views and likes si saa zote umbea

  • @isazhamaz
    @isazhamaz 2 ปีที่แล้ว +4

    2yrs later and its still gold. Beatiful music. Keep winning always

  • @sonicmchiz3528
    @sonicmchiz3528 3 ปีที่แล้ว

    Kaka cyo unaimba ila unajua kuimba.
    Jah bless u✊.

  • @isazhamaz
    @isazhamaz 3 ปีที่แล้ว +5

    I am just getting to discover your music and it's beautiful..... I relate. May God keep you winning always.

  • @abuubakarymohamed1999
    @abuubakarymohamed1999 2 ปีที่แล้ว

    Ninouma mzeee big up mkali Wang 💪🤜🤛💪💕💖 🇹🇿

  • @nickmsemwa3732
    @nickmsemwa3732 6 วันที่ผ่านมา

    hii nyimbo ukisikiliza vizuri kuna bak voko za mbosso khani

  • @samkujikotana9490
    @samkujikotana9490 2 ปีที่แล้ว

    Mnyama nimeikubali kazi safi siku zote

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 3 ปีที่แล้ว

    Dogo unajua balaa.
    Wewe ni super star sanaa
    Kaza man mda punde tu tutafika pale tulipohitaji.

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh,,,vitu vya motooo balaaa

  • @latifamohammed61
    @latifamohammed61 3 ปีที่แล้ว

    We kaka noma nakukubali 👑

  • @marynyambura6626
    @marynyambura6626 2 ปีที่แล้ว

    Walai Lody we ni lord 💞💞💞💕😕💕💕👍

  • @carlmaxotieno4916
    @carlmaxotieno4916 2 ปีที่แล้ว

    💯Ngoma kali sana,, keep it up bro

  • @venomke9183
    @venomke9183 3 ปีที่แล้ว

    Nakuwaza wewe wala siwazi corona🔥🔥

  • @abukhalid3201
    @abukhalid3201 3 ปีที่แล้ว

    Jmn mbona najikuta nakupenda buree love you💃💃

  • @miketez2160
    @miketez2160 3 ปีที่แล้ว +22

    Young man u r just a talent itself ❤️🇰🇪👌

  • @_Abuju001
    @_Abuju001 2 ปีที่แล้ว +2

    Your music is on another leval.... congratulations

  • @GeneticBrainy
    @GeneticBrainy 2 ปีที่แล้ว +3

    If I was given a chance to redefine "talent", I'll define it as Lody Music, or whatever your name is. You're talent.

  • @PlevisMnyama
    @PlevisMnyama 3 หลายเดือนก่อน

    Wasani bwana Tuna pitiya mengi 🇨🇩

  • @saditzupdates255
    @saditzupdates255 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri mdogo wangu mungu aendelee kukuongoza nakuona mbali Sana

  • @infinitybeats4248
    @infinitybeats4248 4 ปีที่แล้ว +1

    Wozaaaaa Mwanangu mwenyewe asee Tisha sana blood bonge moja vid am proud to be there... Holaaaa

  • @OmbeniMnemele
    @OmbeniMnemele 6 หลายเดือนก่อน

    sema mwamba unajua saana

  • @youngkeentz4282
    @youngkeentz4282 3 ปีที่แล้ว

    Noma sana my g @lodymusic🔥🔥

  • @leticiawilson1477
    @leticiawilson1477 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh....!!!sawaaa banaaa. Nyimbo zako unanigusaa kuleekulee aaah
    ..!!daaaah

  • @enoxhobote2484
    @enoxhobote2484 3 ปีที่แล้ว

    Lody fund wew👊👊👈

  • @aziziwailu7531
    @aziziwailu7531 3 ปีที่แล้ว

    Kazaaaa ndugu gem gumu

  • @cristinaanastacio6229
    @cristinaanastacio6229 3 ปีที่แล้ว

    Na mm huku🇲🇿🇲🇿🇲 🇿 nyimbo nzuri

  • @jessicahajimbowanyama1432
    @jessicahajimbowanyama1432 3 ปีที่แล้ว +29

    Where was this guy all these while. He's such a vocalist. I love what I'm hearing from him👏👏👏🔥

