Wana jinyea Sasa hivi. Darasa on the air mziki Wa vijana wazee na wasomi. Anaye bisha ajitokeze. No body hit like Darasa he is the beeest. Hakuna msanii kama Darasa.
Kabla hujamuongelea Darassa inabidi uwe unamwelewa kwa ukaribu maana vitu vingi amejibu hata kwenye nyimbo zake , unaweza kuhisi yupo underrated lakini yupo makini sana sishangai akikataa show muziki una vitu vingi.
@@georgedaniel4962 Una uhakika unachoongea? Kuna msanii gani ambaye huwa anapewa airtime clouds zaidi ya Darassa? Media nyingi sana Darassa ana link na ma-presenter wa media zote kubwa kuanzia Adam Mchomvu , Lil Ommy , Millard Ayo , Kennedy the Remedy , Bdozen.....wote hao wanamkubali sana Darassa na huwa wanamfanyia promotion hata zisizo na malipo...lakini mara yako ya mwisho kumuona Darassa fiesta ilikuwa lini? Unadhani alikosa? Yaani Mabantu waende fiesta Darassa akose..ukifuatilia kwa makini utagundua huyu jamaa ana mishe zake za hela nje ya muziki na alishasema kama shows hazimpi anachokitaka hawezi kutokea...kuna malalamiko mengi tu kwamba jamaa huwa anavimbia shows hata mwaka jana kuna kesi alipelekwa mahakamani kwa sababu aliitwa kwenye show iliyokuwa imeshalipiwa tayari lakini hakufika na show ikaghairishwa.
Jamaa akili kubwa sn aisee🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Punguzeni saut.....hatusikii vizur
afta kupoteza rapa mpendwa r.i.p.mangwea 😢😢😢 tumebaki na darasa
Umetisha sana Mwamba
darasa fundi sana 🔥🔥🔥🔥
Wana jinyea Sasa hivi. Darasa on the air mziki Wa vijana wazee na wasomi. Anaye bisha ajitokeze. No body hit like Darasa he is the beeest. Hakuna msanii kama Darasa.
Huyu ndio rapa anayeongoza kwa kwenye streaming kwe digital platforms zote East Africa
East Africa gani....labda tz ug Rwanda n burundi
We unamjua kaligraph. Ww
Sio kwel kak darasa anaongoza kwa tz to nakubal yuko juu kwa stream ila si kwa afrik mashariki kazidiwa na khaligraph
@@teophilletus8969 n ukweli
Na ney wa mitego je
I just love darassa he's so talented
T touch kaona kizungu kimekua kingi had masikio yanawasha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👊
Na anafanana na Mpokii
😂😂😂😂
Kabla hujamuongelea Darassa inabidi uwe unamwelewa kwa ukaribu maana vitu vingi amejibu hata kwenye nyimbo zake , unaweza kuhisi yupo underrated lakini yupo makini sana sishangai akikataa show muziki una vitu vingi.
+254♥️ my favorite DARASA from +255
namwelewa sana
Good hip hop all the best Darasa
thats my man....Darassa ..he never fails..
🔥🔥🔥Darasa ni msanii bora sanaa
Darasaaaaa ni nakubali bro
Cod umeua sana CMG 🔥🔥🔥
Cmg kubwa king class👑
Big up Darassa is big school
My favorite Darassa
Mr Burudani ndani ya Empire
My ringtone sikati tamaa
Darasa mwenyew kasema yy ni raper no. 1 mimi ni Nan# nikipinga ntakua mwehu😅
Darassa hua nakukubali sanaaa...
DARASA apo mbona kama una chana bro duh unaongea ndani ya beat 👊🏿
Please Darasa do a collaboration with CMB Prezzo.
Good rapper
Ah mziki mzuri show hana 😢😢😢
Mr t tia neno sheikh.....
Darassa na con boi cannabino wanafanana how they talk
Champion 💪 darasa
Jujeni kwangu wote mchek nyimbo yangu
Mkali wao
Darassa Ni mnyama sana CMG
Darasa kalewa kiaina, Maana anaongea kwa spidi sana kachangamka mno 😁
Huyu ni Darassa haswaa smart sana
Jama kama mond napendaga kusikiliza mahojiano yake
Ww ni genius bongo bongo hakuna rap Kam ww achi mawe tyu
Darasa ni .1
Champion 👊🙏
I love the energy ❤😅
🔥🔥🔥🔥
Msani Wa Hip Hop Wa Muda Wote
Namuona Mr t touch hapo
Ni yeyee 😁😁
kwann show hapatag huyu mwamba mbon anaimba vzr
TZ SIO UNAJUA NN NANI ANAKUJUA. HIVYO DARASA ANAJUA SANA LKN NANI ANAMJUA!
@@georgedaniel4962 Una uhakika unachoongea? Kuna msanii gani ambaye huwa anapewa airtime clouds zaidi ya Darassa? Media nyingi sana Darassa ana link na ma-presenter wa media zote kubwa kuanzia Adam Mchomvu , Lil Ommy , Millard Ayo , Kennedy the Remedy , Bdozen.....wote hao wanamkubali sana Darassa na huwa wanamfanyia promotion hata zisizo na malipo...lakini mara yako ya mwisho kumuona Darassa fiesta ilikuwa lini? Unadhani alikosa? Yaani Mabantu waende fiesta Darassa akose..ukifuatilia kwa makini utagundua huyu jamaa ana mishe zake za hela nje ya muziki na alishasema kama shows hazimpi anachokitaka hawezi kutokea...kuna malalamiko mengi tu kwamba jamaa huwa anavimbia shows hata mwaka jana kuna kesi alipelekwa mahakamani kwa sababu aliitwa kwenye show iliyokuwa imeshalipiwa tayari lakini hakufika na show ikaghairishwa.
@@georgedaniel4962Kwaiyo darasa ajulikani tz hahaha you joking man
CMG for Life
d bhna duuh
Mkali
Ila ameanza kujigamba kuliko kufanya kazi kazi
Kujigamba wapi sasa , kuongea ukweli kwamba yeye ni rapper bora?
@@all-victorious2156 East Africa tu tena kwa ngoma zilizopita mbele haendindi tena
@@emmamatemu8225 Mbele wapi sasa? Halafu ngoma zilizopita zipi? Kwani ubora wa msanii unapimwa ubora kwa ngoma zijazo?
Labda utanimis nikiondoka....NAKUBALI ,,,,,IM luk 4 ma money money where you are.....
Drip 💧
Darasa you talking good point,DIRECTION is better than SPEED
Daras ww ni mnoma san
Unyama
💪💪💪
CMG for life