Uniqueness itakufikisha mbali Sana, usiingizwe kichwa kichwa na watu ambao wataleta maneno zao wakutoe kwenye nafasi yako, piga mziki wako wachana na miziki yao fanya wewe zaidi usishindane na mtu yeyote fanya wewe tafuta mark yako utaipata nadhani ni wakati wa wasanii wa kusini wote kuanza kubebana pia... Nafikiria fanya Kila jitihada umalize chuo uwe na vyote shule na muziki utakuwa na exposure kubwa zaidi utawazidi wale wenye Kiburi cha la Saba na utafanya zaidi yao kwakuwa utakuwa na mawe mawili.makubwa Kipaji na Shule sio kitu kidogo hiko... Pili nashauri uanze kujiona kwa ukubwa ingawa usilete maringo kila radio au media ukitaka kuongea nao ongea kwa heshima maana Kuna kitu inaitwa VIRAL MARKETING itakusaidia hongera janja...
Jamn uyu kaka leo adi melia kwa hii nyimbo ake bongo kweli kuna vipaji ututakiwi kuvichukulia poa melody kali uandishi mzuri sauti imekaaa nyimbo tamu hiii WCB wakwap hv awajaona iki kipaji anaimba anaimba anaimba tena uyu kaka repeat ya nyimbo meeka adi majirani wameboreka❤️❤️❤️
Bonge la ngoma kaka ........kwakweli mtaani hakukaliki ..japo inasumbua sana "KUBALI" ila kwangu hii ngoma "LINAPOTEA" is the best song among the songs of this year
Inatia raha sana kuona jinsi vijana wanavyopambana kuendelea kuuweka muziki wa Tanzania pale juu kileleni. Raha sana. Hongera sana kijana wetu. Usitazame nyuma.
Niliposikiliza nyimbo yko ya kubali tik tok nilipenda hpohpo yan nikawa natafuta. Nan aliyeimba nilipata tabu kuipata nyimbo na hatimaye nikaipata ingawa ni lyrics Ila bro ww ni fire sna kati ya wasanii wote ww ndye unayejua kuandika mashairi mazur so much love bro
Bbroooo ni nomaaaaaa usije ukabadilika man...fanya Mziki tuuuu...usije ukafanya kiki...nakusikiliza Leo tu na nime subscrube man...nakujuwa Leo hii lody nakukubali...iyi njoo mziki...zingine kiki...nilikuwa wa rayvanny...ila namuacha nahamiya kwako...alafu mi mkongo naujuwa mziki vizuri..
Bila east Africa radio nisingekujua bro na ile ngoma kubali kiukwel unajua hadi unaboa kaza kijana nakuona mbali sana kama utafata misingi hii 1.heshima 2. Jitunze na tunza brand 3. kubali kila baya ili zuri lije hii ndo misingi ya kutoboa kwenye bongo flava nakutakia kila la kheri sapoti tunakupa unajua ndg yangu
Mwanangu unajua sana dah ,,,jamaa linajua bhana kuimba hili
Hili jamaa ni next level artist
Bloood unajua sana kaza mungu yupo utafika tu pale unapo taka kufika amin nc one
😊
Uniqueness itakufikisha mbali Sana, usiingizwe kichwa kichwa na watu ambao wataleta maneno zao wakutoe kwenye nafasi yako, piga mziki wako wachana na miziki yao fanya wewe zaidi usishindane na mtu yeyote fanya wewe tafuta mark yako utaipata nadhani ni wakati wa wasanii wa kusini wote kuanza kubebana pia... Nafikiria fanya Kila jitihada umalize chuo uwe na vyote shule na muziki utakuwa na exposure kubwa zaidi utawazidi wale wenye Kiburi cha la Saba na utafanya zaidi yao kwakuwa utakuwa na mawe mawili.makubwa Kipaji na Shule sio kitu kidogo hiko... Pili nashauri uanze kujiona kwa ukubwa ingawa usilete maringo kila radio au media ukitaka kuongea nao ongea kwa heshima maana Kuna kitu inaitwa VIRAL MARKETING itakusaidia hongera janja...