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 3 ปีที่แล้ว

    Napendekeza leo yako iitwe top North

  • @elishahotay2908
    @elishahotay2908 2 ปีที่แล้ว

    nakukubali xan broo na mgoma zako

  • @picasso_podcast
    @picasso_podcast 2 ปีที่แล้ว

    Huy broo anajua sem tu watu bado hawajafunguk🚴🚴🚴🚴lets supports

  • @GraceMassawe-by6ij
    @GraceMassawe-by6ij ปีที่แล้ว

    Kwz nzur San 💯💥🔥

  • @mkungulamkungula8766
    @mkungulamkungula8766 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana wa kwetu

  • @mubatachi8357
    @mubatachi8357 ปีที่แล้ว

    Lody music on this one❤

  • @rajimoonsima7984
    @rajimoonsima7984 3 ปีที่แล้ว

    We jamaa unaweza hii kazi

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 3 ปีที่แล้ว

    Jomon kk uyu atari twakukaribisha kings music mana kpji unacho kkngu

  • @MohamediMpemba
    @MohamediMpemba หลายเดือนก่อน

    Big up bloo

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

    Ila hiyu jamaa anaimba sana

  • @verosir1416
    @verosir1416 6 หลายเดือนก่อน

    Ahaa ime kaa PW ❤🎉

  • @rosemarymumbua9346
    @rosemarymumbua9346 2 ปีที่แล้ว

    Here 2022 broken,but this songs makes it even more complicated when he says nani atampa dawa while my man used to tell me am his medicine and now he is getting it from somewhere else💔💔... mapenzi ndio sumu kubwa Duniani

  • @shazzotv4814
    @shazzotv4814 3 ปีที่แล้ว

    Kali sana brooo💯💯💯

  • @AshaAnymbwisye
    @AshaAnymbwisye 3 หลายเดือนก่อน

    Now 2024 but still ngomaa iii badooo imebebaa hisiaa moyon mwanguu naisikilizaa kilaa timeee

  • @shazppetersolomoni3525
    @shazppetersolomoni3525 3 ปีที่แล้ว

    Bro sio Siri unajua,🇹🇿+🇿🇲

  • @hmusictz3435
    @hmusictz3435 3 ปีที่แล้ว +1

    good jobs kaka naomba kolabo

  • @christinetinah6329
    @christinetinah6329 ปีที่แล้ว

    2 years ago but I swear I'm gonna listen to it a million times🥰🥰love you lody

  • @aceblacktz6862
    @aceblacktz6862 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana mzee

  • @sportsmediaplus3090
    @sportsmediaplus3090 3 ปีที่แล้ว +4

    Pure talent speaks it's self man always hard to comment on any video but guys gatt all the elements of being a super star

  • @joshuamalegi182
    @joshuamalegi182 3 ปีที่แล้ว +9

    Keep moving broo and god may bless u boy from kakola town

  • @lewisykitime5711
    @lewisykitime5711 3 ปีที่แล้ว

    Broo uko good sana

  • @philipo5
    @philipo5 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri mnooooooo

  • @lazarobulabo4826
    @lazarobulabo4826 3 ปีที่แล้ว

    Da jitahd sna kaka et mambo nimto

  • @saidsaid5359
    @saidsaid5359 3 ปีที่แล้ว +5

    Lody music is talented boy never give up one day you gonna make your dream comes true and i see you become future superstar

  • @Charlywaorongovevo
    @Charlywaorongovevo 2 ปีที่แล้ว

    Mimi tz natambua lody pekee

  • @Jabali_Media
    @Jabali_Media ปีที่แล้ว

    Huu wimbo 🔥

  • @maestrotilley4915
    @maestrotilley4915 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kukupinga blood

  • @amolifemusic
    @amolifemusic 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @annengugi2939
    @annengugi2939 3 ปีที่แล้ว

