MO DEWJI AVUNJA UKIMYA/ AFANYA KIKAO KAMBINI/ "SINA TAARIFA ZOZOTE"/ MASHABIKI WANATUBEBA SANA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • RAIS WA HESHIMA NA MWEKEZAJI WA KLABU YA SIMBA SC AMEVUNJA UKIMYA NA KUANIKA HADHARANI KINACHOENDELEA NDANI YA SIMBA SC, BAADA YA KUTELEZA KWENYE MICHEZO KADHAA MSIMU HUU.
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #SIMBASC #MODEWJI #CAFCC

ความคิดเห็น • 22

  • @amosymanamba8493
    @amosymanamba8493 2 ปีที่แล้ว

    Okay thanks mo

  • @omaryhasani6786
    @omaryhasani6786 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mo deuji Simba nguvu moja

  • @mtekelechapemba5501
    @mtekelechapemba5501 2 ปีที่แล้ว +2

    Ninyi jamaa pamoja na chanel yenu nawapenda bure kabisa. Mko vizuri mno mno. Nawapongeza sana kwa kazi yenu yenye weredi wa hali ya juu kabisa. Sasa mnapatikana mara chache mno. Safi sana

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 2 ปีที่แล้ว

    Hii timu ni sawa na Ndanda iliyochongamka.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 ปีที่แล้ว

    Mo leo kawajibu utoporo, yupo bwana

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 ปีที่แล้ว +1

    MO, ni kweli kwamba unaipenda Simba, ni kweli kwamba umeigharimia sana Simba na ni kweli kwamba unapenda mafanikio ya Simba yaende mbele zaidi. LAKINI tatizo lililoko Simba ni kwamba Wachezaji tangu msimu uliopita mpaka huu wa sasa wamecheza michezo mingi sana kuliko Timu yoyote Tanzania na hivyo wamechoka sana. Kosa kubwa ambalo Uongozi mumefanya ni kutokusajili Strikers ktk dirisha dogo lililopita mkiamini waliopo wanatosha. Hilo limeigharimu sana Simba na litaendelea kutugharimu kwani Ubingwa wetu tumeuweka rehani. Wakati wapinzani wetu wakijiimarisha sisi tumepiga hesabu vibaya kwa kutokusajili mpaka Mashabiki wengine wanawaelewa vibaya Viongozi kwamba mnataka kuipa yanga ubingwa makusudi. MO kama kufungwa kunatuumiza hivi sisi Mashabiki, wewe unaumia zaidi yetu sana kwasababu mbali na kuwa mpenzi unaigharimia sana timu. Umeleta Kocha bora ilishindikana vipi kuleta mastriker bora kuliko waliopo ambao kwa kweli wamechoka? Au tuna mgogoro ndani ya Simba unaofukuta kimya kimya? MO umesema ungependa kuona Simba ikichukua kombe la Afrika; italichukua vipi na wachezaji hawa waliopo? Ni lazima tuwe wakweli hata hiyo robo fainali safari hii itakuwa muujiza tukifika. Ubingwa wa ligi wenyewe tujipange kisaikolojia kuukosa. Samahani kwa kutumia lugha kali lakini hii ndiyo hali halisi, tusidanganyane na kufarijiana uongo. Hali halisi tunaiona na mpira anachezwa hadharani kila mmoja anauona. Simba ya mwaka huu siyo ile ya mwaka jana.

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 2 ปีที่แล้ว

    Tajiri anayeongea kwa unyenyekevu kabisa.

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 2 ปีที่แล้ว

    Mnakera kwenye ligi mnapewa magoli bila jasho

  • @furahafedrick8501
    @furahafedrick8501 2 ปีที่แล้ว

    Boss kama bos hata bodgard hana angekua diamond cjui hapo

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ndipo unawauzi watu na hizo kauri zako eti hasara achia timu basi mana usiwe mungu mtu wa simba

  • @allyhassan2973
    @allyhassan2973 2 ปีที่แล้ว

    Mo washabiki tupo. Na tumekuelewa tupo pamoja

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mo mungu akubaliki👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @gynae8407
    @gynae8407 2 ปีที่แล้ว

    15 billionaire in Africa

  • @emmanuelmwansoho5129
    @emmanuelmwansoho5129 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mo simba daima mbele

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mnifikishie ujumbe huu hapo chini kwa MO na kwa Bodi ya Simba. Ninyi ni Waandishi/Wachambuzi wetu mahiri tunaowategemea. HONGERENI KWA KAZI NZURI.

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 2 ปีที่แล้ว

    Mo anatusaidia kwa mapenzi yake.

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kweli tapeli umetumia b 25 ukawwkeza 20b imekuwa 85b piga vizuri hesabu unawalisha matango pori makollo

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 2 ปีที่แล้ว

      Na huyo GSM wenu tapeli katapeli vilabu tumwite je Muhuni, fisadi, Jambazi , msukule? Hata akisema BILIONI 100 katoa kuliko yule basha wa Haji manara 🐸🐸🐸🐸

  • @scholasticawillson8414
    @scholasticawillson8414 2 ปีที่แล้ว

    Yani hizi klbu ni hovyo sana vio gozi hawajitambui hata poit moja eti Raisi wa heshima sasa mtawatetemekea hawa wenye hela mpaka lini? Jipangeni acheni ujinga shauri yenu siku huyo bosi hayupo mtakufa maskini

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 2 ปีที่แล้ว

    Keshackia simba inawakilisha Africa supa cap ndo anajisogeza tena apige ela awabwage daaah😎😎

    • @salehematimbwa4684
      @salehematimbwa4684 ปีที่แล้ว

      Tunakuomba ufanye Usajili wa Nguvu siyo kuokota wachezaji ili tushindane na Vilabu vikubwa