Yan ukitaka makolo waelewe unaweza ukapata mtindio wa ubongo ghafla,hawa watu hakuna wanachokielewa tatzo ushabiki maandaz jmn .yan bd hawataki kukubali kama yanga wamevuka level zao kwenye suala la kudesign jezi
Jumanne, yanga itakuwa MKAPA stadium timu pekee ikicheza CUF Champions leaque ikiwa washabiki wake wamejaa kiwanjani na wamependeza na uzi wake mkali. KOLO mtalia wivu sana!
Wew auna akili. Kuwa na kumbu kumbuu. Mjadara wajezi kuwa amtumii rangizenu. Aujaanza juzi. Ulianza toka mlipotowa jezizenu za vitenge. Kwamba mmetoka kwenye rangi alisi za yanga ambazo ni njano na kijanii. Upoo.?
Ali ndugu yangu huu ujumbe ukifikie n ufikishe kwa wachezaji wetu mechi yetu n al hilal November 26 wambie wachezaji wetu wawe watulivu kwenye third finał n pia wafanye km Tottenham walivyo wafunga Manchester City 4-0 Please
Makolo mnajua kujifariji kwakweli huyo semaji la cuf nani alimuita semaji bila kua nyie mbumbumbu hivi huyo Nimsimaji ao mrupokoji anaongea alafu ajui anachoongea liko kama liigizajitu hilo
Msemaj ni mmoja tu Tanzania aliy kamwe
Unajidanganya
Naiman mwenyewe baada ya hiyo kauli ulicheka😂😂😂
Kwel
Haujacheka baada ya kufananisha Semaji na haka kajamaa kako hapa😂😂😂😂
Napenda sn jeni na ally Allah akujaalieni Kheir Inshaallah
Usifananishe, vitu vya kijanga na Uzi wa mnyama ❤❤❤
Ht ukiukubali kimoyomoyo sy mby....hy jez ni nzr utake usitake ....mmekomalia rangi.....
Endelea kusifia madela yenu
Yan ukitaka makolo waelewe unaweza ukapata mtindio wa ubongo ghafla,hawa watu hakuna wanachokielewa tatzo ushabiki maandaz jmn .yan bd hawataki kukubali kama yanga wamevuka level zao kwenye suala la kudesign jezi
Wana Simba wenzio wanasifia jez ya Yanga we ni nani hata upinge? Utakuwa hujitambui tuu😂😂
Dah mazuzu wakowengiiiii
Daaaaah Ally Kamwe weee mwoongooo bana😂😂😂😂
Hahaha yanga ni bingw❤
Amed Ally Ana jipya gani, zaidi ya udaku
Mpeleke azizi ki kwenyemaombi namzize
Jeny nimwandishi mrembo ,kamwe huyoo
Jezi ya Azam hiyo hamna jipya hapo
Dogo anajitahid kufanana na Ahmed Ally but ngoma ngumu ile huiwezi kijana 😅
Aliy kamwa ni1 tuu
Jumanne, yanga itakuwa MKAPA stadium timu pekee ikicheza CUF Champions leaque ikiwa washabiki wake wamejaa kiwanjani na wamependeza na uzi wake mkali. KOLO mtalia wivu sana!
CUF. Kumbe Wana mashindano?
Hahaha kwa Uzi gan ule hovyo kabisa an anaendelea kuwadanganya watu tu
Hawa ndo wanafanya niamini pale UTO wenye akili ni wawili 😂😂😂 et CUF 😂😂😂😂😂😂😂😂
Vijejmbe vitakufaeni nini na hayo ndio yanayokuumizeni
Ww ally ni mpunga sema tu Jane hataki kukwambia ukwel😂😂😂
haya yetu macho tutajua siku ikifika ulisema ulisema unataka ucheze na maraika sasa umeanza tena
Aamina Inshaallah
Lakin yanga bhna wamekuwa kama mazuzu kwa7b wamepgwa na azm wamechukua jez za gold wamepgwa na tabora wamechukua naz piah
Asante semaji letu unatufurahisha kwelikweli et kaniki 😂😂😂
shika achia twende kwao
Kajamaa kanaiga swags za semaji la cuf😂😂😂
Sasa ainisha vizuri hiyo CAF ni shirikisho au MABINGWA? Wenzio hatuelewi ujue
Cuf ipi au back la Brazil 🇧🇷
Mtoto wa kiume unajisifia unajua kusimanga 😅
Ww ndo msemaji unayeongea fact wengne niwachekeshaji tu
Kweni huyo chizi wenu yeye anaubunifu gn huwo and Ally anaongea ushoga tyu
Gusa achia twende kwao😆
Hiii imeenda🤣
Fanyeni kazi zenu unafiki mwingi ukiona kakuzidi kaombe kazi nawewe
❤
Yanga 1 Tabora 3
Mafala fc 1 yanga 5
