Maneno ya Nabii Mwingira kwa RC Makonda 'Wameapa kukuangamiza'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 5 ปีที่แล้ว +7

    Wakati huu wa vita ya mashoga watanzania mjue sio vita ya makonda,ni vita kati ya Mungu na shetani ivyo tuombee vzaz vyetu na nchi yetu tuache matani na maneno ya kashfa.

    • @abednego3876
      @abednego3876 5 ปีที่แล้ว +1

      pia mzungu atashambulia sana subiri uone.

    • @maidafrancis45
      @maidafrancis45 5 ปีที่แล้ว +1

      Vzr kabisa umesema vema inabidi tuombe Sana maana Vita Ni vikal

    • @nesterchunga8916
      @nesterchunga8916 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @blessingbagio4857
      @blessingbagio4857 5 ปีที่แล้ว

      @@abednego3876 ndo maana inabd tuliombee taifa letu na watoto wetu pia ili tushnde vshawish na mateso ya adui

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 5 ปีที่แล้ว +2

    Mjue Tanzania itakosa misaada kutoka kwa mataifa meng kwa kukemea ushoga ila tusimame ktk ukweli na kuupnga usodoma na Mungu atatuinua kwa nafasi yetu na wakati wetu.

  • @nkuhimmary6007
    @nkuhimmary6007 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hyu masanja 😂😂😂 nimeipenda Sana ile ya kemea mapepo! Mpaka mkuu anataka kudondoka😂😂😂

  • @melkizedeckkimaro2094
    @melkizedeckkimaro2094 5 ปีที่แล้ว +1

    hakuna bora tena zaidi Mungu wetu mkuu

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mh Makonda

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu , awaangamize walopanga kumuangamiza mokonda.

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kwa kutubu

  • @utukufueliya5279
    @utukufueliya5279 5 ปีที่แล้ว

    makonda oyeeee

  • @kesiaomari2173
    @kesiaomari2173 5 ปีที่แล้ว

    Ahata agamiya kamwe Mungu yupo nawe makonda🙏🙏

  • @utukufueliya5279
    @utukufueliya5279 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha.. hahahaha ...uchaguzi umekaribia... ccm oyeeeeee

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 5 ปีที่แล้ว

    Mung azid kukulinda zaid

  • @litaemily5730
    @litaemily5730 5 ปีที่แล้ว

    mungu wetu mwema atusaidie

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 5 ปีที่แล้ว +1

    Sasa uko kushika kiuno vip 😂😂😂😂😂😂😂jmn ndio kuacha ushoga au 😂😂😉😂

  • @nkuhimmary6007
    @nkuhimmary6007 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hyu masanja 😂😂😂 nimeipenda Sana ile ya kemea mapepo! Mpaka mkuu anataka kudondoka😂😂😂 huyu Mungira sio wa mchezo natamani na baba jeska na yy aendee hahahaha Leo siku yangu imeenda njema Sana

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz6048 5 ปีที่แล้ว

    He kwan kuna mtu kaibiwa?!

  • @yonamwaweya8517
    @yonamwaweya8517 5 ปีที่แล้ว

    Toka pepo

  • @asifiwediodos1328
    @asifiwediodos1328 5 ปีที่แล้ว

    hata hausikiki

  • @collinreginald5616
    @collinreginald5616 5 ปีที่แล้ว

    mbona kashikiliwa kiuno😁😁😁

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo kushikiliwa vpi, hayo Jamaa walijuwa ataanguka ahaahaa hii picha kali gongo ikasome

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 5 ปีที่แล้ว

    Kulialia ni umama

  • @nkuhimmary6007
    @nkuhimmary6007 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hyu masanja 😂😂😂 nimeipenda Sana ile ya kemea mapepo! Mpaka mkuu anataka kudondoka😂😂😂