Wimbo huu ni mzuri sana Hongera sana Mtunzi PTK Sindani. Asante sana Mhashamu Baba Askofu kwa utangulizi wenye maneno mazuri,waimbaji wameutendea haki,video nzuri na hakika mnastahili kupewa maua yenu kwa kazi nzuri ya uinjilishaji wa Mwaka wa Kanisa Mahujaji wa Matumaini.
*MAHUJAJI WA MATUMAINI* Na P.T.K Sindani _Chorus_ Kama mwali wa Moto tumaini langu linawaka Wimbo wangu huu, wimbo wangu huu ukufikie (Chanzo cha uzima usio na mwisho, kwenye safari ya maisha nakutumaini, nakutumainia)*2 1. (i) Kila lugha watu na Taifa, tunapata nuru katika neno lako, (ii) Wana na binti wanyonge waliotawanyika wanakusanywa Kwa mwanao mpenzi 2. EE Mungu mpole na mvumilivu Sana ututazame sote yazaliwe mapambazuko ya matumaini mapya. Mbingu na dunia zifanyike upya pitisha mgome Roho wa uzima 3. (I) Inua macho yako songa Kwa upepo kaza mwendo Mungu anakuja Kwa wakati. (ii) Mtazame mwana aliyefanyika mtu maelfu Kwa maelfu wanapata uzima
Yaani J.mosi hii tutauimba kwenye Upadrisho sasa tumeanza kufundishwa juzi,ulivyokuwa mzuri nimeuona ña humu ngoja niukaririshe kupitia hapa.Ni mzuri sana,sana.
Aloooo siji kuhama romani labda niuliwe ❤❤❤❤
Hongereni sana. Huu ni uwimbo utakaudumu kwa miaka mingi ijayo.
Hongereni mnoo..
Naipenda sana mpanda yetu naomba comment yangu nimsalimie padre James pamoja na sindani na team nzima ya ilembo mungu awajazie
Ooh zimefika bila shaka
Amina sanaa
Hongeren sana wimbo Umekaa vizuri sana Mungu awabariki Wote.
Mwalimu Sindano
Mwalimu kashusha
Mwalimu Mathias
Thoy Media
Mungu awatunze sana Muendelee kufanya kazi nzuri zaidi.
Mahujaji wa matumaini❤❤
Hongereni sana na Mungu awabariki❤
Wimbo una tenzi nzuri na umeimbwa kwa utulivu mkubwa. Hongereni sana
Mahujaji wa matumaini.
Hongera Mtunzi , Sindani PTK.
Hongera organist , MF Kapyela
Hongera waimbaji mbarikiwe sana
Hongera sana organist Mathias kapyela hangera waimbaji na mtunzi mungu awabariki
Kazi nzuri nzuri sana nabarikiwa sana na mbarikiwe wote mlioshiriki,, organist mtot wa nyumban we proud of you kapyela official
Mtu na nusu
Kazi nzuri sana, bro Filbert Thoy heshima kwako kaka 🎉❤
Hongereni waimbaji, asante mwl Sindani kwa tungo hii kali ❤
Wimbo huu ni mzuri sana Hongera sana Mtunzi PTK Sindani.
Asante sana Mhashamu Baba Askofu kwa utangulizi wenye maneno mazuri,waimbaji wameutendea haki,video nzuri na hakika mnastahili kupewa maua yenu kwa kazi nzuri ya uinjilishaji wa Mwaka wa Kanisa Mahujaji wa Matumaini.
Yaani hongereni mnooooo mmeupiga mwingi sana .congratulations.Duuuuuuuuuu noma sana.
Eee huu wimbo nimeupenda
Mungu awabariki sana wapendwa , nimebarikiwa sana na huu wimbo
Huu unanibariki mnoo , asantee Mungu kwà zawadi yà Jubilee híi nànyi wana kwaya mmeimba vizuri......❤❤🎉
Wai! Wimbo uko top sana naipenda
Asante Mtunzi kwa wimbo huu mzuri wa kumtumainia Mungu
Wimbo mzuri wenye maadhi ya Kifipa, hongereni sana Wanakwaya
Hongereni sana wanakwaya na mtunzi kwa wimbo mzuri. Mmeutendea haki. Hakika mmenibariki sana.
Kama mwali wa moto , tumaini langu linawaka. Hongera kwa wote Mungu awabariki sana.