Nyny tunakujueni ni ccm
hiyo ni gorod siyo njano mmetoka kwenye uhalisia wa tim yenu geita anatumia uzi kama huo mmeiga kutoka geita
Kusoma na kuandika kwenye we nikwakuunga unga utajua mpira?wewe nibendera fuata upepo
Mambo yenyewe gorod 😂😂😂😂😂@@ZawadiMoris
Huyu kolo katokea wap
Gorodi ndio rangi gani kolo weeeee 😡
Ni gold ww kolo Una nn😂😂😂
Huyu habani pua anaogea kibingwa
Unakubalika.semaji.bande.zote
Nimeamini Leo kuwa wewe n Raisi wa Vipofu na Utopolo Duniani
uyu msemaji wenu wenye kisese msikieni mwanaume ali akiongea maneno yanasikika
afu ww mxemaj shoga nn Uzi ayo madela
Hakuna msemaji anaelingana na Ahmed Aly🤣
Yule anaongea kama mama wa pemba Tena mwimba taarabu wwooooih😂😂
Press au Malumbano? Be professional bro
kwani mnaumia mkiwa wapi
Naona upo na WA mama wenzio toto la kamwe
Hiyo jezi uliyovaa ni ya timu gani? Azammmm!!;😅😅😅😅😅
Kama imekuuma fanya kama ya Azam vile
Ally kamwe nahisi kioaji unachokiweza sana ni kukata viuno nakucheza mduara kama mlivyofanya ile siku ya mkataba wa kagoma😂
kazi ya editor iko wap
mbona matukio mengi ya kukata kayaacha 🙄🙄🙄tupeni kazi busi
Iga iga mule kwa Ahmed aly
Bado Sanaa kfikia semaji lakafu😂😂😂😂madini sioni
Unawashwa
@HamzaMduda hamza kala
Semaji gani la caf linaongea uongo kila uchwao😎😎
Unapenda kudanganywa mjomba 😂
Makoro mnateseka mwacheni ally kamwe bonge la semaji
Hakuna kitu apo
Wew auna akili. Kuwa na kumbu kumbuu. Mjadara wajezi kuwa amtumii rangizenu. Aujaanza juzi. Ulianza toka mlipotowa jezizenu za vitenge. Kwamba mmetoka kwenye rangi alisi za yanga ambazo ni njano na kijanii. Upoo.?
Angetoa comment KUHUSU kushenyetwa
Nkubali alikamwe
kuma ww
Ali ndugu yangu huu ujumbe ukifikie n ufikishe kwa wachezaji wetu mechi yetu n al hilal November 26 wambie wachezaji wetu wawe watulivu kwenye third finał n pia wafanye km Tottenham walivyo wafunga Manchester City 4-0 Please
kama kukopi ni raisi kipini na nyie
Hii kwa mwanaume kujitangaza uko single Kwa waandishi wa habari ,,kitaalam inaitwaje
Anahitaji mke bora na yuko sawa wewe watakaje aseme kaoa wakati hajaoa
@suddisheby jibu bila kuwa na uteam ,basi ,,,,
Wewe dogo nompumbavu hunaakili
Ally ksmwe wale wazee wakulaumu wakuu wa mikoa wanasemaje? (Kolo).
Makolo mnajua kujifariji kwakweli huyo semaji la cuf nani alimuita semaji bila kua nyie mbumbumbu hivi huyo Nimsimaji ao mrupokoji anaongea alafu ajui anachoongea liko kama liigizajitu hilo
Kutongoza kazana usemaji Bado sana kwa semaji la cuf
Wapi??
Ahamed Ally saemaji la machoko
Ilo semaj la machokoraa simba
Cuf ya Lipumba
Uyo semaji wa cuf anamedali ya cuf ao?
hawa nao hii ndo jez ya rangi gn hiyo so rangi ya yanga bhn mnazingua
Ajui hata kuongeaa na mediaaa...upuuuzi tu
Huna ubunifu,wewe ni ku- coppy na ku- pest kwa Ahamad Ally
Amekopi nini tena 😂😂😂
Huyu atakuwa Kolo
Kolo ni Kolo
..kwenda zako uko pumbunyo ww
Kuponda tuu asa alikamwe wenu. Kuweni na akili. Anaongea kamwe wanakerekwa watu flani
Uyu jamaa mbona anapenda kuiga vitu anavyo kuwa anavifanya ahmed
umejuaje je kama ahmed ndio anaiga vp acha umbea boy
Kaiga nini??!! Haezi igiza kubwabwaja...😂😂😂
Kitu gani kimeigwa mbona watu mnaandika vitu vya kisenge? Hivi hamuoni aibu kuandika andika pumba kila wakati?
akili za madunduka zinawatosha wenyewe kaiga nn we kolo usiyejitambua
😂😂😂😂kitu gani ameiga??ila makolo
Tutoke kwenye uhalisia wetu lakini yanga bado ni ile ile. Mapunda nyie