Bro kwa huu ushauri natamani aupitie atapata kitu Cha kumsaidia!
ushauri mzuri 🙏
Blessup janja aupitie huu ushauri
Kaka huu ushaur ni mkubwa Sana umenigusa broo ni mzito ila tutafka
Uko poa dogo mkali aky
Wew dogo ulikuwa wapi sasa marioo na ibraa pamoja na kayumba wamepata mtu wa kuwatoa jashooo weeee ni noma ndugu endeleea na kaz nzuri
Jamn uyu kaka leo adi melia kwa hii nyimbo ake bongo kweli kuna vipaji ututakiwi kuvichukulia poa melody kali uandishi mzuri sauti imekaaa nyimbo tamu hiii WCB wakwap hv awajaona iki kipaji anaimba anaimba anaimba tena uyu kaka repeat ya nyimbo meeka adi majirani wameboreka❤️❤️❤️
Mmhhh uyu kaka anaimba mama huchoki kusikiliza mungu akulinde ufike mbali
Machozi ndo yana toka nikiskia huu wimbo na sauti yako omg🥺😭
I know right😢
😭😭😭
Dogo yuko vizuri.. Tumsukume aingie mjini anajua anachokifanya
Mungu akufikishe mbele zaidi unajua usilidhike kaza zaidiiiiiiiii
Mungu ni mkuu Tuna subiri kazi yangu na wewe🇨🇩
🔥🔥🔥hii nyimbo nmeangaika kuipata fanya chap ukaiweke shazam mzee babaa
Dah ... Lody noma isay... +254🇰🇪💗... Kenya nimekubali....
Nakuona mbali sana bloody
Kuna kapaji n'a kipaji 😲😲😲😲 broo we mkali tena saaaaana🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮
We kaka jmn ni🙌🙌
sound from another planet
We jamaa ni star nasema tena Lazima uje kua star trust me 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Daah🥲😥😥 kaka unajua.... una deserve kuwa mbli sn nakwombea mafanikio asee dah
Ww fala kipaji unacho unaweza sana sasa imba mzk huu huu uctuletee na ww amapiano ❤
Kwa mbaali namsikia Amiry Wa Laini Mbili Na Nikupetipeti 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nikimsikiliza huyu jamaa ni kama kamix marioo ,Ibrah , jay melody alafu ndo akatokea lord 🔥🔥🔥🔥🔥
B👁️DYA MaN anakupa saruti aiseeee
Duuuh we ni nomaaaa
This guy is a lyrical genius..... Music so deep and true.... Feel this to the bone.. May God keep soar this talent to heights...
Daaa Lody Unajua Sana Daa Yan Unaimba Kama Hautaki Vle
Upo vizuri ndungu yangu naamini utafika mbali sana
this guy is a gem. Vocals and tempo, DOPE
Uwongo dhambi Kaka nimekubali mziki wako unaimba balaa na sauti ipo yakutosha.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
brooh utafika mbali. unajuwa sana kushika karamu hongera
Mungu akuzindishie maarifa,uzidi kutoa kazi safi kama hii 🇰🇪🇰🇪
Kaza kaza anko!!!! Nakuona mbali sana!!!
Uko vizuri Ila mungu akusaidia update mtu akusapoti utoke💞💞🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi Safi Sana...nazipenda nyimbo zake💯💯🔥🔥🔥🔥
Oyaaaa,mwamba unajua mpak unaboa daaah
Bonge la ngoma kaka ........kwakweli mtaani hakukaliki ..japo inasumbua sana "KUBALI" ila kwangu hii ngoma "LINAPOTEA" is the best song among the songs of this year
southern KID mjuuu wa mkapa oyaaa weeee unajua mpaka basiiii
Hope Rayvanny is watching over this talented musician, he deserves NLM
Not there he will be used
Walai this guy sings bana
We don't trust waasafi now...they may use us.....NO NO NO
Aki ya nani, sauti ipo. So real so himself haigi yeyote. True
Sana kaka nakukubali San 💥💥💥. Kazana naon unatutetea ssi ambao 2nasalitiwa kila saa
Following you from 254 ,,,kazi nzuri naipenda
Jamaa fundi saaana dah
Inatia raha sana kuona jinsi vijana wanavyopambana kuendelea kuuweka muziki wa Tanzania pale juu kileleni. Raha sana. Hongera sana kijana wetu. Usitazame nyuma.
Oy uyu msengee ni anajua balaaaa yaan keep it up broo💪💪👊🏻
Du! respect sana Fund wa music.Ajengewe sanamu..
Hivi kwanj next level pale nafasi zimeisha chuiiiii vannyboy umuone huyu dogo anajuaaaaa chuiiiii mchukue dogo
This boy was born to do music. May God's blessings touches you, and uplift you.