Nimeipenda huu wimbo sana ❤❤pongezi sana 🙏 nawapenda
Kaz nzuri sana big up Thoy na kwaya pia
Welcome again
Ndio muwe tayari kumwimbia mungu maana mungu ndiye pekee anayetakiwa kupewa sifa na utukufu mungu awaangazie nuru ya uso wa sura yake amen
Amen
*MAHUJAJI WA MATUMAINI* Na P.T.K Sindani
_Chorus_
Kama mwali wa Moto tumaini langu linawaka
Wimbo wangu huu, wimbo wangu huu ukufikie
(Chanzo cha uzima usio na mwisho, kwenye safari ya maisha nakutumaini, nakutumainia)*2
1.
(i) Kila lugha watu na Taifa, tunapata nuru katika neno lako,
(ii) Wana na binti wanyonge waliotawanyika wanakusanywa Kwa mwanao mpenzi
2.
EE Mungu mpole na mvumilivu Sana ututazame sote yazaliwe mapambazuko ya matumaini mapya. Mbingu na dunia zifanyike upya pitisha mgome Roho wa uzima
3.
(I) Inua macho yako songa Kwa upepo kaza mwendo Mungu anakuja Kwa wakati.
(ii) Mtazame mwana aliyefanyika mtu maelfu Kwa maelfu wanapata uzima
wimbo mzuri sana nimebarikiwa sana Jaman na wimbo watu nimefrahi sana 🎉🎉🌹🌹🌹❤️❤️ KAZI nzuri katika utume wenu
Asante na karibu sana
Wimbo unanibariki sana. Hongereni mno
Hakika ni mzuri sana, Mungu atukuzwe daima.
nabarikiwa sana kusikiliza uu wimbo❤
Aksante sanaaaaa! Wimbo unaweza kukufanya ukatubu Hadi dhambi za Babu zako waliokwambia Kanisa Katoliki halina maana.❤
Nzuri sana nimeipenda sana
Wimbo mzuriii saaana❤❤❤❤❤
mungu awaongoze wimbo mzuri sana
Hongeren sana wimbo mzur sana
Hongeraaa sana wapendwa
🎉🎉🎉Tusipushe Kalesaa
Tupite ponga
Hongereni saana
Wimbo mzur sana video inapendeza hongera Thoy
Tumshukuru Mungu
👏👏👏👏wimbo bora sana ❤
Hongera sana Sindani na team nzima kwa Wimbo mzuri
Tumshukuru Mungu Mkuu
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Wimbo mzuri kweli huo hongereni sana
Asante
.sana
Mungu
Akutuze. Sindani
Wimbo mzurii sana.hongereni sana
Hongera pia kwa producer
Hongereni sana 🤚
Yaani J.mosi hii tutauimba kwenye Upadrisho sasa tumeanza kufundishwa juzi,ulivyokuwa mzuri nimeuona ña humu ngoja niukaririshe kupitia hapa.Ni mzuri sana,sana.
Kazi nzuri sana
Tumshukuru Mungu
Hongera sana ,kazi nzuri
Asante sana
Mambo mazuri sana kaza mwendo
Mpeni mungu yaliyo yamungu
hongereni kwa utunzi mzuri
Zimemfikia
Another hit song kutoka ardhi ya jimbo la Mpanda ## Fipa melody 🔥🔥🫡❤️❤️
Hatari sana
Hatimae nimeupata huu wimbo
amina saaaana mkuu
Fipa melody dah...... Home sweet home
Wimbo mzuri sana
Kazi nzuri
Watu walikuwa kazini😊
Wapendwa kweli mmeimba kama malaika wa mbinguni, hongereni sana, hongera kanisa katoliki
Wimbo umeturia
🎉🎉🎉🎉
Acheni jaman kuvaa mavazi ya kiganga
C wimbo wa kitamadun ndomana wameweka tamadun za kifipa
🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Fipa melody si mchezo
BONGE la wimbo tubarikiwe sote wapenzi
Ameen
HONGERENI WANAKWAYA
❤❤❤
😅😊🎉
❤❤🎉
🎉
🎉🎉
😂😂🎉
Mtumikie bwana wakati wa ujana wako hata kwa kumwimbia
KiMalema kabsa hii
😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli mmejua kunifurahisha nahisi sijui nipo wapi
Uko nao Maraika
❤🎉
🎉🎉
❤❤❤❤
❤❤❤❤
🎉🎉
❤❤❤❤❤
❤
❤❤❤❤❤