Kila mtu yoyote anayepata umaaru akiwa wasimba Basi kunawatu wanafata hao ili waisemee Simba vibaya mzee mtitu unafanya vizuri mwambie mzee mwenzako je ulinzi anao au sifa akitakwenda kwa kinamchome aaende,
Wengi mnaomsema mzee mtitu ni mashabiki wa yanga mzee mtitu yupo sawa kabisa.mzee said anaisemea vibaya sana klabu ya simba mnyonge mnyongeni haki yake mpeni simba ina maana ina mabaya tu mbona mazuri aongelei
Yule mzee saidi yuko vizuri sana sana na anaujua mpira kwa kiwango chake tuna mpenda anasema ukweli mbaya inabaki kuwa mbaya na nxuri inabaki kuwa nzuri kwake mzee saidi oyeeeeeee
Hiyo ni roho mbaya kwa mzee saidi nyie ndio wote ambao hampendi simba iwe na maendelea mnataka kuficha ficha ukweli sasa mtu asiseme simba bado haiko vizuri?
Mashabiki wa simba wana nongwa sana, vitu vidogo mihemuko kibauu, yaani hata yale mazee yao yalivyo paniki.Mzee said endeleza kusema ukweli. Viongozi ni binadamu/watanzania kama wewe, kwa nini wasipende ysnga au simba? Wewe kwa nini unaipenda simba? Kwa nini uwazuie viongozi kupenda yanga su simba? Huo siyo mpira.
Wivu tu huyu mzee hana mpya walio kuwa pamoja na mzee Saidi gonga like hapa
Said ni Mchome aliyechangamka
Acha zako wivu itakuuwa. Mzee Said ni maarufu Acha kumtusi mzee wetu....,..
Kila mtu yoyote anayepata umaaru akiwa wasimba Basi kunawatu wanafata hao ili waisemee Simba vibaya mzee mtitu unafanya vizuri mwambie mzee mwenzako je ulinzi anao au sifa akitakwenda kwa kinamchome aaende,
Wanao chomwa na Kisaidi vitahita tu
Huyu mzee anachuki ya wazi wazi kwa mzee Said!!!
Aisee Mzee said mi namkubali anajua kuongelea Soka huyu anavigugumizi!!!
Mimi nikopamoja nahuyo mzungumzaji mzee said mshamba sana kwnza hajui hata kuzungumza Moira simpendi mpuuzi huyo
tatizo hmn timu ya kuchuana na yanga
Nilichogundua makolo hawana akili hata kidgo
Wengi mnaomsema mzee mtitu ni mashabiki wa yanga mzee mtitu yupo sawa kabisa.mzee said anaisemea vibaya sana klabu ya simba mnyonge mnyongeni haki yake mpeni simba ina maana ina mabaya tu mbona mazuri aongelei
Sasa kama timu yenyewe hata ikicheza na wafungwa mnateseka ujue kua timu lenu bovu
Mzee said ni mmoja tu wengine wote ni panya road
Naungana na mzee,tutakuja kumpiga vibaya
Wivu
Huyu mzee ana roho mbayà tu
Umefeli mzee.............. mzee saidi yupo vzr
Mzee saidi ni staaa sahv muacheni mzeewetu
MANENO SIO MKUKI😂😂
mh! maneno yako yotee yanaonekan yachuki umefer...
Wivu tu
We mzee acha chuki uonekane na wewe 😂😂mzee saidi tunae na tunatamba nae🤗
Tamben nae huko utopolo sio simba
@@LovelyBakedBuns-ue7un punguzeni chukii namuangalie mnakosea wapi makolo
Amesema kweli yule said mmhh
We mzee acha chuki sizizo namsingi muache mwenzie awake kwenye kioo iyo choyo
Mzee said tunampeda anaongea ukwer acha ukuda mzee
Anaongea ukwl wap
Mzee Said ni Mchome mzee
Wivu tu kweli
Yule mzee saidi yuko vizuri sana sana na anaujua mpira kwa kiwango chake tuna mpenda anasema ukweli mbaya inabaki kuwa mbaya na nxuri inabaki kuwa nzuri kwake mzee saidi oyeeeeeee
Yetu macho
Kwenda na njaa yako we utopo tupishe mnatafuta kiki endeleen na vibaasha
Nilijua wewe Mzee mtitu, ni muungwana kumbe una roho mbaya Sana. Aliyekwambia kuwa wewe ni kipimo Cha maneno ya wenzako ni nani? Acha roho mbaya.
Hao waandishi wa vibahasha,wanawapenda wakina Wanaochomwa kina Saidi kishoti Kwa sababu wanaiponda Simba,pambavu zao
Yule mzee said hata mm cjawahi kumuelewa namuona km comedy 2
We mzee Acha chuki. Achana na mzee wetu mzee saidi 😅
Ee mzee wenu WA utopolo atupishe simba
Miraji na mzee said ndiyo washabiki bora wa simba
Ee tunaya jua haya yote ni magongo waz.
Kwani wewe mzee hapo umeongea point gani ya maana mpaka umseme mzee said vibaya ongea point zako tujuwe kama yeye kweli mpira haujui 😤😤
Hiyo ni roho mbaya kwa mzee saidi nyie ndio wote ambao hampendi simba iwe na maendelea mnataka kuficha ficha ukweli sasa mtu asiseme simba bado haiko vizuri?
Mashabiki wa simba wana nongwa sana, vitu vidogo mihemuko kibauu, yaani hata yale mazee yao yalivyo paniki.Mzee said endeleza kusema ukweli. Viongozi ni binadamu/watanzania kama wewe, kwa nini wasipende ysnga au simba? Wewe kwa nini unaipenda simba? Kwa nini uwazuie viongozi kupenda yanga su simba? Huo siyo mpira.
Huyo mzee saidi mchome na samu niyanga Kwan amujui. Na hao njaa ndo yinawasumbua . Wameona kuwa chawa watu wanatajirika. Wajitaidi sana kutafuta ugali
Yaani mtu akishapata umaarufu chuki inaanza
Mzee saidi tunampenda
Huyo mzee ni mpumbavu leo ndo amejua kua prison ni timu kubwa mbona juzi aliongea pumba sana
Anawaza mke yuko 0 hajielewi
Hizo chuki za wazi Mzee Said anajua boli
Yaani wewe mzee hata kama timu yako mbovu utaisifiatu
Nyote mnao cometi ni utopolo
Kweli said mpumbavu hata kujieleza hawezi tahira tu. anatafuta umarufu
Mzee saidi tunampenda