    Waoooo🤩🤩🤩🤩🤩 surreal

  • @Tomford1234-k3j
    @Tomford1234-k3j 3 ปีที่แล้ว

    Kali Sana ndogo🤞🤞

  • @abdinasirshukri328
    @abdinasirshukri328 3 ปีที่แล้ว

    Bro sauti mzuri sanaa

  • @rayzonevic4041
    @rayzonevic4041 3 ปีที่แล้ว

    Umeweza sanaa

  • @sugarboytz5436
    @sugarboytz5436 4 ปีที่แล้ว +4

    Mzigo wenyewe anko Big up 🔥🔥

  • @elizabethmwash5117
    @elizabethmwash5117 3 ปีที่แล้ว

    Lody music 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nyimbo inaradha sichoki kuisikiliza u are the best

  • @trickytrenda7772
    @trickytrenda7772 3 ปีที่แล้ว +3

    Truth be told I feel ur music.Its real no faking. Good vybe💯💯

  • @amademomade9601
    @amademomade9601 2 ปีที่แล้ว

    My brother you dangerous ,salute like you

    • @amademomade9601
      @amademomade9601 2 ปีที่แล้ว

      🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👍👍👍 BlaQ naymo

  • @selemanichiga5828
    @selemanichiga5828 3 ปีที่แล้ว

    Huyu msenge anajua adi anakera "kubali ndio Ilionifikisha huku ila kila ngoma nilio sikia ni hits.

  • @timotheomwandandila6196
    @timotheomwandandila6196 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah Brother Unajua Sanh

  • @ibrahimmatola1529
    @ibrahimmatola1529 3 ปีที่แล้ว

    Baada ya kubali nimemjua kila ngoma yake ni ya moto kweli u are all the way up ngoma zako zote kali man

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 3 ปีที่แล้ว +1

    wewe ndounajiita king hahaha umenivunja mbavu Yani. ata robo hutofkia

  • @VC-oo3cj
    @VC-oo3cj 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ni levol ya juu

  • @clintonmwangi6707
    @clintonmwangi6707 3 ปีที่แล้ว +9

    Just found this song today..after its been out here for almost an year, Nimeupenda tena sana

  • @braisonmjujulu3992
    @braisonmjujulu3992 3 ปีที่แล้ว +1

    Jah bless usikome kaka

  • @hekimapilla8902
    @hekimapilla8902 4 ปีที่แล้ว +1

    From wise nikamjua huyu jamaa anahatar

  • @deusdonaldkazuzu629
    @deusdonaldkazuzu629 3 ปีที่แล้ว

    Sikuwahi kukujua but since nimekujua nimegundua ur talented. Keep it up. Don't get back.

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 3 ปีที่แล้ว

    Bro mkali aisee💯💯🇧🇭

  • @yohanamwilafi7991
    @yohanamwilafi7991 ปีที่แล้ว

    Bonge la songs lody

  • @adolfrudovick2252
    @adolfrudovick2252 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma Kali sana

  • @jasminmtowela3344
    @jasminmtowela3344 3 ปีที่แล้ว +1

    Anajua kuimba uyu kaka 💖💖

  • @samsonnjonanje9549
    @samsonnjonanje9549 3 ปีที่แล้ว +3

    The guy deserve better studio, he got de good vocal nice lines... Kafanye kazi big production! Hizo beat ziko light sana

  • @amademomade9601
    @amademomade9601 2 ปีที่แล้ว

    Boa músic medcine meu irmão 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @kessymgunda1145
    @kessymgunda1145 3 ปีที่แล้ว

    We mtoto ni hatari

  • @gregolymwenda8499
    @gregolymwenda8499 3 ปีที่แล้ว

    Unajua sana mpaka unakela

  • @AlHassanMichuzi
    @AlHassanMichuzi 4 ปีที่แล้ว +1

    Yuleee Fundiiiiii LAWY MELODY......LODY MWENYE MUZIKI WAKE💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥

  • @ditramandrew1167
    @ditramandrew1167 3 ปีที่แล้ว

    Fundiiii🔥🔥🔥🔥