Huyu jamaa ni mnoma sanaaaaa 🤯🤯🤯
Leo tamaa zako zimekufikisha kileleni...punguza mwendo kasi
𝒘𝒂 2025 𝒕𝒖𝒑𝒐 𝒘𝒂𝒑𝒊 𝒋𝒂𝒎𝒆𝒏𝒊
amn brother wajuwa sana uskatetamaa pgana hakika utakuwa msanii mkubwa sana kuwa na iman hcho kpaji kaka
Niliposikiliza nyimbo yko ya kubali tik tok nilipenda hpohpo yan nikawa natafuta. Nan aliyeimba nilipata tabu kuipata nyimbo na hatimaye nikaipata ingawa ni lyrics Ila bro ww ni fire sna kati ya wasanii wote ww ndye unayejua kuandika mashairi mazur so much love bro
Dah umetuliza akili lodymusic na umeua sanaaa respect
Jamaa Ana vocals jameni. Next level music wamchukue huyu
Kila new kali Mashairi ya kisomi man
Kazi Nzuri saana mwanangu yani wewe ni bora
From Kenya broo mziki mnzur acha tu enjoy
Good vocal imba Gospel bro ,Holy spirit will ascend from heaven
254on the flow 🔥 vibe big time all day round niflow and everything 👏
@@lodymuzic I love your type of music do something with macvoice inaweza tamba sana bruh ❤️
Kijana yuko vizuri sana anatoa mashairi yasiyo chosha kuyasikiliza
unajua mwanangu
Kipajiiiiii;nakubali sanaaa ngoma kaliiiii
Utafika Mbali sana Big talent boy
Mimi ni shabiki yako number 1🎶🎶🎶🔥🔥🔥🎤
Uyu kijana anatishaa ,,,,,tikisa industry kwa sana
Lody Music to the world nakukubali sana Mkali wangu
daaah ila kuna watu wanaimba nyie🔥🔥🔥
Unajua sana brother
Motooo hauzimiki ndo kwanza checheee
Kudadeki lody hufai ww ni hatar sanaaaa dah noma bro keep it up
New fan from Uganda. Guy ni msupa
ila huyu jamaa jaman anajuuwa sanaaaaaaaaa
Ukipta mangmnt wew ni noma
Unajua mzeee
Broo big up umetisha
Congrats sauti tamu kama Ibrah dah!!!wimbo imeweza
Nice music....After Jux its you!
So talented...Sauti nzuri...quality music...mungu abariki kazi yako
Man unasauti sema uchangamke kidogo
Oyaaa mwamba nimenyosha mikono wewe ni hatareeee
Bbroooo ni nomaaaaaa usije ukabadilika man...fanya Mziki tuuuu...usije ukafanya kiki...nakusikiliza Leo tu na nime subscrube man...nakujuwa Leo hii lody nakukubali...iyi njoo mziki...zingine kiki...nilikuwa wa rayvanny...ila namuacha nahamiya kwako...alafu mi mkongo naujuwa mziki vizuri..
Jombaaa unaandika sana,,, Ila sisi wabongo tuvumilie one day unatoka mwamba kaza buti
Mwamba Unajua Sana 🙌🙌🙌🙌🙌
kmmk we msenge unajua... alooooh 🤜🤛
Unajua man 👨✊💪 kaza mkono ✍️
wimbo huu ndio chaguo langu kwa siku nairudia mara nyingi sana unaweza ☠☠🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Unajua sana ndugu yangu mungu akuongoze mungu abariki nakuombea sana
Hongera sana
We jamaa unajua sanaaa sana
Tutafika tu inshallaah
Hyu mwana ni motoooo aisee
Ngoma ipo good mpaka naogopa
Bonge la ngoma hilii 🔥🔥🔥🔥
Dogo anajua kuimba .. nimekubali melody sound na kila kitu
A big dude coming up! Wow.kaka wajua shairi si haba
Kaza mzee unajua mpaka unajua tena ✌💯
Www fundi kamanda. Keep it up you will get your goal
Bila east Africa radio nisingekujua bro na ile ngoma kubali kiukwel unajua hadi unaboa kaza kijana nakuona mbali sana kama utafata misingi hii 1.heshima 2. Jitunze na tunza brand 3. kubali kila baya ili zuri lije hii ndo misingi ya kutoboa kwenye bongo flava nakutakia kila la kheri sapoti tunakupa unajua ndg yangu
We kaka unajua Bwana ila ile ya mwengine mwengine ndo yenyewe
Hili Jiwe Ni Fire Mzee Big Up sana
kizazi sana boy kaza unajua
Nc sanaaa jomon 😋
Kichupa Hichooo Chenyewe hicho mzee✊✊✌
Mwanangu mziiki unaujua ila kitikio cha ngoma zako kinapoa jaribu kuvichangamsha
Bro kaza ipo siku.
Mwanangu unajua💥💥